SoC04 Ufisadi utungiwe sheria kali kuliko makosa yote nchini

Tanzania Tuitakayo competition threads

yangson

New Member
Apr 21, 2024
4
0
Ufisidi ni janga kubwa sana linalofanya kazi ya kukandamiza Taifa letu lishindwe kuinuka kwa haraka maana nguvu nyingi inatumika kufanya mambo ambayo ingepaswa kutumika nguvu kidogo tu. Miondombimbinu mibovu, kutumia fedha nyingi kununua bidhaa nje haya na mengine mengi ndiyo matunda yatokanayo na Ufisadi.

Napendekeza hili jambo litungiwe sheria kali kuliko makosa yote nchini maana fisadi ni zaidi ya muuaji wa kijeshi maana hupelekea Taifa kuwa maskini na Taifa kuwa maskini vifo vingi vinatokea kwa mda mrefu kuliko hata vifo vitokanavyo na vita maana vita ikiisha na mauaji ya kivita hukoma. Lakini mauaji yatokanayo na ufisadi nchini ni makubwa mno na kwa kuzidi kulifumbia macho jambo hili ni kuzidi kuliangamiza Taifa letu..
 
Na laiti kama kila mmoja angetambua dhambi ya namna hiyo huumiza kiasi gani wote wanaohusika yaaani.

Maana ni dhambi kubwa sana kuwaumiza wananchi waliokuchagua na kukuamini kuwa utawasaidia kufikia maendeleo, halafu ufanye kinyume. Dhambi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom