Ufisadi wa Abdulrhaman Kinana...

huyo haguswi kikwete anamwamini sana. Ndio maana alimpa na umeneja kampeni.
 
Absolutely true! Nimepata shida hiyo mwaka jana Desemba, ilibidi nilipe storage ya siku tatu. Nilimshawishi Meneja wake mzungu Jumamosi ambayo ilikuwa ni ya mwsiho apokee bank slip yangu akagoma katu katu wakati huo ati muda wa kazi umeisha, wakati nimo ndani ya ofisi yao!

Hizo bandari za nchi kavu wamezitengeneza kwa makusudi ili kuipunguzia mapatao TPA na kujiongezea wao (Wanasiasa) mapato. Wageni kutoka Zambia na DRC wanalia sana hapo TALL.

Ndio maana hawataki kufufua reli ya kati, reli ta Dsm - Tanga, na TAZARA inajifia wanaiangalia. Investors wa usafirishaji Tz ni viongozi wenyewe na wanafaidika. Namchukia sana huyo Msomali anayekumbatiwa na CCM!
 
wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.

Kwa maelezo haya nashawishika kusema wewe una hiasa kwenye hiyo kampuni yaTALL ya 49%
 
wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.

unamaanisha na wewe umenyweshwa chai ili utetee kiac hicho? Ama kweli njaa mbaya yaani unakomaa kutetea ufisadi kiasi hicho. Ulaaniwe kabisa wewe mpuuzi!.
 
Kinana ni mmoja viongozi weupe zaidi ya karatasi kwa uadilifu,Pengine mtoa habari amekunywa viroba kisha akatoa habari,nazani huyu atakua LEMA unajua siku hizi ana kazi,anapata deiwaka tu,na swala la kuiba magari NAIROBI hamna soko.
 
anafanyakazi Ikulu?
 
nikweli kapewa uraia kimagumashi .aliposhtukiwa sio raia .ikabidi asigombe tena ubunge arusha mjini .

Akili mali!,AFRIKA mipaka imewekwa na wakoloni,kabla babu zetu walikuwa wana puyanga tu,kumpata mwenye asili ya BONGO ngumu pengine WASUKUMA,NYERERE asili yake MTUSI,MWINYI COMORO,MKAPA MSUMBIJI mimi kwangu MASASI nduguzake wa huko tunawajua,JK MMNYEMA wa CONGO ni masalia ya watumwa wa BAGAMOYO na WACHAGGA asili yao KENYA,mifano ni mingi,sasa KINANA pengine hammjui au mulikuwa hamjazaliwa alifanya makubwa sana ktk kikosi chake VITA YA NDULI AMINI UGANDA,kwa akili zenu fupi mungekuwa nyinyi wapiga kura USA ,OBAMA asingekuwa raisi.
 
Absolutely true! Nimepata shida hiyo mwaka jana Desemba, ilibidi nilipe storage ya siku tatu. Nilimshawishi Meneja wake mzungu Jumamosi ambayo ilikuwa ni ya mwsiho apokee bank slip yangu akagoma katu katu wakati huo ati muda wa kazi umeisha, wakati nimo ndani ya ofisi yao!

Hizo bandari za nchi kavu wamezitengeneza kwa makusudi ili kuipunguzia mapatao TPA na kujiongezea wao (Wanasiasa) mapato. Wageni kutoka Zambia na DRC wanalia sana hapo TALL.
Mkuu naona unaifahamu TALL. Hapo uliposem tu mzungu nikajua unaijua.
 
Allah tunusuru!! Pale ni kwa Kinana? Kweli mafisadi wa nchii hii halafu si Mtanzania!!!! Ngoja ifike mahali tutaifishe mali zetu na ile sheria walipindisha ibadilishwe. Kinana arudi kwao. Mbona Rost tamu ameshaanza kuondoka taratibu!!!

Acha kumwambia alete ushahidi wakati huyu tatizo la Asycuda.U sahihi kabisa mzungu wa TALL awahi kuwakatalia TRA ofisa kuingia hadi wawe na vitambulisho vyake wakati ni kinyume na taratibu za TRA.Mie ndo mtaalamu wa kuweka mfumo wa ASYCUDA kwa makampuni ya uwakala wa forodha na pia shughuli zangu ni uwakala wa forofha.Tatizo lipo baadhi ya ICD hapa upande wa TRA hasa siku za ijumaa na jumamosi,fanya uchunguzi acha kelele.Elewa ya kuwa storage ni mali ya mwenye ICD kwa hiyo ubadhirifu unawezekana.
 
Asante kwa taarifa nilikuwa sijui, hilo eneo ni la kwake au amepangishwa? na mimi 2015 lazima niutafute uongozi hata kwa rushwa kitaeleweka.
Nasikia harufu kaliiiiiiii ya GAMBA la Kenge!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
ngoja nione ni wangapi watabisha juu ya hili!

Ahaaa kumbe!!!!

Mwl.Nyerere alipotoa hotuba yake akisema pale ikulu ni patakatifu halafu akasema ni pagumu inakuwaje mtu apakimbilie kwa kweli sikumuelewa. Sasa ndio ninaelewa alikuwa anmaanisha nini,yaani jamaa wamejipanga kila sehemu wanahomola sio mchezo.
 
Kinana ni mmoja viongozi weupe zaidi ya karatasi kwa uadilifu,Pengine mtoa habari amekunywa viroba kisha akatoa habari,nazani huyu atakua LEMA unajua siku hizi ana kazi,anapata deiwaka tu,na swala la kuiba magari NAIROBI hamna soko.

unarap,humjui Lema.KATIKA VITU HANA TIME NAZO NI INTERNET.huwa tunafanya kumwambia kama kaandikwa humu.
 
Back
Top Bottom