Msema hovyo
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 195
- 86
Rostam will bounce back. are you ready?Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.
Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.

Kama kosa kubwa ambalo CCM wamefanya kukuweka wewe katika nafasi uliyo nayo. Kiongozi mahiri mwenye itikadi sahihi na heshima mbele ya jamii yake ni heshima kwa kila mtu bila kujali cheo na jinsia.
Nape una tabia mbaya sana ambayo ni kinyume kabisa cha maadili na falsafa ya uongozi na kwa njia hiyo inakuvunjia heshima yako uliyokuwa nbayo.
Kiongozi safi mwenye elimu na kuelimika, busara na hekima hujenga hoja kifasafa kutokana itikadi za chama chake, kati hawezi kuanza kumshambulia mtu binafsi.
Nape tunashindana hoja za kiitikadi na hoja ikikushinda usikimbilie kumvua nguo mtu unajiaibisha, maana huenda wewe ukivuliwa nguo utaonekana na makengeza kuliko unaowavua nguo.
Kiongozi mahiri hupinga hoja hapingi mtu. Tunachukia hoja mbaya hatumchukii mtu. Tutakufundisha mpaka lini hadi uelewe?
Jaribu kujifunza lugha nzuri au tukupeleke darasani kusoma elimu ya usemaji yaana effective speaking. Hali ilivyo na unavyoendelea kufoka unaharibu zaidi chama na wajihi wake. Umemwona Katibu kuu wako Mukama alivyotulia? Busara ndivyo inavyotakiwa yakhe.

Ndugu yangu Nape, tulia jitafakari na uchukue hatua. Unajiaibisha, unaaibisha chama na unadhalilisha jina Nnauye! Kuna wakati ulijenga kaheshima ktk jamii, ukahesabika kama kijana mzalendo na jasiri. Sasa heshima yoote unaifuta kwa kasi ya ajabu kwa 'uropokaji'. Ueneze sera siyo 'mipasho'! Hekima, heshima na maadili hayana chama! Na nafasi uliyonayo yataka hekima!Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.
Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.
NAPE UNAZIDI Kujidhirishia kwamba wewe hufai kuwa kiongozi.Hivi huwa unafikiria kabla ya kuandika? Nadhani nyumba ya vioo JK inakupa kiburi mpaka unarusha mawe kwa kila mtu anayepita njiani.Unajijengea maadui ukiwa umesahau kuwa ccm inakoelekea yaweza kung'olewa na unasahau kuwa kuna maisha beyond politics.Wewe unaweza kushindana dr slaa? ninazidi kukupata zaidi na kuyakumbuka maneno niliyoyapata toka kwa shemeji yako kuwa UNAJIONA UKO JUU SANA KIASI KWAMBA UNAMSAHAU HATA MJOMBA WAKO AMBAYE NDIYE KILA KITU KWAKO.Kwa sababu hauna akili ndo unaona hicho cheo ndo umefka.NAKUHURUMIA kwa sababu upo kwenye black list ya bilionea RA na wewe pengine kwa sababu ya kuwa na akil finyu unajiona uko salama.We huwezi kujibu hoja kwa utulivu kama dr slaa anavyojibu?.Kumbuka kwenye siasa mpinzani wako anaweza akaprovoke wakati mwingine kwa kukutengenezea scandal ambayo lengo lake ni kukutegeshea ili ufunguke. Nenda udsm ukafundishwe siasa ukashagraduate uje jfMsemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.

Maelezo haya Nape hayatoshi. Ukuu wa wilaya hauachwi kienyeji, kuna process za kuuacha, na unatakiwa utuambie uliandika lini barua ya kuresign na ulikabidhi kwa nani hiyo ofisi ya ukuu wa wilaya. Kwa taratibu za utumishi, wa umma, utumishi huwa hauishi hadi pale utakaposimamishwa rasimi kwa barua. Je Bwana Nape una barua yoyote inayoelekeza kwamba wewe si mkuu wa Wilaya tena? Je una barua yoyote inayoeleza kwamba mshahara wako unasimamishwa kutokana na utumishi wako kubadilishwa au kukoma?Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.