(UFOS) na Aliens wa Zimbabwe! nini hasa Kilitokea?

(UFOS) na Aliens wa Zimbabwe! nini hasa Kilitokea?

Kuna nadharia kuwa kuna chombo cha aliens kilidondoka huko marekani ila wamarekani wakafanya siri na kuiba technologia yao kutengeneza vyombo vya kwenda anga za mbali, computers n.k.
Yap mkuu,update nilizonazo sasa ni kwamba kuna aliens ambao marekani imesign deal nao and they oparate through infilitration to colonize human kwa kutumia technology they are the most violent alien race in the universe and there are other who are supporting russia who want to proctec human nilisoma kwenye jarida la exopolitics.org
 
Ukweli ni kuwa kuna viumbe nje ya sayari yetu ambao ni much more advanced kuliko Wamarekani na binadamu kwa ujumla. Tukio la karibuni ninalolifahamu mie ni ile ndege ya Malaysian Airways iliyopotea. Nawahakikishieni ile ndege haikuanguka ila ilipelekwa na chombo cha hao UFO huko wakaapo kwa research zao. Utasikia mara mabati yamepatikana baharini au hiki na kile lakini ukweli ni kuwa hakuna baki la ndege wala mtu kitakachoonekana katika sayari hii
 
Zimbabwe wanasifika kwa uchawi pia hao wanafunzi walitokewa na viemolo vile vya pepe kale maana vilikiwa vichawi na ndio ulikuwa uchawi wa pepe kale
 
Niko nao hapa ngoja nipige nao selfe
Picture uploading......
 
Ukweli ni kuwa kuna viumbe nje ya sayari yetu ambao ni much more advanced kuliko Wamarekani na binadamu kwa ujumla. Tukio la karibuni ninalolifahamu mie ni ile ndege ya Malaysian Airways iliyopotea. Nawahakikishieni ile ndege haikuanguka ila ilipelekwa na chombo cha hao UFO huko wakaapo kwa research zao. Utasikia mara mabati yamepatikana baharini au hiki na kile lakini ukweli ni kuwa hakuna baki la ndege wala mtu kitakachoonekana katika sayari hii
Mkuu umeandika kwa uhakika vipi uliwaona wakati wanaichukua
 
Ukweli ni kuwa kuna viumbe nje ya sayari yetu ambao ni much more advanced kuliko Wamarekani na binadamu kwa ujumla. Tukio la karibuni ninalolifahamu mie ni ile ndege ya Malaysian Airways iliyopotea. Nawahakikishieni ile ndege haikuanguka ila ilipelekwa na chombo cha hao UFO huko wakaapo kwa research zao. Utasikia mara mabati yamepatikana baharini au hiki na kile lakini ukweli ni kuwa hakuna baki la ndege wala mtu kitakachoonekana katika sayari hii

True that..they were abducted same as many before in bermuda triangle in Atlantic ocean
 
Tatizo la Dunia hii kuna mambo mengi sana ambayo yanafanyika .... Kwa macho haya ya kawaida ni ngumu kuona. Hata unapoambiwa Mungu yupo... Wengi wetu tunaishia kuamnini baada ya kuona Miujiza na Nguvu zake.... Au kusoma vitabu vya dini.

Na ukiambiwa nchini ya Dunia yaani ardhini huko kuna watu wanakaa au baharini kuna watu wanakaa inakuwa ngumu maana hata njia za kwenda huko chini ya bahari ni tofauti kabisa na uwezo wetu wa kibinadamu wa kila siku.

Mara utaambiwa kuna Sayari huko angani mbali mbali... Muda mwingine najiuliza nn umuhimubwa kuwa na sayari hizi tunazo zisikia mara Jupiter mara Pluto...

Shida inakuja cjui hao Alien wana kaa wapi na Mungu anakaa wapi ndio tatizo linapokuja.... Wana uhusiano wowote au laaaa... Basi haya mambo yanakaa tu hewani bila jibu....

Pasua kichwaa
 
Ukweli ni kuwa kuna viumbaeropayari yetu ambao ni much more advanced kuliko Wamarekani na binadamu kwa ujumla. Tukio la karibuni ninalolifahamu mie ni ile ndege ya Malaysian Airways iliyopotea. Nawahakikishieni ile ndege haikuanguka ila ilipelekwa na chombo cha hao UFO huko wakaapo kwa research zao. Utasikia mara mabati yamepatikana baharini au hiki na kile lakini ukweli ni kuwa hakuna baki la ndege wala mtu kitakachoonekana katika sayari hii
It's like you're so sure with what you have written here about that missing aeroplane. Kama hawa viumbe wana high and advanced technology kuliko technology tunayotumia hapa duniani kwanini waichukue hiyo ndege kwa research zao?
Na kwanini waonekane baadhi ya sehemu tu hapa duniani na si all over the world?
Nitafurahi kama nitapata majibu ya haya maswali mkuu
 
Hawa viumbe wamekuwepo miaka mingi na incidences za vyombo vyetu vya angani kuchukuliwa kama ile ndege ya Malaysia zimetokea nyingi kabla ya hiyo ndege. Kuuliza kwa nini hivyo viumbe havikutapakaa ulimwengu mzima ni sawa na kuuliza kwa nini Bokoharam hawako TZ au Urusi
 
area 51 wanashirikiana na aliens pale marekani na hao viumbe ndo waofanya marekani iwe pale ilipo ..wana uwezo mkubwa sana ni kweli kbs aliens ..wapo
 
Hao ufo walikuja kusain mikataba ya anga na ya kiuchumi walivyoona watoto wanapiga kelele wakasepa
 
Habari za uwepo wa Hao viumbe zimekuwepo kwa siku nyingi sana. Ila huwa ninakuwa na maswali mengi kuwahusu ambayo hayana majibu ya kuridhisha.

Kama ni viumbe toka sayari nyingine kweli, na wana uwezo huo wa kuja mpaka huku, ni nini haswa dhumuni la safari kama hizo? Haiwezekanai waje tu na kuondoka. Mf. katika hilo tukio la Zimbabwe wangeweza kuondoka na mtoto mmoja (labda) au kitu kingine chochote kwa ajili ya uchunguzi, hapo ingeonyesha wapo na wana malengo fulani kwa kuja kwao.

Kwa huo uwezo wao wa kuja mpaka huku na kurudi inaonyesha wana utaalam mkubwa kuliko sisi. Kama walianza kuonekena huku tangu enzi za giza 1639 ina maana wangekuwa wameendelea zaidi na wakija wangekuja kwa namna ya kimaendeleo na muonekano tofauti wa vyombo vyao na malengo tofauti pia. Mfano, wangeweza hata kutua kwenye Jangwa la Sahara na kufanya yao kwa siku wanazotaka kisha kuondoka. Sio kuja kwa kujificha na kukimbia kwa vyombo vile vile vya miaka ile.

Hao wa Zimbabwe Eti, watoto walipiga kelele wakakimbia..hao walikuwa vibwengo.
hoja yko naipinga kwa hoja kwan wanasayansi wanafuata nn kwenye sayari nyingine? unaweza kupuuzia uwezo wa kiumbe usichokijua?
 
It's like you're so sure with what you have written here about that missing aeroplane. Kama hawa viumbe wana high and advanced technology kuliko technology tunayotumia hapa duniani kwanini waichukue hiyo ndege kwa research zao?
Na kwanini waonekane baadhi ya sehemu tu hapa duniani na si all over the world?
Nitafurahi kama nitapata majibu ya haya maswali mkuu
kwann waonekane wachache!sasa wanasayansi kwan wanaendaga mars huko milioni kumi au wawili watatu tu?tatizo ni tabia ya binadamu kujiona yeye ndo bora nadhan ndo nikichojifunza kweny comment yako
 
Aliens real exist...and there is the reason why we are in the dark about them, kwasababu ukweli ukijulikana sasa kila msingi ya imani na dini zitaharibika...Muumba wa vyote yupo lakini sio kwa jinsi inavyofundishwa, we have been mislead by secrecy....mfano wa aliens

RAK alitembelea middle east ndo walitengeneza imani ya jinn (genies) in islamic methology na ndo aliens race ambayo imetembelea dunia mara chache "and they stopped visit earth because their immune system could not cope with earth's fauna and flora and now they exist in dimension beyond the existing dimension of our universe they last record visit 712AD.

Alien wengine wanaitwa The pleyadiyans wanausika sana katika ukuaji wa kiroho...(spiritual growth) they regularly visiting earth and they have remain most silence since 10,000BC their ship are known has beamship...they are the oldest race

Alpha draconians:- hawa wanataka kutawala dunia kwa madai kwamba wao wanaumri sana kuliko sisi kwahiyo dunia ni mali yao "They are apparently a major part of a planned 'invasion' which is eventually turning from covert infiltration mode to overt invasion mode as the "window of opportunity" (the time span before International human society becomes an interplanetary and interstellar power) slowly begins to close.

They are attempting to keep the "window" open by suppressing advanced technology from the masses, which would lead to eventual Terran colonization of other planets by Earth and an eventual solution to the population, pollution, food and other environmental problems.

Being that Terrans have an inbred "warrior" instinct the Draconians DO NOT want them/us to attain interstellar capabilities and therefore become a threat to their imperialistic agendas"

Negumak (aka. Gnomopo) hawa alien ndo wameinspire filamu ya Hollywood independent day wametembelea dunia kwa mara ya kwanza 1989 na wanateka binadamu na kufanya majaribio ya mind control na ni moja ya kati alien race ambayo serikali kubwa inaziogopa considering the future human

Hii ni baadhi tu but ukitafuta KGB alien race leakage note book unajua zaidi...and you be the judge if it real or not
 
Ndio ufozi ni jamii ya popobawa, lakini popobawa ni ufozi wanaohusika na mambo ya ngono. Popobawa ni ufozi la ngono.

Na washawasha!
Nani kati ya popobawa na Ufozi anakufa na kufufuka?
Tah teh..kheeeee kheeeee
 
Hawa viumbe wamekuwepo miaka mingi na incidences za vyombo vyetu vya angani kuchukuliwa kama ile ndege ya Malaysia zimetokea nyingi kabla ya hiyo ndege. Kuuliza kwa nini hivyo viumbe havikutapakaa ulimwengu mzima ni sawa na kuuliza kwa nini Bokoharam hawako TZ au Urusi
I have been doing some researches concerning UFO's na kupitia documentaries nyingi na shuhida mbali mbali kuhusiana na kuonekana kwa Aliens. Kukuuliza yale maswali ni kutaka kupanua wigo wa watu kukuelewa zaidi na ujibu kwa ufasaha zaidi na sio kwakujiaminisha tu kuwa wapo na hizo missing ndege wao ndio wanaozichukua. Inaaminika spaceships zao zina speed kubwa sana tofauti na vyombo vyetu, pia vyombo vyao vinauwezo wa kukata kona at 90° meaning that something that our spaceships hazina uwezo huo kwa udogo wa technolojia yetu, swali sasa ni kwanini wachukue ndege zetu kwaajili ya researches zao wakati ni vya low technologies? Come up with supporting evidences wa hizo ndege kuchukuliwa na hao Alliens mkuu ili utupanue mawazo
 
Back
Top Bottom