mh nape zamani nilikuwa nakuona mzalendo wa kweli na hasa ulipofichua mkataba tata wa ujenzi wa jengo jipya la umoja wa vijana na bila uoga ulimshambulia mh lowas kwa kumwuhusisha na ufisadi wa mradi huo nasikitika sana unaharibu cv yako kwa kutukana watu kama dr wa ukweli DR SLAa ,jitahidi kutumia lugha za kiungwana ,unpoongea kweny radio au tv kuna wtu wengi wanakuona unavyojishushia hadhi, jaribu kujibu hoja na sio kumshambuli mtuMsemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.
Hivi Nape si tukianza kukuvua nguo hapa utasalimika kweli?? haya yule dada(Mtz) uliyempa mimba India ukamsaliti unadhani ulitenda wema??na ile mimba yule dada aliitoa baada ya kuona umesepa na kuitaliki!! Hizi siasa hazina tija kamanda!!
Wewe ndo umefilisika kweli kifikira. Kila anayemkosoa Nape au CCM unaona ni CHADEMA tu. Ni wapi na kwa namna gani mimi nimetaja CHADEMA au Dr Slaa. Nini kilichomsukuma Nape kuleta mambo ya udini dhidi ya CHADEMA wakati mimi sijataja popote kwamba mimi nipo for CHADEMA? Kwa taarifa yako, nina kadi ya CCM tangu mwaka 2000, na nimeshailipia kadi yangu hadi mwaka 2008 nilipoamua kuachana nayo baada ya kutoona faida ya kuilipia hiyo kadi ya CCM. Na hadi leo sijawahi jiunga na chama chochote cha siasa na wala sifagilii chama chochote zaidi ya mabadiliko ya kweli ya nchi yangu pendwa Tanzania. Ninawachukia watu wanaoiibia nchi yangu wakiwemo akina Nape ndiyo maana nimeleta hii thread hapa. Kama unataka kujipendekeza kwa Nape, jipendekeze kivyako, usituletee habari za chadema hapa.Nape thanks 4 the quick reply, usichoke kuwajibu wazushi kama hawa.
JF kweli imevamiwa, mtu anaanzisha topic ya kizushi akijua wako wenzake watasupport.
Na watu kama hawa hata kura huwa hawapigi.
CDM mkiendelea hivi hamtakaa mpate uongozi wa nchi hii.
Ninakerwa sana na mambo ya kizushi ya wanaojiita wana CDM.
Mtaishia maandamano tu ukija uchaguzi mnakula mweleka na siku zinakwenda hivo, mpaka kina Mbowe watakwisha kama Mrema.
Acheni mambo ya kuzusha
Sio hilo tu bali Nape kama yalivyo magamba mengine ni mnafiki! Kama angekuwa muungwana angemsifu Dr wa ukweli Slaa kwa kuwawezesha CCM kujaribu kuvua magamba badala ya kumponda tangu alipoibua kashfa nyingi za ufisadi! Kiongozi mzuri ni yule anayetaja hata mazuri ya hasimu wake kama Nyerere aliposifia Katiba ya CHADEMA wakati yeye alikuwa ni wa CCM!Nape, ulichoksea/tibua ktk thread yako ya mwanzo ni kutumia neno PADRI! Wewe hata kama wakikutukana kaa kimya, iga mfano wa Dr JK, Zitto, Dr Slaa, ulishasikia wanatukana au kuita majina ya kejeli kama wewe ulivyofanya kuita eti PADRI MMOJA! Kumbuka nafasi yako sasa ni nyeti usiwe kama mzee wetu Makamba, jiheshimu kwanza ndiyo vijana tutakuwa na hamu ya kukusikiliza, zaidi watakusikiliza hao wanafiki wasiojua kufikiria pande mbili!
Cc Faiza foxyMsema hovyo,muda ulioutumia kuandika utumbo bila research ugetumia kuoshavyomba kwenu ugekuwa mtu wa maana sana.wana jf hawako hivyo.Hayamaneno unayatowa mtaani nakutuadikia sisi.kabla hujasema jambo fanya research na utupe details siyo kulopoka tu.naukipewa pesa kula,siyolazima uandike kama huna habari ya uhakika.Haiingii hakirini hata kidogo kumlinganisha Nape na Rostam kisa mshahara tena wa u Dc abao hata nape hapokei,poleka majungu kwingine siyo jf.
Huyu ndo makonda anaandika hivi? Naanza kuaminiMsema hovyo,muda ulioutumia kuandika utumbo bila research ugetumia kuoshavyomba kwenu ugekuwa mtu wa maana sana.wana jf hawako hivyo.Hayamaneno unayatowa mtaani nakutuadikia sisi.kabla hujasema jambo fanya research na utupe details siyo kulopoka tu.naukipewa pesa kula,siyolazima uandike kama huna habari ya uhakika.Haiingii hakirini hata kidogo kumlinganisha Nape na Rostam kisa mshahara tena wa u Dc abao hata nape hapokei,poleka majungu kwingine siyo jf.
Huyu ndo makonda anaandika hivi? Naanza kuamini
Umeona alivyoandika kama mtoto wa primary errors kibaoNaona wakati huo walikua wanaiva. Hapa anamtetea Nape.
Juzi Nape kamchenjia....kweli siasa za wanasiasa
Siasa kweli ni balaaaaaNaona wakati huo walikua wanaiva. Hapa anamtetea Nape.
Juzi Nape kamchenjia....kweli siasa za wanasiasa
Wacha waendelee kulana nyama tu. Sie tunaenjoy sinemaSiasa kweli ni balaaaaa
Karibu lipi?Tutajenga viwanda kweli? kama tunaanza kufukua makaburi