Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,494
Toto afya mzazi alilipia Tsh 50400 na mtoto alipata huduma za afya muhimu karibu zote kwa mwaka. Ukaguzi wa CAG umebaini ubadhirifu wa mabilioni manene na umepelekea baadhi ya huduma kusitishwa likiwemo fao la toto Afya.
Hili fao nina uzoefu nalo, mf kuna dogo anaitwa Masandawana (sio jina halisi) ana ugonjwa wa maisha na analazwa karibu mara 4 kwa mwezi, mama yake ni mtu wa kazi za kijungujiko. Sasa kaondolewa fao hilo unadhani Masandawana atakuaje?
Foundations na watu binafsi waliwalipia kadi hizi watoto yatima, wasiojiweza n.k ili wapate matibabu...sasa limefutwa, ishakua shida.
Kumbuka kuna ambao hatutumii bima hata 3 yrs ila tunakatwa kila mwezi...kwa nn hiyo hela isiwasaidie hawa watoto?
Mkurugenzi wa NHIF anasema watoto under 5 serikali inawatibu bure, ndg msomaji ni hosp gani inatoa huduma bure? pale utaambulia panadol na amoxcillin tu. Dawa za juu kama Flucamox nk, utalipia tu.
CAG kabaini NHIF imekopesha wafanyakazi wake pesa mabilioni bila kufuata utaratibu...means hazirudi. Wafanyakazi wamejenga mahospitali, Pharmacies na majumba bila kusahau kununua magari ya kifahari kwa hela ya watz wanaochangia kila mwezi, then wanawakatia mafao watoto? This is killing!
Taifa la kesho ni watoto, kwa nn waondolewe fao hili? Majibu ya NHIF yamekaa kisiasa, in real hawa jamaa mfuko wameufuja sana. Sasa hiyo Bima ya Afya eti kwa wananchi wote tutaisikia kwenye vigoma vya kampeni tu, ila tunaendelea kuchapika!
NHIF wanaendelea kupunguza matumizi kwa kuwapunguzia huduma wananchi, mf Form 2C iliondolewa na mgonjwa akikosa dawa hospitalini hawez kwenda kuchukua pharmacy ya nje.
Huko hosp zinazopokea wagonjwa kwa NHIF nao wanalia, makato yamekua mengi, mengine ya uonevu!
Real, hili taifa kila sekta ni wizi tu!
Anyway, kila mtu aliambiwa ale urefu wa kamba yake, tulio tunduni tuendelee kukomaa na tiba za mitishamba na mazoezi.