Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

Status
Not open for further replies.
kwa umbea huu lazima uolewe mwaka huu

Aibu yako ni kuwa haujalamba hata shilingi wenzio wanakula Bata wanajenga mahekalu huku wewe unapanda daladala hadi Lumumba kufuata buku 7. Kuwa kijakazi WA watu ni shida kweli kweli
 
Hivi huyu jamaa si ndio alipewa hekari 9,000 na baba yake mkwe Kisarawe baada ya vijiji 11 kuhamishwa?

Apart from Sun Biofuels Plc of the UK, the company’s shareholders are a British national, Julian Ozanne (10 per cent) and Daudi Makobore and Herbert Marwa, Tanzanian nationals who own one per cent each. The TIC requires that any changes in shareholding, project activities and level of invested capital be notified to the centre

Source Sun Biofuels invests $20 million in Tanzania jatropha project
 
Aibu yako ni kuwa haujalamba hata shilingi wenzio wanakula Bata wanajenga mahekalu huku wewe unapanda daladala hadi Lumumba kufuata buku 7. Kuwa kijakazi WA watu ni shida kweli kweli
Wamepata msamiati mpya, badala ya 7,000/= wanasema wanalipwa 0.000007 (7E-6) bilioni. Wao deal zao ni bilioni bilioni tu.
 
Hapana, Albert Marwa amehamishia makazi yake Dubai, alizaa na yule binti wa JK aitwae Salma, yeye na Eiz ni marafiki wa karibu sana, amekua akitumika kufanya ishu nyingi na kuchukua tenda nyingi za TANESCO kwa mgongo wa bamkwe
 
Hivi huyu jamaa si ndio alipewa hekari 9,000 na baba yake mkwe Kisarawe baada ya vijiji 11 kuhamishwa?
Huo ndo ujinga wa watanzania, 1% ya hisa inasabibisha vijiji kumi kuhamishwa. Hii inanikumbusha hadithi kuwa miti iliangua kilio iliposikia binadamu katengeneza shoka la kukatia miti kwa kutumia mpini wa mti ikisema; 'kama mti umetumika katika nyenzo ya kukatia miti basi miti itakwisha'
 
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.

Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.

Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.

Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.

Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.

Acha uzumbukuku, Escrow zilikuwa fedha za IPTL kutokana umeme tuliotumia, kwa hiyo ina maana Ikulu wameiibia IPTL au?
 
Mwananchi CL wameshitakiwa na wamedaiwa fidia ya trioni 8 kwa kuandika habari zao, sipati picha wewe utadaiwa kiasi gani.

NIDAIWE NINI TENA?Mimi nadaiwa Tshs 479,000 ambayo ni mgao wa deni zima la taifa kwa Watanzania wote 45,000,000.
 
Maskini nchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wote; kiasi kwamba akitokea tu mtu wa kinifadhili ili niwe an assassin, naapa mbeleze za mwenyezi Mungu nitawamaliza mafisadi wote.

Ngoja niimbe kidogo ili nipunguze hasira

" inaniuma sana nikifikiria, huwaga ninalia,
Inaniuma sana nchi yangu imemalizwa na mafisadi"

Tchao
 
Family ya Kikwete kwa kweli inanukia manukato ya wivi mtupu na inaelekea wenyewe wanashindana kutumia manukato hii,mibunge mipuuzi ya CCM inatetea na kusifia tu ushenzi huu huku spika na mawaziri wakipika uongo na kuupakua na kisha kubarikiwa ukumbi wa bunge na Kina Mizwengwe iliyopinda na Anna Mwenye Makinda Machafu!!!
 
Hatukuja kuota hapa duniani ila kazi zetu njema au baya ndio zutakazo ishi vizazi na vizazi na siku ya kufa hatutazikwa na fahari zetu bali nguo moja tu. funza na mchwa wakianza kula huwa hawaangalii hii ni suti au rap rap ama hii ni mbao ya seplasi au mwininga wao hutafuna tu. Tufanye kazi njema zitakazo sema na kuacha kumbukumbu nzuri kwa wajukuu wetu. Mimi Baba yangu alikuwa afisa ardhi ktk mji mmoja hapa tz ambao sasa ni jiji nikajiunga na high school moja Mwl wa geography akaona u bin wangu akasema ndani ya darasa wewe ni mtoto wa ....... aliyekuwa..... nikasema naam akaanza kusifia sana yule mzee alikuwa safi sana hakuwa na shida akanipenda sana sio Huyo tu bali ni sehemu nyingi sana hadi naona fahari japo si matajiri wala hatukuwa hata na gari wala utitiri wa viwanja na kwa hili nashukuru sana Mungu na Mungu anazidi kutubariki ktk kazi zetu halali.
 
Ndiyo maaa Spika alijitahidi kuzima moto maana wakwapuaji wa ile hela wanajulikana. Asante sana JB kwa taarifa. Ninataka marafiki zangu pro CCM mkatize hapa mtueleze mwelekeo wa Taifa hili. cc Ritz, Rejao, FaizaFoxy, Mamndenyi, Chama, Chabruma, ZeMarcopolo, Chris Lukosi, Msalani. Wakati mwingine tusiteee tu uchama, tuangalie hali halisi na kuwa wakweli.
 
kumbe kuza na mtoto wa jk ni deal hivi wamebaki wangapi na mm nikajaribu bahati kabla baba mkwe haja hajastaafu.

Dili mkuu, unaambiwa jamaa alikuwa strategic na si suala la upendo!! Akapachika mimba kabisa kabla ya ndoa!!! Na ndoa sijui ilifungwa wapi maana jamaa ni mkristu kama hajasilimu kwa ajili ya hela!!! Hapa mjini eti!!! Kwa hiyo baada ya mimba sasa mzee si inabidi akubali kafiri? Mambo ni mchongo tu jinsi ya kutoka mjini hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom