Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 837
Staff wa idara hii wako so detached from the real world na nashangaa hakuna anayewamulika
Anyway by definition UFISADI ni pamoja na kuikosesha au kuchelewesha kwa makusudi serikali mapato au shughuli ambayo ilitakiwa ibadilishe maisha ya Mtanzania wa kawaida...kama vile kuidhinisha huduma za infrastructure na matumizi mengineyo ya serikali kwenye maendeleo
Apparently hao ma key decision makers kule wanakimchezo cha kushindana nani anakaa na maFILE muda mrefu kuliko wote kiasi cha kwamba ni sifa kubwa kwa hawa jamaa kuchelewa kutoa maamuzi...na kwa bahati mbaya waziri wao hawezi kuwafanya kitu kwani naye ana DEGREE FEKI and he doesnt care.
Jamani kuna ubaya gani nzi akapelekwa Hazina? Je kuna ubaya gani wakatajwa kwa majina hawa watu na miradi ambayo wameikalia bila sababu za msingi?