sokwe hapiki
Member
- Jun 8, 2012
- 22
- 3
Hivi hizo 200b ni za nani?
Za panya road ak ccm uko wa panya baba mwizi mama mwizi.
Hivi hizo 200b ni za nani?
Huyu Albert ingekuwa kule Sudan angesababisha huyu Salma kunyongwa kwa kuzaa na kafir.Hapana, Albert Marwa amehamishia makazi yake Dubai, alizaa na yule binti wa JK aitwae Salma, yeye na Eiz ni marafiki wa karibu sana, amekua akitumika kufanya ishu nyingi na kuchukua tenda nyingi za TANESCO kwa mgongo wa bamkwe
Kama wanafaidika na huo utawala na hawajari maslahi ya walio wengi kama ww kwanini wasiusifieKuna mambo ya ajabu sana , halafu wapo wanaoratibu mkakati wa kuusifia utawala huu...
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.
Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.
Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.
Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.
Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.
Ufisadi hauna DINI, KABILA wala RANGI. Ni suala la "fursa" tu halafu unafanya money laundering.![]()
Kassim Mtawa, waislamu hawafanyi madhambi kama haya. Unaenda ahera, hejanam kabisaaaaa
Mi nafikiri waendelee kuiba tu, hii nchi haina mwenyewe!
Halafu wakaleta DENGUE feki kutupumbaza akili.......
Yaani huyu JK mpaka atakapoondoka madarakani tutukuwa mafukara wa kutisha.
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.
Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.
Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.
Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.
Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.
Sera nzuri za Rais Mstaafu Mkapa kuuza nyumba za serikali kwa Watumishi wake. Nchi hii ina vichwa acha tu.Mtawa..Ndio mmiliki wa lile Ghrofa jirani na ofisi Za idara Oysterbay..lijulikanalo Kama DAR ES SALAAM FREE MARKET....Likipakana pia na ubalozi wa Kenya ......Kupata double plot Oysterbay si mchezo na Moja kuweka Parking
Huu Uzi MSALANI hauwezi anaukimbia