Tetesi: Ufisadi wa kutisha ndani ya Serikali

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
CAG report ya mwaka huu ni pasua kichwa kuna ufisadi wa kutisha wa pesa za umma..

Upotevu wa 2.4 trion ongezeko karibu mara mbali ya pesa ambayo haikuonekana mwaka Jana....

Najua wakurugenzi wa halimashari watatolewa kafala lakini ukweli ni kwamba ...

Hazina ndio kuna ufisadi wa kutisha pesa zimechotwa za kutosha ..

Sector ya Madini CAG bado harusiwi kukagua..

Report ya ukaguzi Maalumu wa mwaka Jana 1.5 trion ni majonzi matupu Speaker kailalia hataki kuitoa...

Nitaweka report kamili hapa ila napenda kumshukuru CAG Kwa kuendelea kuwa mzalendo na kukataa report yake ipikwe.

Magufuli anazima vyombo vya habari ili afanye ufisadi wa kutosha..
 
bila shaka wewe ni mmoja ya wakurugenzi wa halmashauri uliyekumbwa na ufisadi katika halmashauri yako hivyo unaamua kuitupia zigo la kinyesi hazina. ni ukweli usiopingika, halmashauri ndiko kuna uchafu wa kutisha sana kwenye hii nchi usijifanye kutetea leo hii. subiri mtumbuliwe akili zikae sawa. Rais Magufuli tumbua hao kabisa
 
Naona unajaribu kusukuma treni linaloenda mbele lirudi nyuma! Bahati mbaya wewe ndiyo utasagwa vibaya!
 
Back
Top Bottom