UFISADI uliokithiri HAZINA

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Staff wa idara hii wako so detached from the real world na nashangaa hakuna anayewamulika

Anyway by definition UFISADI ni pamoja na kuikosesha au kuchelewesha kwa makusudi serikali mapato au shughuli ambayo ilitakiwa ibadilishe maisha ya Mtanzania wa kawaida...kama vile kuidhinisha huduma za infrastructure na matumizi mengineyo ya serikali kwenye maendeleo

Apparently hao ma key decision makers kule wanakimchezo cha kushindana nani anakaa na maFILE muda mrefu kuliko wote kiasi cha kwamba ni sifa kubwa kwa hawa jamaa kuchelewa kutoa maamuzi...na kwa bahati mbaya waziri wao hawezi kuwafanya kitu kwani naye ana DEGREE FEKI and he doesnt care.

Jamani kuna ubaya gani nzi akapelekwa Hazina? Je kuna ubaya gani wakatajwa kwa majina hawa watu na miradi ambayo wameikalia bila sababu za msingi?
 
Inawezekana G.T. unasema kitu ulichofanyia utafiti lakini ni ukweli pia wewe una jambo na waziri Mkulo; pengine unadhani 'flani' angekuwa bora zaidi, kama ni hivyo mshauri akagombee ubunge halafu awe waziri wa fedha kwani ana fedha yakutosha ya kifisadi mlioshirikiana kutuibia!!
 
Kama kuna "Uvundo" nzi atafika tu,sidhani kama unaweza "Kumkamata" nzi na kumpeleka,unaweza kumsababishia madhara kwenye process. lol!

Pia inaonekana tayari umeshanusa harufu hiyo,so pengine nzi tayari yumo, ni kweli kulikosesha Taifa mapato pia ni ufisadi.
 
Sina mashaka sana na ufisadi hazina!! Hawa jamaa wanakwamisha hata shughuli muhimu za serikali kwa maslahi yao. GT anaweza kuwa na sababu zake attached, lakini hayuko nje ya ukweli kuhusu hazina.

BTW: kwa nini huaminiki kuleta info za ufisadi hapa jamvini mkuu GT?
 
Inawezekana G.T. unasema kitu ulichofanyia utafiti lakini ni ukweli pia wewe una jambo na waziri Mkulo; pengine unadhani 'flani' angekuwa bora zaidi, kama ni hivyo mshauri akagombee ubunge halafu awe waziri wa fedha kwani ana fedha yakutosha ya kifisadi mlioshirikiana kutuibia!!

Hapana Bulesi siyo siri jamaa anasema kweli yaani Mkulo ni mkulaji tu
 
Mindhali tushaamua kutaja na majina then naona mwendo wetu uwe mdundo

Ufisadi idara ya IT

Idara hii kama ilivyo Wizara, imeoza na inaongozwa na VIHIYO na cha ajabu ni kuwa vijana wako wengi tuu wasomi na ambao wako dedicated lakini kila wakiomba kazi hawaitwi kwenye usaili

Mkurungenzi aliyestaafu, Mama Kamazima elimu yake ilikuwa sifuri ndio maana unaona mishahara yenu kila wakati ilikuwa inachelewa....connection? well huyu ni MKWE wa aliyekuwa biso waPCCB basi mambo yakaenda hivo hivo tu.

Anayekaimu sasa hivi, Mr MFIKWA elimu yake ni sifuri na anapenda rushwa kama nyuki na Asali.

Kuna mkurungezi mmoja alipewa ukurungezi kwa ukabila na Mr MGONJA wakati huo anaitwa Mr MSHANGILA, yeye alisomea statistics. Lakini ukweli ni kuwa hamna kitu...in otherwords ni mputu na hajui chochote kuhusu IT.

Ohhhhh hold on a minute....

Kuna Mama mmoja mle anaitwa MAMA Zubeda, alipelekwa IFM kusoma ...yes you bet, aka 'DISCO' mwaka wa kwanza.

Baada ya hapo wahemishimiwa wakapelekwa Uingereza kusoma chuo kisichatambulika... .. (Degree miaka miwili), hata huko khabari za uhakika ni kuwa mwaka wa kwanza tu alishindwa maana alikuwa anafanyiwa courseworks na jamaa yake wa Ki Ghana , ngoma ilipokuwa nzito akaamua kukaa huko miaka miwili akibeba box(PAY SLIPS ZIPO), akatengeneza cheti cha kununua (USHAHIDI UPO) akarudi, ....Guess what? naye kapewa ukurungezi...btw hakuna chochote anachokijua cha IT, halafu mnategemea mishahara hewa iwahi on time na watumishi hewa wasiwepo kwenye payroll inawezekana?

watu wa wizara elimu stay tuned...
 
wewe unanitumia PM za kutaka kujua majina nimeyapataje tafadhali nakuomba uniache na kama huna kazi mwambie alokutuma kuwa bosi wake ndio alonipa haya majina

sawa?
 
G.T. many of your threads much as they are objective they become circumspect when your target group in most cases is non-muslim. Could it be some form of jihad?
 
Safi mkubwa ila kwa nchi yetu hii na serikali yetu hii. Tutasubiri sana tu. Ni wizi mtupu!
 
G.T. many of your threads much as they are objective they become circumspect when your target group in most cases is non-muslim. Could it be some form of jihad?

Bulesi kwa dini ambayo haina "tebeyi" watu wanatakiwa watekeleze maadili tu. Wacha wenyewe walindane na tebeyi yao lakini sisi ukiiba ni mwizi hata kama unalala kanisani
 
Back
Top Bottom