Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Ingiia google uione jinsi mabanda yao yalivo na jinsi ya kuvuna mkojo wa sugura,lita moja inauzwa elf 5 Lita moja ya mkojo Kwa Lita 5 ya MAJI unamwagia mmea
sawa mkuu shida iliyopo nani ananunua huo mkojo..? au utawauzia google..? maana wakulima dawa zao wanazijua sjawahi kusikia kuna mkulima anapiga mkojo wa sungura anaacha hay madawa mengine
 
umeongea vyema sana nami niko hivyo
 
sawa mkuu shida iliyopo nani ananunua huo mkojo..? au utawauzia google..? maana wakulima dawa zao wanazijua sjawahi kusikia kuna mkulima anapiga mkojo wa sungura anaacha hay madawa mengine
Tafuta wakulima wasiotumia madawa ya kemikali,mfano wanalima Kilimo hai, organic farming, utaangia nao wawe soko ,Kwa nyama hotel za wachina ni soko pia.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Naomba nipe contact za huyo jamaa aliuekuja kuhamasisha,haya mimi kuna mtu akikuja kuhamasisha, ila niliamua kulima mihogo. Nataka kujua kama ni mtu mmoja.
 
Kwa hoja hizi nakosa impact, kwa sababu hujafafanua ikiwa kuna tofauti ya kumla nyumbani au bar au hotel, maana kuna wasiokula bar wala hotel na hasa unaposema mkulima au mfugaji, tambua na mazingira yake!
 
Mimi ni daktari wa mifugo ila sikushauri kuingia katika ujasiliamali wa sungura....

Soko lake hapa nchini kwetu liko chini mno kulingana na mifugo mingine.....

Kwa leo ni hivyo tu Mkuu
Asante, ila sasa nimo, na yanaongezeka kwa kasi, kiasi kwamba, hata nikiwaza kuondoa hiyo project napata taabu
 
Asante kwa ushauri pia!
 
nmechekaaaaaa mpk naulizwaaa nn
 
Asante, ila sasa nimo, na yanaongezeka kwa kasi, kiasi kwamba, hata nikiwaza kuondoa hiyo project napata taabu
Kama ni hivyo jaribu kuanza kutafuta soko lake katika hotel kubwa kubwa za kitalii mnaweza ingia makubaliano maaalamu na ukawa una supply nyama ya sungura kwao....

Maana ulaji wa hao wanyama kitanzaniatanzania bado sana muamko uko chini sana....

Ila naskia wale wakenya waliahidi kununua nyama za sungura kwa watu waliowauzia hao sungura ila naona pia sijui wameingia mitini???


Inasikitisha sana mkuu
 
Kuna yule jamaa maeneo ya uwanja wa tp pale darajani alikuwa anatengeneza mabanda ya sungura siku hizi hata siyaoni nadhani kakosa wateja kbs baada ya wadau wengi kukata tamaa.


Tatizo kwny huo uvunaji mkojo wabongo sio waaminifu mtu anaweza kukujazia na maji humohumo akakuuzia
 
Kuna mwingine pale karibu na Tabata Bima mbele tu ya oilcom upande wa kulia ukitoka mandela rd kwenye ukuta wa garage.
 
Soko la sungura lipo Kenya nijuavyo mimi, chakufanya jaribu kutafuta connection huko achana na wanaokubeza.
 
Nimekoma!!
Sungura wana faida kama ukifuatilia soko kabla ya kuwafuga. Niliishafuga Sungura na nilikuwa nawaoka napata wateja mara mbili kwa wiki. Faida kubwa ni wewe kupata mboga sababu wanavyozaana na wewe unapata kitoweo bila kukisaka. Mbolea vile vile na watoto kama unao wanapata pets wa kuchezea. Watoto wengi wanapenda kununua sungura kama upo Dar. Ulizia Mbezi Beach kuna wateja wengi tu. Kwenye Market kama Butcher pale Masaki waulizie wanaweza nunua.
 
Mkuu sungura ni dili sana. Yule jamaa wa Rabbit Republic alianza na sungura 6 sasa hivi nadhani atakuwa nao 30000 na bado anasema production iko under demand.
The problem ni kuogopa soko LA ndani ambalo bado sio active lakini sio kweli kwamba duniani hawahitajiki.
Hebu fikiri kuwafuga katika large scale then tafuta wataalamu wakusaidie kwenye maswala ya packaging etc.. Hawa viumbe soko lao lipo kutokana na demand ya white meet kama ktk nchi za kiarabu
Ili ufikie hapo unatakiwa uwe serious katika standards of production.....

Wanaolalamika hapa walifuga visungura 30 tena mbegu ya hovyo kama vipanya , hazingatii matibabu, n.k alaf analalamika soko ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…