Iliasa
Member
- Aug 4, 2015
- 63
- 35
sawa mkuu shida iliyopo nani ananunua huo mkojo..? au utawauzia google..? maana wakulima dawa zao wanazijua sjawahi kusikia kuna mkulima anapiga mkojo wa sungura anaacha hay madawa mengineIngiia google uione jinsi mabanda yao yalivo na jinsi ya kuvuna mkojo wa sugura,lita moja inauzwa elf 5 Lita moja ya mkojo Kwa Lita 5 ya MAJI unamwagia mmea