Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,013
Bilion 200 ndogo sana,waibe nyingine zaid
My firend, EPA zilikuwa 140B tu, hizi ni balaa, naona wizi wa fedha za umma zina consider inflation...
Bilion 200 ndogo sana,waibe nyingine zaid
AMEEEN!..na MUNGU aendelee kubariki kazi za mikono yenu; muendelee pia kuyaenzi aliyoyafanya baba yetu. Huu kwa kweli ni ushuhuda mzuri.Hatukuja kuota hapa duniani ila kazi zetu njema au baya ndio zutakazo ishi vizazi na vizazi na siku ya kufa hatutazikwa na fahari zetu bali nguo moja tu. funza na mchwa wakianza kula huwa hawaangalii hii ni suti au rap rap ama hii ni mbao ya seplasi au mwininga wao hutafuna tu. Tufanye kazi njema zitakazo sema na kuacha kumbukumbu nzuri kwa wajukuu wetu. Mimi Baba yangu alikuwa afisa ardhi ktk mji mmoja hapa tz ambao sasa ni jiji nikajiunga na high school moja Mwl wa geography akaona u bin wangu akasema ndani ya darasa wewe ni mtoto wa ....... aliyekuwa..... nikasema naam akaanza kusifia sana yule mzee alikuwa safi sana hakuwa na shida akanipenda sana sio Huyo tu bali ni sehemu nyingi sana hadi naona fahari japo si matajiri wala hatukuwa hata na gari wala utitiri wa viwanja na kwa hili nashukuru sana Mungu na Mungu anazidi kutubariki ktk kazi zetu halali.
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.
Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.
Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.
Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.
Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.
Mapishi haya yanafanana na mapishi ya Yeriko Nyerere. Naye ni moishi kweli wa uongo kama Jason Bourne..sasa mbona amekimbilia London ambako ndiyo kuna makao makuu ya SFO?
..najua IKULU wanakula RUSHWA, lakini hii habari yako naanza kuitilia mashaka.
Hamueleweki na hamuelewiMy firend, EPA zilikuwa 140B tu, hizi ni balaa, naona wizi wa fedha za umma zina consider inflation...
mapishi haya yanafanana na mapishi ya yeriko nyerere. Naye ni moishi kweli wa uongo kama jason bourne
Hakuna ndengue wala chorokoHivi Dengue bado IPO au ilikuwa usanii?
naikopi kabla haijafutwa..
![]()
Kassim Mtawa, waislamu hawafanyi madhambi kama haya. Unaenda ahera, hejanam kabisaaaaa
we endelea kupokea makombo ya buku saba wenzio akina kassim mtawa wanapiga mabilioni kwenye viroba wanampelekea mkuu wa kaya na ridhiwan!!!CHADEMA wanaweweseka sana