celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Mr Dau ni balozi wa Malaysia after 8 month vetting inatosha kuthibitisha alikuwa hana hatia......
Kama atakuwa fisadi basi tuanze na kitengo cha vetting Ikulu kwa kukipekua
Lakini zaidi ya hapo Hizo polojo za magazeti ya udini na kuchafuana.............
Atarudishwa na kutinga kisutu