Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,364
hii ni yenyewe mzee, ndg yangu mmoja ameomba nimpelekee, nimeona ni bora niiweke hapa hadharani faida kwa wote. kupanga ni kuchagua kaka, ila sikushauri uende kinyume na imani. na hiyo bei ya nguruwe ni huku shambani kwangu, mjini sijui bei, mm naona maroli yanakuja tu.
MKUU WITH ALL DUE RESPECT...HII KITU NI NDOTO YANGU YA MUDA MREFU INAYOENDA KUTIMIA MWAKA HUU KUANZIA MWEZI WA SITA. NIJUZE SHAMBA LAKO LILIPO NIJE KUTEMBEA MWENYEWE FIZIKALI...MAANA NATAKA KUWEKA HII PROJECT KILOSA MOROGORO.