Ufukwe wa Coco Beach Umeuzwa?

Ufukwe wa Coco Beach Umeuzwa?

Mlipoambiwa kazi iendeleee mkaitikia kwa sauti ya juu sana ..mliuliza ni kazi zipi na ni kwanini sasa ziendelee na zilisimama lini?

Majibu ya hayo maswali kaeni nayo hivyo hivyo ..sie huku tunasema "KAZI ISIMAME" 😁😆😆😆😆😆🤣🤣🤣
 
Habari Wakuu,
Kuna fencing imewekwa hapa kuzuia. Watu wasiingie Sambamba na tangazo kubwa la Manispaa ya Kinondoni likipiga marufuku.
Ni nini kinaendelea hapo?
Wajuzi karibuni.View attachment 2776452View attachment 2776453
Hapa inatakiwa kujengwe Hotel kubwa ya Kitalii na hivi Afcon inakuja wafanye hivyo haraka.

Maeneo potential kama haya yanaachwaje bila kuingiza pesa kwenye uchumi wa Nchi kisa siasa uchwara za kindezi za kina Jiwe?
 
Coco beach ni moja ya fukwe chafu nchini, ni ajabu sana kuona inavyopigiwa debe bila kuzingatia usafi wa mazingira. 😲
Uchafu unaanzia baharini kule,zile meli zilizo nangani zote zinamwaga taka baharini TPA wanashindwa kuwa na garbage boat kama nchi za wenzetu ambayo itakua inaenda kukusanya taka hata mara 1 kwa wiki kule baharini,fukwe za ulaya safi sababu ni marufuku kutupa taka baharini hata ukitupa njiti ya kiberiti ikibainika ni jela au faini yake inaanzia m 15 kwa mwenye meli
 
Mkuu, kuna wakati pale Coco beach unakuta ufukweni kumejaa Green Algae, vimelea vinavyoshamiri kwenye maeneo yenye vinyesi. Pale Coco beach ni eneo lililokithiri uchafu na sio salama kwa watu kuogelea kama hawataboresha.

Meli zinazosubiri kuingia bandarini zinamwaga uchafu unaokuja hadi ufukweni. kama hiyo haitoshi, eneo kati ya Gymkana na Ocean Road kuna bomba kubwa la maji taka linaloingiza taka za mji baharini.... Nina mashaka kama kuna maboresho yoyote yamewahi kufanywa na mamlaka za majitaka tangu tupate uhuru.
 
Mkuu TZ tuko dunia ya peke yetu aisee,watu wanatushangaa sana
 
Viongozi wetu ni wapiga dili tatizo linaanzia hapo.
 
Habari Wakuu,
Kuna fencing imewekwa hapa kuzuia. Watu wasiingie Sambamba na tangazo kubwa la Manispaa ya Kinondoni likipiga marufuku.
Ni nini kinaendelea hapo?
Wajuzi karibuni.View attachment 2776452View attachment 2776453
HUU NI UFUKWE WA WATANZANIA WOTE, UOVU WOWOTE UKEMEWE HARAKA, UJINGA WA MTU KUINGIA HAPO NA KUJIFANYA ETI ANATAKA KUUENDELEZA UZUIWE HARAKA, FUKWE HII NI TUNU YA WATU WOTE FREELY.
 
Back
Top Bottom