Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Kama kichwa cha habari kisemavyo.
Kila mnyama ambaye anafugwa na binaadamu anafugwa kwa faida zake, na matumizi yake hayajifichi.

Mfano.
1.Paka ni kukamata panya
2. Kuku,kanga na bata kula nyama na mayai pia
3.Mbuzi, ngombe,na kondoo, ni nyama,maziwa na mafuta
4.Mbwa kutusaidia ulinzi na uwindaji
5.Punda kubeba mizigo na kuna baadhi ya makabila ni nyama pia
6.Sunguru, na pimbi na njiwa ni kitoweo pia.
7. Farasi nae matumizi yake yanajulikana na kuna baadhi ya watu ni nyama pia
8.Ngamia ni usafiri anajulikana toka zamani sana
9.Sasa kuna huyu pig/mbuzi katorik/ kitimoto/noah/nguruwe/mdudu na majina mengine

Mengi je aliumbwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili gani na anafaida gani kuwa mnyama wa kufugwa? maana wanyama wote wafugwao tumeona faida zao

My take.
Tunaoamini tuliingizwa chaka tuendelee kumtafuna maana hana faida nyingine zaidi ya hiyo
 
mmh kwani zile dawa za kisukari insulin si na sikia zinatokana na nguruwe?



People also ask

Which insulin is made from pigs?
As the name suggests animal insulin is taken from the pancreases of animals, usually pigs (porcine or pork insulin) and cows (bovine or beef insulin). The insulin is purified which reduces the chance of the insulin user developing a reaction to the insulin.










How is animal insulin produced?
As the name suggests animal insulin is taken from the pancreases of animals, usually pigs (porcine or pork insulin) and cows (bovine or beef insulin).

The insulin is purified which reduces the chance of the insulin user developing a reaction to the insulin.
 
katika wanyama wote uliowataja hapo juu,hakuna hata mmoja anayemfikia Nguruwe kwa faida,elewa nguruwe ni mnyama mwenye akili za hali ya juu sana ,almost kama binadamu ,wenzetu wanaosogea kimaisha wanamtumia kwenye kazi mbalimbali kama vita dhidi ya madawa ya kulevywa,kunusa mabomu na uchunguzi mbalimbali kwenye maabara hasa utafiti wa madawa,DNA yake almost inafanana na ya binadamu,lini kama nchi tutafikia hatua hii ni debate for another day.
 
Kwa ushauri wa ufugaji wenye tija wa nguruwe wasiliana na kwa namba 0789412904 pia whatsap namba hiyo.

Waweza temebelea instagram page yetu: malafyalepigfarms
 
Mkuu nchi
Sky Eclat umenena, nilishawah kula kitimoto na mtoto wa kiislam, maeneo ya sabasaba tanga huko, pale ndo inapikwa kwa wingi sana, akiamini hata akijizuia baadae atakula tu mana aliamini nitamuoa atabadilisha dini. Hahaaaa haya maisha hayaaa, tusamehewe tu.
Ile kiti moto ya Sabasaba Kwaminchi pale wewe acha. Kwahiyo hukumuoa mtoto mzuri?
 
Back
Top Bottom