Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Dodoma sehemu gani unapanga kuweka project yako?

Pale Bahi kuna rafiki yangu anafuga nguruwe. Ameanza project yake juzi tu nadhani ameanzq na nguuruwe nane
 
Habari za asubuhi wana JF. Nimeanza ufugaji wa nguruwe maana hapa nilipo hii ndo fursa. Naombeni mawazo yenu, eti ni mchanganyiko upi wa chakula ambao utakuwa ni mzuri kwa ukuaji wa haraka wa nguruwe? Nawasilisha
 
Nipo iringa Mkuu Monopoly. Namba yangu ya simu 0621188896
Ingia instagram mtafte huyu mtu utapata mwongozo wa kila kitu
Screenshot_20190929-100543.jpeg
Screenshot_20190929-100543.jpeg
 
Back
Top Bottom