Ufisadi wa Abdulrhaman Kinana...

Ufisadi wa Abdulrhaman Kinana...

Kwayu

Platinum Member
Joined
Nov 8, 2007
Posts
511
Reaction score
108
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
 
Asante kwa taarifa nilikuwa sijui, hilo eneo ni la kwake au amepangishwa? na mimi 2015 lazima niutafute uongozi hata kwa rushwa kitaeleweka.
 
Hee! kazi ipo kwa watanzania!
 
wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.

Weka vielelezo mkuu, tusifanye mambo kwa majungu. Sema nani kacheleweshewa mizigo kama refence. Una uhakika TALL ni mali ya KINANA?
 
we hukuwa na pesa ya kutoa mizigo yako apo umeamua kuja kutafuta ghuruma kwa watu wa jf,hatuna lakukusaidia zaidi ya kukushauri utafute pesa ulipe deni la watu upewe mizigo yako.
 
Hao Ndio Magamba!! Nyie Mnasali Maendeleo ila Mliowatuma Kuyaleta ndio Wanakwamisha!!
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
Utatumiwa Rama IGHONDU wewe shauri yako waguze wazee wa MABWEPANDE!! tuuu!!
 
wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.

kwi kwi kwi kwi. Unaitumiaga kutoa nini?
 
wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.

tetea gamba mwenzako shehe
 
wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.

tetea gamba mwenzako shehe..alshaabab
 
madili kama hayo unakuta TRA na wengine wote kwenye system wana mlo wao hapo...huwezi mshtaki punda kwa fisi aloo
 
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.

Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.

Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.

Absolutely true! Nimepata shida hiyo mwaka jana Desemba, ilibidi nilipe storage ya siku tatu. Nilimshawishi Meneja wake mzungu Jumamosi ambayo ilikuwa ni ya mwsiho apokee bank slip yangu akagoma katu katu wakati huo ati muda wa kazi umeisha, wakati nimo ndani ya ofisi yao!

Hizo bandari za nchi kavu wamezitengeneza kwa makusudi ili kuipunguzia mapatao TPA na kujiongezea wao (Wanasiasa) mapato. Wageni kutoka Zambia na DRC wanalia sana hapo TALL.
 
Uzushi mtupu.

Jitahidi uwe kama Rejao, angalau yeye ana uwezo wa ku-reason na kukiri penye udhaifu. Nakuhakikishia kuna ukweli, mimi nimeshakumbana na adha hiyo. TALL hawajali kabisa wateja, wanajiangalia wao tu, huoni hata Dk Mwakyembe anashangaa kwa nini Wateja wanaikimbia Bandari yetu? Udhaifu wa utendaji wa TPA kwa sehemu kubwa unachangiwa na michongo iliyotengenezwa na Wanasiasa- TALL na TICS na mifano michache.
 
Huu mchezo nimeshausikia tena kwenye nyingi ya hizi ICD ,washenzi sana tena kuna wezi wa vitu vya kwenye gari ,mwezi wa tano niliingiza gari wakaniibia carpet na DVD reader pale MAS.
 
Back
Top Bottom