Abra One
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 916
- 371
Asilimia kubwa ya lindi imani hairuhusu kula nguruwe ....hii haita kuwa changamoto na majirani wanaokuzunguka?
kuna watu nawafahamu toka niko mdogo wanafuga mpaka leo hii hapa mtaani kwangu na wana mafanikio mazuri tukutokana na biashara hii, sijawai kusikia changamoto hiyo kutoka kwao kikubwa ni kutokuicha ovyo mifugo ina tangatanga, zaidi ya hapo mradi utafanyika pembezoni mwa mji kidogo. hivyo nikukuhakikishie lindi wakazi wa lindi hawana shida na mfugaji wa nguruwe kama ana wadhibiti pahala.