Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
UFOS maana yake siyo viumbe hai bali ni kitu chochote kinachoruka angani ambacho hakijulikani ni nini! (unidentified flying object)
Nahisi wewe utakuwa ni mdada wa kwanza kucomment kwenye huu uzi, big up!........... Thread kama hizi(na hata kule kwenye jukwaa la sayansi) huwa zinakimbiwa na wadada! Tatizo ni nini???[emoji32][emoji32][emoji32]Nataka kufahamu wamarekani waliwezaje kusaini mikataba na hao viumbe
Hawanaga hio interest ,mimi binafsi napenda historia sana ,zamani mama alikua akinihadithia vita za msumbiji nikawa napata hamu...Nahisi wewe utakuwa ni mdada wa kwanza kucomment kwenye huu uzi, big up!........... Thread kama hizi(na hata kule kwenye jukwaa la sayansi) huwa zinakimbiwa na wadada! Tatizo ni nini???[emoji32][emoji32][emoji32]
Mdada unapenda millitary??!![emoji32][emoji32]......Salute kwa Mama yetu mpendwa!Hawanaga hio interest ,mimi binafsi napenda historia sana ,zamani mama alikua akinihadithia vita za msumbiji nikawa napata hamu...
Huwa napenda historia/jiografia
napenda sana sana na military
Yes[emoji87][emoji87]Mdada unapenda millitary??!![emoji32][emoji32]......Salute kwa Mama yetu mpendwa!
Walahi wewe ni UFOS![emoji30][emoji30][emoji30]Yes[emoji87][emoji87]
am not flying[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walahi wewe ni UFOS![emoji30][emoji30][emoji30]
Sawa Tomaso!mpaka nije niwaone ndio ntaamini hivihivi never
Shetani huzunguka zunguka kama simba aungurumaye akitafuta mtu ammeze!hizi hadithi kadiri zinavyosimuliwa zinataka kua kama kweli, lakini ktk maandiko ya imani yana mtaja MUNGU ndie muumbaji wa vyote vionekanavyo na visivyoonekana, huenda ikawa kweli wapo au ni mapepo au ni viumbe wa Mungu lkn huku wanatafuta nini?
hizi story huenda zikawa za kweli kuna riwaya moja humu humu inaelezeaShetani huzunguka zunguka kama simba aungurumaye akitafuta mtu ammeze!
Hakika mkuu, hasa kuhusu area 51 usa hili eneo linalindwa vibaya mno.hizi story huenda zikawa za kweli kuna riwaya moja humu humu inaelezea
basi dunia inasiri nyingi sanaHakika mkuu, hasa kuhusu area 51 usa hili eneo linalindwa vibaya mno.
Ngoja tuendelee kupata madini, wanasema elimu haina mwisho!basi dunia inasiri nyingi sana