tycoonff
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 918
- 1,269
Mkuu nahitaji kitabu ntapata?wasiliana na mie nikutumie kitabu (PDF format) juu ya ufugaji wa nguruwe kwa njia ya kisasa. email yangu ni: richie_massive@yahoo.com
ntakutumia free of charge
Mkuu nahitaji kitabu ntapata?wasiliana na mie nikutumie kitabu (PDF format) juu ya ufugaji wa nguruwe kwa njia ya kisasa. email yangu ni: richie_massive@yahoo.com
ntakutumia free of charge
Mimi nahitaji maziwa ya Nguruwe.Swine, shuuuuuuuwahin, hii kitu ni tamu sana haswa ukipata ya kuchoma, ngoja wenye nguruwe zao waje mmalizane
Fresh mkuu.
umetisha sana mkuu,,Fresh mkuu.
Sihitaji mengi,kidogo tu kuna chapombe analewa Januari hadi Disemba nataka nimkomeshe.umetisha sana mkuu,,
labdatu nikwambie kwamba nguruwe huwezi kumkamua maana yule huwa vitoto vikianza kunyonya utaona hadi mapovu ya maziwa yanavitoka hivyo vitoto, ila kimsingi ukijaribu kumkamua huezi pata hata tone la maziwa.√√
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu labda wenye ujuzi katika upatikanaji wa hivi vitu waje kukupa maujanja nikwavipi upate hayo maziwaSihitaji mengi,kidogo tu kuna chapombe analewa Januari hadi Disemba nataka nimkomeshe.
Follow Huyu jamaa anaitwa @nguruwe_biashara instagram ana mbegu nzuri mimi nilichukua kwake na sasa nafurahi sana. Kijana mdogo tu. Yupo mbezi pale
Add na hii mkuu 0678278060Wote mlioomba kua kwenye group nawasilisha namba zenu kwa Admn