dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
harafu bado mniambie hera yangu niiache huko nssf mpaka nistaafu!! hahahahaaaaaaaa
Hayo maswali ya msingi kama hili Watz huwa hatujiulizi na ndio maana hatuna mwelekeo!Nani mmiliki wa hii kampuni ya Azimio, na kwa sasa yupo wapi?kwa nn hajakamatwa?
Ametaja miezi 8... bila shaka anamaanisha vetting ya host country na sio Tanzania! Ikumbukwe, baada ya kuteuliwa, miezi kadhaa ilipita kabla hajaenda kuripoti.Tanzania amna kitu kama icho,Gambo kafikishwa kwenye tume ya maadili mara mbili ila sasa hivi ni mkuu wa mkoa. Uyu Dau kaifilisi NSSF lakini hawatoweza kumgusa kwasababu amna mtu anaepinga ufisadi.
Ametaja miezi 8... bila shaka anamaanisha vetting ya host country na sio Tanzania! Ikumbukwe, baada ya kuteuliwa, miezi kadhaa ilipita kabla hajaenda kuripoti.
Naunga mkono hoja.Hizi tuhuma ni nzito.Isije ikaonekana tumbua tumbua ni kuonea vidagaa na kuacha mapapa.Balozi Dau arudishwe nyumbani kwa uchunguzi zaidi.
Wangemkataa asingeenda...Na walimkataa
Kati ya zambi zitawaangwatanzwatanzaniaw kwa mungu ni zambi ya mdomo,ukisoma uo UZI unabak unajiuliza tu iv hawa chafua DAU anae wafund ni mzimu?mana hawajawai kufanikisha utumwa wao,Tanzania amna kitu kama icho,Gambo kafikishwa kwenye tume ya maadili mara mbili ila sasa hivi ni mkuu wa mkoa. Uyu Dau kaifilisi NSSF lakini hawatoweza kumgusa kwasababu amna mtu anaepinga ufisadi.
Umeona eeh? Nawaza tu kwamba huenda hizi peza tulizopigwa zimekwenda kwenye kampeni za jamaa flani hivi, kama zile za EPA. Usishangae sana!Duh haya mambo ya Dr Dau yalisemwa sana lakini kwa mshangao wa wengi leo ni Balozi.
Usichangie wewe ila mi nasema dau hachomoki,ni mwizi tena panya mwituHatuchangii leo Mwache DAU apumzike.
Hii report ndio kasaini Bosi profesa mpya wa NSSF?..duuh yaani kashindwa hata kupeleka kwa editor kunyoosha lugha?..jamani uongozi kazi nyinyi sikieni hivyo hivyo tu..
https://http-www-jamiiforums-com.0...._id_internal=925946837445621;AfqSqFtoLPyovru2Mmiliki wa Azimio housing ni nani? Mbona hatajwi tajwi , yaani hata jina la MD/CEO wake halitajwi?
Mkuu mmiliki wa Azimio ni huyu panya buku dau,nimekuwa nikisema huku dau alikuwa mwizi kina Ritz,mohamed said na Abbas wanapepeta mijidomo yao ooh dau anaonewa,hata ubalozi kapewa technically kwa kuwa alimsaidia CCM na pia watu wa dini yake walishaanza kelele ila nasema dau atafungwa na hilo halikwepekiMmiliki wa Azimio housing ni nani? Mbona hatajwi tajwi , yaani hata jina la MD/CEO wake halitajwi?
Hakuna mungu anaelea majizi na majitu isiyokuwa na utu kama dauDAU alishainua mikono kwa mungu,kazi kwenu vijuso utumwa,kila UZI umekua unapita ka upepo uwe wa kiswahili au kizungu,kaleten wakichina sasa.
Naunga mkono hoja.Hizi tuhuma ni nzito.Isije ikaonekana tumbua tumbua ni kuonea vidagaa na kuacha mapapa.
isitoshe wakurugenzi wote wa idara mbali mbali chini ya Mh.Dau walishasimamishwa kupisha uchunguzi.Why not Mh.Dau?