wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,129
Kaka karibu sana tufuge pamoja nimevuka salama hii changamoto ila kusema ukweli maumivu yake ni makubwa sana , karibu sana wakati wowote nipo kibamba kwa Mangipole kiongozi kwa changamoto hii kubwa! nina imani utavuka. Swali langu mbuzi wako ni wa aina gani? naweza kuja kuwaona?