Fuga Kisasa
Senior Member
- Jan 16, 2016
- 165
- 91
Ndio mkuu, ni lazima kuwa na mfumo wa bomba ili kuweka drinkers za nguruwe. Kwa maelezo zaidi nipigie: 0625 504 952Ndg hzo pambu nilazima kuwe na mfumo wa bomba?
Ndio mkuu, ni lazima kuwa na mfumo wa bomba ili kuweka drinkers za nguruwe. Kwa maelezo zaidi nipigie: 0625 504 952Ndg hzo pambu nilazima kuwe na mfumo wa bomba?
Mkuu, tuwasiliane ujipatie drinkers zako mapema. Namba ni 0625 504 952Nna nguruwe wadogo
Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
Tuwasiliane mkuu ufanye ufugaji wa kisasa tukuuzie drinkers za nguruweHao ni nguruwe wa miez 5 nnauza. 0716307470. Wapo kibaha picha ya ndege
Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
kiongozi mimi ni mjasiriamali naye taka kuanza kufuga hawa wanyama ,je naweza kukupata wapi ukanipa somo zaidi na hata la "practical" unawapo wafugia hao wa kwako. asanteMkuu pleo ..... Kuna kitu kinaitwa FCR (Feed Convertion Ratio) katika ufugaji ..... hii inakokotoa ratio za chakula na bei katika muda fulani ..... naomba u-google hili somo utapata majibu haina tofauti na actual feeding practice
Ukikosa msaada mtafute ndugu mmoja anaitwa MalafyaleP anafugia Maseyu, ni mzoefu nanana mbegu nzuri sana. Ukihitaji drinker ili ufuge kisasa zaidi wasiliana namimi kwa namba 0625 504 952kiongozi mimi ni mjasiriamali naye taka kuanza kufuga hawa wanyama ,je naweza kukupata wapi ukanipa somo zaidi na hata la "practical" unawapo wafugia hao wa kwako. asante
Ukikosa msaada mtafute ndugu mmoja anaitwa MalafyaleP anafugia Maseyu, ni mzoefu nanana mbegu nzuri sana. Ukihitaji drinker ili ufuge kisasa zaidi wasiliana namimi kwa namba 0625 504 952
Mcheki hapa 0789 412 904asante sasa naweza kumpata vipi huyo Malafyale??
Mr. Masanja Naeza pata kitabu cha ufugaji nguruwe ktk softcopy. Nisaidie pleaseMkuu hebu nipe mawasiliano yako nikutafute. Naweza pata moja au mawili. Natanguliza shukrani za Dhati kiongozi.
Miezi nanenguruwe anachukua miezi mingapi toka kuzaliwa mpaka kufaa kuliwa au kufaa kuchinjwa nyama ?