Agro Mifugo
New Member
- Mar 11, 2025
- 4
- 5
๐พ๐ฅ AGRO MIFUGO GEN Z TALK GEN Z, TUNAWEZA KUBADILISHA KILIMO NA MIFUGO! ๐๐
Nani kasema kilimo ni cha wazee? ๐
Kizazi chetu kina teknolojia, ubunifu na nguvu ya kufanya mambo makubwa. Kilimo na ufugaji si shughuli za kujikimu tu โ ni biashara, ni fursa, ni future yetu! ๐ฐ๐ฑ
Leo tunataka kusikia kutoka kwenu:
๐ SWALI LA LEO:
Kama ungepewa mtaji wa TSh 1,000,000 leo, ungewekeza kwenye nini?
๐ฝ Kilimo cha mazao
๐ Ufugaji wa kuku
๐ Ufugaji wa ng'ombe
๐ Ufugaji wa samaki
๐ฑ Agritech โ teknolojia ya kilimo
Comment hapa chini ๐ Tuone Gen Z wenye maono!
#AgroMifugo #GenZTalk #KilimoBiashara #Agribusiness #VijanaNaKilimo #Tanzania #YoungFarmers