(UFOS) na Aliens wa Zimbabwe! nini hasa Kilitokea?

(UFOS) na Aliens wa Zimbabwe! nini hasa Kilitokea?

I have been doing some researches concerning UFO's na kupitia documentaries nyingi na shuhida mbali mbali kuhusiana na kuonekana kwa Aliens. Kukuuliza yale maswali ni kutaka kupanua wigo wa watu kukuelewa zaidi na ujibu kwa ufasaha zaidi na sio kwakujiaminisha tu kuwa wapo na hizo missing ndege wao ndio wanaozichukua. Inaaminika spaceships zao zina speed kubwa sana tofauti na vyombo vyetu, pia vyombo vyao vinauwezo wa kukata kona at 90° meaning that something that our spaceships hazina uwezo huo kwa udogo wa technolojia yetu, swali sasa ni kwanini wachukue ndege zetu kwaajili ya researches zao wakati ni vya low technologies? Come up with supporting evidences wa hizo ndege kuchukuliwa na hao Alliens mkuu ili utupanue mawazo
Inatia moyo kufahamu kuwa umefanya utafiti na umegundua kuwa hao viumbe ni more advanced kuliko hata Wamarekani. Kusema wanavichukua vyombo vyetu kwa research ni views na speculations zetu sisi wanadamu ambao unanikubalia tuko less advanced kuliko hao viumbe. Kwa kifupi ni kuwa hatujui kinachowafanya watamani vitu vyetu na kwa bahati mbaya they are so advanced that they will never allow us to study them.
 
Mkuu kuna vitabu vingi na hata kwenye internet kuna maelezo mengi kuhusu viumbe hawa.Taarifa hizo zinaeleza kwamba hawa viumbe wamegawanyika,wengine ni wazuri na wengine ni wabaya na wana nia ya kuwatawala binadamu.Hata hivyo ukweli ni mmoja tu,viumbe hawa wana nia ya kuwatawala na kuwadhuri wanadamu na wamefanya hivyo katika historia yote ya Wanadamu kwa siri.Hawa ndio demons/spirits
Kumekuwa na hadithi nyingi sana katika ulimwengu huu tunaoishi kuwa hatupo tu binadamu na wanyama pekee yetu bali pia kuna viumbe wengine wanaishi walio kama sisi maumbo mithili ya kwetu, akili kama sisi pengine kutuzidi sisi. Wengi hudai viumbe hawa wanaishi katika sayari nyingine tofauti na dunia yetu na mara kwa mara wamedaiwa kutembelea maeneo kadhaa duniani. Viumbe hawa wanatambulika kama aliens na yako mamia ya shuhuda ziliripoti na watu mbalimbali waliodai kuwaona viumbe wakiwa na chombo cha duara kinachoruka kama ndege na hukitumia katika safari zao za kutembelea duniani vyombo hivi pamoja na aliens hawa hujulikana kama (UFOS) kirefu chake ni (Unidentified flying object) maana yake ni viumbe wasioeleweka warukao pande mbalimbali za dunia yetu. Je ni kweli viumbe hawa wapo? Je Ni kweli wameonekana hapa duniani? Kuna wanaopinga na kudai ni ndege za kijeshi zinazofanya mipango ya siri na hivyo watu hudhani ni UFOs.

Moja kati ya shahidi zinazoonyesha kwamba UFOs siyo ndege au vyombo vya kawaida vitumiwavyo na wanadamu wa kawaida ni uwepo wa matukio haya ya UFOS yaliyoanza kuripotiwa zamani sana kipindi ambacho hata binadamu hajagundua ndege au chombo chochote cha moto. Tukio la kwanza kabisa kuwahi kuripotiwa ni la gavan wa koloni la Massachusetts bwana john winthrope mnamo mwaka 1639 aliyeandika kwenye kitabu chake cha kumbukumbu kuhusu tukio la msaidizi wake james evereel aliyeona chombo kikubwa chenye kutoa mwanga mkali kikipaa na kutua pembezoni mwa mto muddy kwa muda wa masaa matatu. Pia julai 1884 iliripotiwa kuonekana kwa chombo cha umbo la duara kilichozungukwa na pete kama sayari ya Saturn huko mjini norwood new York.

Katika matukio ya kushangaza kabisa ya karne hii yaliyoacha maswali mengi ulimwenguni kote ni pamoja na tukio la wanafunzi waliodai kuwaona viumbe hawa nchini Zimbabwe.

Mnamo asubuhi moja ya septemba 16 mwaka 1994 walimu na wafanyakazi wa shule ya ariel walishikwa na mshangao baada ya baadhi ya wanafunzi kuanzia miaka 7 na 12 kudai kuna ndege ya ajabu ilitua katika viwanja vya shule hiyo. Muda huo walimu walikuwa kwenye kikao hivyo wanafunzi walikuwa nje bila uangalizi wowote wakati tukio hilo linatokea, siku mbili kabla ya tukio hilo huko mjini Harare kilomita 20 kutoka mji wa ruwa kuliripotiwa kuonekana vitu vinavyopaa angani visivyoelewka.

Watoto hao walidai kwamba mwanzo waliona vitu tofauti vitatu vinazunguka angani baada na ya muda vinapotea na kutokezea tena eneo lingine halafu vyombo hivyo vikaanza kusogea kuelekea chini mwishowe vikatua katika vichaka pembezoni mwa viwanja vya shule hiyo,

Wanafunzi hao wakadai waliona kiumbe mfupi mithili ya mwanadamu mwenye urefu kama mita moja kasimama juu ya chombo hicho. Ghafla yule kiumbe alianza kuwasogelea wale wanafunzi taratibu. Kimwonekano alikuwa ana shingo kama ya mtu mzee sana, macho makubwa meusi na nywele ndefu nyeusi. Ghafla wanafunzi wale walianza kupiga mayowe wakikimbia huku na kuo kuomba msaada wakijua labda ni mashetani waliyokuwa wakihadithiwa na mababu zao katika baadhi ya hadithi. Kelele zile zilimshtua kiumbe yule alipowaona wanafunzi wale na ghafla alipotea na kutokeza tena pembeni ya kile chombo ambacho kiliondoka ghafla na kupotelea angani.

Cynthia hind mchunguzi wa matukio ya UFO barani africa aliwasili shuleni hapo kesho yake asubuhi ambapo ali kutana na mkuu wa shule hiyo, wanafunzi Zaidi ya 65 waliapa na kuripoti vitu vinavyofanana kuhusu tukio hilo. waliambiwa wachore picha za kile walichokiona jana yake. Zilichorwa picha tofauti 35 zilizokuwa na mwonekanao wa aina moja. Mmoja wa watoto hao alisema viumbe hao walikuwa wakitoa ishara kuonesha kwamba binadamu tunaharibu dunia yetu kwa uchafuzi wa mazingira hivyo tuache kabla hakujawa na madhara makubwa
Michoro ile ililingana na mamia ya matukio ya watu waliokiri kuona viumbe wa ajabu duniani
View attachment 434108View attachment 434109View attachment 434110

Kitabu kimoja kinachoitwa the report on identified flying object cha mwaka 1955 kilichoandikwa na Ruppelts kimeelezea mamia ya matukio ya kuonekana kwa UFOS duniani kikiandika shahidi mbalimbali za kweli kutoka kwa marubani wa jeshi pamoja na wanasayansi mbalimbali ambao walitoa ushahidi kuhusu kuwaona viumbe hao wakiwa huko angani. Shahidi nyingi zimethibitishwa lakini mpaka sasa kisa cha zimbambwe kimeacha maswali kadhaa , je ni kweli tukio hilo lilitokea? Na lipi fundisho hasa kwetu sisi wanadamu?

Mkuu hawa viumbe wamepakwa sana marashi lakini ukweli ni kwamba hawa ndio majini,mapepo,vibwengo au fallen angels nk.Biblia inawagawanya katika makundi manne na Lucifer ndiye mkuu wao.They can appear in several shapes and forms.Kwenye advanced societies wana behave as advanced beings,kwenye primitive societies wana-behave as primitive beings.So they can provide very advanced technologies to the American Government and can also provide very primitive technologies in Africa or Asia like witchcraft,Juju etc.Hilo jina la Aliens si lolote,lina nia ya kuficha their true nature and identity.Hawa ni malaika walioasi kama ilivyoelezwa vizuri kabisa kwenye kitabu cha Ufunuo 12:7-17.Wana capacity ya "time travel." Ona Isaya 14:12-15 if you are interested.Kwa sababu wana capacity ya "time travel" wanakaa wapi sio issue sana.

May be you will be interested to know that God has already condemned them to eternal hell fire.They have plans to rule humanity through the New World Order,ingawa even now they control world affairs from behind the scenes.Plans are at a very advanced stage.

Ni viumbe waovu sana na nia yao ni ku-destroy the human race.Madai kama kuna Aliens wazuri is rubbish.
Tatizo la Dunia hii kuna mambo mengi sana ambayo yanafanyika .... Kwa macho haya ya kawaida ni ngumu kuona. Hata unapoambiwa Mungu yupo... Wengi wetu tunaishia kuamnini baada ya kuona Miujiza na Nguvu zake.... Au kusoma vitabu vya dini.

Na ukiambiwa nchini ya Dunia yaani ardhini huko kuna watu wanakaa au baharini kuna watu wanakaa inakuwa ngumu maana hata njia za kwenda huko chini ya bahari ni tofauti kabisa na uwezo wetu wa kibinadamu wa kila siku.

Mara utaambiwa kuna Sayari huko angani mbali mbali... Muda mwingine najiuliza nn umuhimubwa kuwa na sayari hizi tunazo zisikia mara Jupiter mara Pluto...

Shida inakuja cjui hao Alien wana kaa wapi na Mungu anakaa wapi ndio tatizo linapokuja.... Wana uhusiano wowote au laaaa... Basi haya mambo yanakaa tu hewani bila jibu....

Pasua kichwaa
 
Mkuu hawa viumbe wamepakwa sana marashi lakini ukweli ni kwamba hawa ndio majini,mapepo,vibwengo au fallen angels nk.Biblia inawagawanya katika makundi manne na Lucifer ndiye mkuu wao.They can appear in several shapes and forms.Kwenye advanced societies wana behave as advanced beings,kwenye primitive societies wana-behave as primitive beings.So they can provide very advanced technologies to the American Government and can also provide very primitive technologies in Africa or Asia for example like witchcraft.Hilo jina la Aliens si lolote,lina nia ya kuficha their true nature.Hawa ni malaika walioasi kama ilivyoelezwa vizuri kabisa kwenye kitabu cha Ufunuo 12:7-17.Wana capacity ya time travel.Ona Isaya 14:12-15 if you are interested.

Ni viumbe waovu sana na nia yao ni ku-destroy the human race.Madai kama kuna Aliens wazuri is rubbish.
Tatizo la Dunia hii kuna mambo mengi sana ambayo yanafanyika .... Kwa macho haya ya kawaida ni ngumu kuona. Hata unapoambiwa Mungu yupo... Wengi wetu tunaishia kuamnini baada ya kuona Miujiza na Nguvu zake.... Au kusoma vitabu vya dini.

Na ukiambiwa nchini ya Dunia yaani ardhini huko kuna watu wanakaa au baharini kuna watu wanakaa inakuwa ngumu maana hata njia za kwenda huko chini ya bahari ni tofauti kabisa na uwezo wetu wa kibinadamu wa kila siku.

Mara utaambiwa kuna Sayari huko angani mbali mbali... Muda mwingine najiuliza nn umuhimubwa kuwa na sayari hizi tunazo zisikia mara Jupiter mara Pluto...

Shida inakuja cjui hao Alien wana kaa wapi na Mungu anakaa wapi ndio tatizo linapokuja.... Wana uhusiano wowote au laaaa... Basi haya mambo yanakaa tu hewani bila jibu....

Pasua kichwaa
 
Maandiko ya Bwana yanasema wapo viumbe watakatifu kwenye sayari nyingine ambao hawakuasi sheria ya Bwana ila sina uhakika kama ndiyo hao aliens.
 
Ukweli ni kuwa kuna viumbe nje ya sayari yetu ambao ni much more advanced kuliko Wamarekani na binadamu kwa ujumla. Tukio la karibuni ninalolifahamu mie ni ile ndege ya Malaysian Airways iliyopotea. Nawahakikishieni ile ndege haikuanguka ila ilipelekwa na chombo cha hao UFO huko wakaapo kwa research zao. Utasikia mara mabati yamepatikana baharini au hiki na kile lakini ukweli ni kuwa hakuna baki la ndege wala mtu kitakachoonekana katika sayari hii
Kweli aisee maana hivi kweli marekani na technolojia yao ya kutumia satellites za kucheki hadi chini ya bahari wameshindwa kweli kuipata hiyo ndege au ni figisu figisu tu....hawa wanafahamu mipango yote iliendaje....
 
Ukweli ni kuwa kuna viumbe nje ya sayari yetu ambao ni much more advanced kuliko Wamarekani na binadamu kwa ujumla. Tukio la karibuni ninalolifahamu mie ni ile ndege ya Malaysian Airways iliyopotea. Nawahakikishieni ile ndege haikuanguka ila ilipelekwa na chombo cha hao UFO huko wakaapo kwa research zao. Utasikia mara mabati yamepatikana baharini au hiki na kile lakini ukweli ni kuwa hakuna baki la ndege wala mtu kitakachoonekana katika sayari hii

Mkuu eeeh,na lile bawa lililopatikana pemba lililothibitishwa na wataalam kuwa ni la malasian airways ile iliyopata ajali unataka kuniambia kuwa aliyethibitisha ni alien?
 
Mkuu kama inavyo semekana walikuwa na uwezo wa kupotea itajuaje kama walichukua sample ya baadhi ya vitu bila kuonekana..
Na huenda wamesha kuwa na teknolojia kubwa zaidi kiasi kwamba vyombo vyetu haviwezi kuwaona tena
Hata kwa macho ya kawaida hatuweze kuwaona
Hilo ni wazi mkuu kwa technology hatuwawezi swali la msingi wanakuja kufanya nini na kuondoka ama huwa wapo sema hatuwaoni? Ama wanafanya safari kama sisi tunavofanya za kwenda mwezini kuchunguza?
 
Ukiwa na elimu ya form two au uwezo mdogo wa kufikiri hizi story ukiambiwa unaamini 100%.

Sayari zipo nyingi sana ulimwenguni, kuna uwezekano wa kuwepo na viumbe hai wengine lakini usijidanganye kua hizo story hapo juu ni za kweli hata siku moja. Ukishaona figure ya alien inafanana na vile vya Hollywood weka red flags kwanza.

Internet ina 80% story za uongo kwa kua ndo story wengi wanapenda kusoma, zinalipa pesa nzuri sana. Kueni makini, njia pekee ya kutambua zipi ni feki na zipi ni sahihi ni kupata elimu tu.
 
Elimu unayosema moja ya matumizi yake ni ku reason unachokisikia ,kusoma ,ama kuona
 
I have been doing some researches concerning UFO's na kupitia documentaries nyingi na shuhida mbali mbali kuhusiana na kuonekana kwa Aliens. Kukuuliza yale maswali ni kutaka kupanua wigo wa watu kukuelewa zaidi na ujibu kwa ufasaha zaidi na sio kwakujiaminisha tu kuwa wapo na hizo missing ndege wao ndio wanaozichukua. Inaaminika spaceships zao zina speed kubwa sana tofauti na vyombo vyetu, pia vyombo vyao vinauwezo wa kukata kona at 90° meaning that something that our spaceships hazina uwezo huo kwa udogo wa technolojia yetu, swali sasa ni kwanini wachukue ndege zetu kwaajili ya researches zao wakati ni vya low technologies? Come up with supporting evidences wa hizo ndege kuchukuliwa na hao Alliens mkuu ili utupanue mawazo
wamechukua watu.... hyo ndege haina ishu kwao...

wale watu kama.ni kweli iwamechululiwa na aliens...,.most probably wameenda kufanywa lab rats

wanaangalia responses, emotions, behaviour, growth, brain development, immune system, ability tp cope with their environment,
 
It's like you're so sure with what you have written here about that missing aeroplane. Kama hawa viumbe wana high and advanced technology kuliko technology tunayotumia hapa duniani kwanini waichukue hiyo ndege kwa research zao?
Na kwanini waonekane baadhi ya sehemu tu hapa duniani na si all over the world?
Nitafurahi kama nitapata majibu ya haya maswali mkuu[/QUOTLABDA NIKUJIBU TU C KWAMBA WAKICHUKUA NDEGE WATAENDA KUICHUNGUZA ILI WAIBE TECHNOLOGY HAPANA WANACHOTAKA WAOA NI KUFANY A HUMAN AUTOPSY NA PIA UKIFUATILIA KGB LEAKAGE UTAGUNDUA KWAMBA WANAIBAGA MAYAI NA SPERMS ZA BINADAMU ILI KUWAZALISHA WENGINE WENYE MICROCHIP KATIKA UBONGO WAO NA KUWEZA KUWA MIND CONTROL NA PIA KUWAWEKA KATIKA WATU WENGINE NA KUWEZA KUITAWALA DUNIA
 
Mkuu eeeh,na lile bawa lililopatikana pemba lililothibitishwa na wataalam kuwa ni la malasian airways ile iliyopata ajali unataka kuniambia kuwa aliyethibitisha ni alien?

Hakuna MTAALAM aliyethibisha kuwa lile bawa lina uhusiano na ndege ya Malaysian Airways. Zilikuwa ni hisia tu na zimekuwa brushed aside siku nyingi. Mpaka leo bado mabaki ya ile ndege yanatafutwa
 
Hakuna MTAALAM aliyethibisha kuwa lile bawa lina uhusiano na ndege ya Malaysian Airways. Zilikuwa ni hisia tu na zimekuwa brushed aside siku nyingi. Mpaka leo bado mabaki ya ile ndege yanatafutwa
Na hayatapatikana according to many as they keep insisting and believing imechukuliwa na Aliens kwa research zao haha.
 
mpaka nije niwaone ndio ntaamini hivihivi never
Na sijui hao aliens wana mademu wazuri tugegede! Unaweza kuta wana papuchi amaizing zilizokwenda shule full digital zina regulate pressure ,minimize energy used kugegeda na kutoa output ya ajabu halafu lile utamu linakuwa prolonged kiasi kwamba ukigegeda sasa unaendelea lupiga shuti hewani saa nzima !
 
Back
Top Bottom