Ufukwe wa Coco Beach Umeuzwa?

Ufukwe wa Coco Beach Umeuzwa?

kawaida tu mbona, Imeuzwa bandari itakuwa ufukwe ndugu yangu?
Usishangae hata ikulu Bi. Mdashi keshaitia sokoni. Pengine kuna Kanjibai anachukua kodi ya pango.
 
HUU NI UFUKWE WA WATANZANIA WOTE, UOVU WOWOTE UKEMEWE HARAKA, UJINGA WA MTU KUINGIA HAPO NA KUJIFANYA ETI ANATAKA KUUENDELEZA UZUIWE HARAKA, FUKWE HII NI TUNU YA WATU WOTE FREELY.
Hayo ni maoni yako na yataishia kinywani mwako, CCM ya viongozi wafanyabiashara haitakusikiliza.
 
....Ufukwe wa Coco Beach...
....Barabara ya Nyerere Road...
 
Back
Top Bottom