Mkuu,mimi nina interest kubwa sana ya kufanya rabbit raising for meat.... na nimeshafuga sungura at a small scale..., niliwahi kufuatilia sana project ya sungura na nikapewa guidelines na FAO kuhusu funding programs under Tele food na wakanitumia vitabu viwili vinavyohusu rabbit raising ...tele food funding inaweza kutoa funds kama mtaweza ku form a gorup abayo itaweza kutoa fursa ya kukuza ufugaji wa sungura at the sme time kuzalisha sungura wa nyama kama mbadala wa chakula katika jamii
Nashauri tuwasiliane tuone tunaweza vipi tukaanzisha umoja wa ufugaji wa sungura na kushawishi umma kuhusu nyama ya sungura ili tupate soko kutoka kwa wananchi.