mzee wa manzese
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 670
- 217
Watu wa kaskazini wachaga,wapare,wamasai,wameru mtapigwa vita kila sehemu kwa ajili ya kutaka mageuzi
huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea " kubwa la makapi na mafisadi " lowassa ahamie kwa umoja wa panya road na wazururaji CHADEMA / UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA / UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha lakini ufo saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.
kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mligfanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. halafu na nyie CHADEMA / UKAWA kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.
ufo saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA / UKAWA ili tujue moja.
tuvumiliane tu kwa sasa.

au ndiyo wewe nini ufoo saro mwenyewe? tuvumiliane tu tafadhali.

Hivi mmesahau yule kijana Mushi alitakawaua familia nzima? Alipata fununu kuna kigogo Chadema anatafuna,sasa msishangae

You'll know them by their words!dawa yangu kubwa ni jani tena la longido au tarime je unasemaje? nikupe na wewe hizi dawa zangu?