mbona Abubakar Asenga umekuwa mkali hivi! ndio mambo ya kulipa fadhira hayo, pole sana mdogo wangu, hakuna kitu kibaya kama shida hapa duniani.wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.
Kila sehemu ya nchi yenye fedha ukiulizia mmiliki ni nani uaambiwa ni kigogo wa serikali ni kwanini?nchi hii inahujumiwa wazi wazi hivi,cha kushangaza nenda tra halipikodi hat sent tano na hata kama atakuwa analipa basi ni kidogo sana,unafikiri kwa mtindo huu nchi itaendelea kwa maendeleo wanayoyasema?hapa ni changa la macho tuna pewa tu,ila iko siku huu udhalimu utakwisha tu.
Hicho kiwanja alikipata baada ya kuvunja kota za Railways zilizokuwepo paleKupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata
Makaburi yanafukuliwaKupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.
Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.
Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
Tunawakumbusha wazee ukiwa kwenye nyumba ya vioo usiwarushie watu maweMakaburi yanafukuliwa
Tunawakumbusha wazee ukiwa kwenye nyumba ya vioo usiwarushie watu mawe
General Manager wa hii kampuni ya kinana alikutwa na meno ya Tembo nyumbani kwake sijui unakumbuka?
Na hivi sasa mzee kinana amekimbilia kwao Canada
Haaaa.....in musiba's voiceTunawakumbusha wazee ukiwa kwenye nyumba ya vioo usiwarushie watu mawe
General Manager wa hii kampuni ya kinana alikutwa na meno ya Tembo nyumbani kwake sijui unakumbuka?
Na hivi sasa mzee kinana amekimbilia kwao Canada
Kumbe ni raia wa Canada? Duuu ayseeeTunawakumbusha wazee ukiwa kwenye nyumba ya vioo usiwarushie watu mawe
General Manager wa hii kampuni ya kinana alikutwa na meno ya Tembo nyumbani kwake sijui unakumbuka?
Na hivi sasa mzee kinana amekimbilia kwao Canada
Magufuli umeupata uongozi sasa mbona hukumtumbua mapema Kinana? Halafu una wivu na matajiri!Asante kwa taarifa nilikuwa sijui, hilo eneo ni la kwake au amepangishwa? na mimi 2015 lazima niutafute uongozi hata kwa rushwa kitaeleweka.
Nilijua viongozi jf wavumilivu kusikia wasiyoyapenda.Kumbe ni raia wa Canada? Duuu ayseee
Tulipofikia heri kuwa na fisadi lakini tukawa salama tu na huru, wakoloni hawakuondolewa kwa sababu wanatuibia ila kwa sababu walituziba midomo tusiseme, UHURU , UHURU, UHURU tuKupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.
Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.
Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
UTAAMBIWA WEWE NI MPIGAJI ULIYEKATIWA MIRIJA!Tulipofikia heri kuwa na fisadi lakini tukawa salama tu na huru, wakoloni hawakuondolewa kwa sababu wanatuibia ila kwa sababu walituziba midomo tusiseme, UHURU , UHURU, UHURU tu
huyo haguswi kikwete anamwamini sana. Ndio maana alimpa na umeneja kampeni.