UFISADI: The Making Of IPTL

Namwomba pia mtoa maada hii atushawishi kuwa kutomhusisha Kikwete na IPTL sio uzushi na kuwa sisiem haikumbatii ufisadi.
 
Mtoa mada yupo kazini na amekuja kupima how much do we do know about Kikwete na uchafu wake wa IPTL.Yeye anataka kusikia tunasema wengine wanahusika na JK hahusiki so hajaja hapa na hii hoja kwa makosa yupo kazini .Ndiyo maana tunasema JF Tumeingiliwa .
 
Sasa kumbe Jk aliuona Mkataba na kusoma akiwa wa kwanza kabla hata TANESCO hawajausoma, yeye kama Waziri na wizara yake kulikuwa na washauri wa kutosha kabla kusoma na kabla ya kuupeleka Tanesco. Kama ulikuwa haufai si angeukataa yeye kwanza? Yale yale ya Msabaha then akaondoka akaja karamagi.

kama kingelikuwa kiti moto tungesikia yale yale ya Msabaha na Karamagi.
 
He starts short on substance, full of rhetoric, jumping around, accusatory, not tolerant of opposing view, quick to use words such as chuki without qualification, lacks the basic understanding of what a "ruling party" is, full of deliberate distortions,finally after a very longwinded and largely unnecessary bout of probably paid spinmastering the author arrives at the subject matter, making a solid argument based on the timeline.

This article would have been a much better one if he was to deliver the good first in a convincing blow, then deal with all the political rhetoric aimed to piggyback on the point he was trying to make.

Kikwete cannot avoid being implicated in not only IPTL, but all the cabinet level contracts.What the author does not disclose is that this decision was a cabinet level decision, and Kikwete was part of that cabinet, with more information on the deal than is made out here.
 
Mtoa mada katumwa na CCM na nadhani ana mtindio wa ubongo.Hivi kweli mtu mwenye akili timam unaweza ukainasua CCM na ufisadi?Kama unaona hilo linawezekana basi ujijue akili yako inamatatizo.

Kingunge amekwishasema hawaendi Butiama kutubu wala kuwavua mafisadi uanachama,sasa kama sio CCM kukumbatia mafisadi ni nini.Halafu mmemwita Prof Ndulu Butiama hivi ccm mmekua ndio kamati ya uchunguzi wa EPA?CCM mmeoza huo ndio ukweli hebu oneni aibu kuja kifua mbele eti you are so clean,taifa la leo sio taifa la jana,jamani tunamacho na tunasikia.

Zefania wewe ni kibaraka wa ccm,na kama umetumwa usije hapa JF kama huna nyimbo za kuimba.Mbona mnatufanya wajinga wakati akili tunazo na shule tunazo,WE ARE NOT FOOL
 
naona umepotea njia wewe,hapa hakuna mkutano wa wanachama wa CCM na wajinga wajinga wasio soma!
 
Mtoa mada katumwa na CCM na nadhani ana mtindio wa ubongo.Hivi kweli mtu mwenye akili timam unaweza ukainasua CCM na ufisadi?Kama unaona hilo linawezekana basi ujijue akili yako inamatatizo.

Kingunge amekwishasema hawaendi Butiama kutubu wala kuwavua mafisadi uanachama,sasa kama sio CCM kukumbatia mafisadi ni nini.Halafu mmemwita Prof Ndulu Butiama hivi ccm mmekua ndio kamati ya uchunguzi wa EPA?CCM mmeoza huo ndio ukweli hebu oneni aibu kuja kifua mbele eti you are so clean,taifa la leo sio taifa la jana,jamani tunamacho na tunasikia.

Zefania wewe ni kibaraka wa ccm,na kama umetumwa usije hapa JF kama huna nyimbo za kuimba.Mbona mnatufanya wajinga wakati akili tunazo na shule tunazo,WE ARE NOT FOOL

JF members always against CCM. Jamani hivi ni kweli CCM haijafanya jambo lolote zuri toka imekuwa madarakani?. Hili la kupotea kwa pesa za EPA na mikataba ya madini imekuwa nongwa?. Chama na serikali tawala inafanya kila liwezekanalo kurudisha mapesa hayo. Kitakachofuata baada ya hapo tusubiri miezi sita kama Raisi alivyosema.
Mbona Mbowe hasemwi kwa mapesa aliyochota?, ama kwa sababu ana fadhili jambo forums?.
Nchi inaendeshwa kwa utaratibu unaoeleweka na wala si kukurupuka tu eti sababu JF members wanataka na kusema hivyo. Raisi kaunda aliagiza uchunguzi ufanywe na baada ya kubaini ubadhirifu huo kaunda tume na kuiagiza ifanye nini, kwa kipindi gani, na impe repoti ambayo itawekwa hadharani.
Pia ni muhimu kuelewa kwamba si kila repoti ni lazima iwekwe hadharani. Hii inatokana na sababu za kiusalama na kwa faida ya nchi na wananchi. Ni sawa na mambo ya kifamilia, baba na mama wanaweza kuwa na mzozo ama magonvi lakini wazazi hao wakiwa mbele ya watoto ni muhimu kutozozana ama kugombana hivyo kumalizia matatizo yao chumbani. Msiitupie lawama CCM bila kuelewa mambo kiundani.

Mtambo Juma Mtambo (Jitu la mahasira)
 
Hayati Horace Kolimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM kuanzia Oktoba, 1990 hadi Novemba, 1994, hakuwahi hata siku moja kusafiri hadi Malaysia ili kwenda kufanya majadiliano ya awali wala ya mwisho ya kuiomba nchi hiyo itazame inavyoweza kutusaidia kuondokana na tatizo la umeme. Ni uchanga wa kufikiri iwapo siyo ufinyu wa mawazo kudhani kwa namna yoyote ile kuwa Katibu Mkuu wa CCM anaweza kwenda nje ya nchi iwe ni Malaysia, Indonesia, Russia na kadhalika kutafuta suluhisho la matatizo ya umeme wakati kuna TANESCO na wizara inayoshughulikia mambo yote yanayohusu sekta hiyo.

Mkuu huu ni uongo wa mchana, Marehemu Kolimba alikwenda Malasyia akiwa waziri wa mipango under Mwinyi, na kupokewa kama mfalme na magarti mengi ya aina ya limousine, kwenye msafara alifuatana na ofisa wetu mmoja kutoka ubalozi wetu wa mmoja wa majuu, ambaye kwa maneno yake ni kwamba it a a big shock kwake kuona Kolimba anapokewa kifalme, alikuwa akijiuliza for a longtime why? mpaka alposikia habari za IPTL ndio akaakumbuka ile safari kuwa ndiyo iliyokuwa chanzo cha huuu mchezo.

JF members always against CCM.

Mkuu wangu Mtambo,

Maneno yako si kweli na sio ya ki-demokrasia ni haki ya wananchi kuamini itikadi wanayotaka na kuitetea kwa nguvu zao zote, sio kuvunja sheria, bunge letu lina wabunge wangapi wa CCM na upinzani? Kilichoharibika ni nini wakati CCm kila siku hupitisha miswaada wanayotaka na hatusikii upande wa pili wakilia lia, sasa kwa nini CCM hapa JF tulie lie!

Ndio demokrasia mkuu, kwa wale tunaoamini kuwa sio CCM yote ni mbovu ila tu baadhi ya viongozi wetu, tunahitaji kusimama hapa kidete kutetea tunachoamini bila ya kujali idadi ya upande wa pili, achana na watu hapa mkuu, jibu hoja tu kama unayo on the ishu, hapa ni hoja tu ndiyo husimama regrdless kuna watu wangapai upande wa pili, lakini one thing hatuwezi kulaumu kwa nini wapinzani ni wengi sana hapa au hiii forum ya wapinzani, then utakuwa unasema kuwa bunge letu basi ni la CCM, No mkuu weka hoja let the chps fall where they may, lakini forget about idadi ya wanaopinga.

Ahsante Mkuu!
 
Mkuu Es umesema yote vyema kabisa .Unajua kikwetu mtu akiitwa mtambo means Kichaa .Na huyu jamaa inawezekana anatokea kwetu na kachukua neno na maana halisi ya Mtambo so tuwe makini .Hoja zako ES ni nzito na sina la kuongezea .Ila Kolimba alienda kama waziri na si kama Katibu Mkuu wa Chama .
 
JK is not responsible for IPTL ….. ….. ….. are you kidding me? Sasa kwa nini aliomba urais kama yeye hahusiki? Huyu ni rais ambaye anatakiwa kuwachukulia hatua wale wote ambao ni mafisadi na kushughulikia kile ambacho alikuwa anakipigia debe wakati wa uchaguzi wa rais. Haya mambo ya kusema hahusiki ni ya kijinga na yamepitwa na wakati. Makosa hayo ndiyo yaelekee kuwashitaki wabadhirifu.

Unapoomba kuwa rais wa nchi ukikuta matatizo ni lazima uyatatue ulitegemea nani ayatatue? Shagazi au mjomba ambaye hana mamlaka? Au dereva wa daladala?

Wakati ni huu!
 
Mkuu huu ni uongo wa mchana, Marehemu Kolimba alikwenda Malasyia akiwa waziri wa mipango under Mwinyi, na kupokewa kama mfalme na magarti mengi ya aina ya limousine, kwenye msafara alifuatana na ofisa wetu mmoja kutoka ubalozi wetu wa mmoja wa majuu, ambaye kwa maneno yake ni kwamba it a a big shock kwake kuona Kolimba anapokewa kifalme, alikuwa akijiuliza for a longtime why? mpaka alposikia habari za IPTL ndio akaakumbuka ile safari kuwa ndiyo iliyokuwa chanzo cha huuu mchezo.

Mkuu wangu Mtambo,

Maneno yako si kweli na sio ya ki-demokrasia ni haki ya wananchi kuamini itikadi wanayotaka na kuitetea kwa nguvu zao zote, sio kuvunja sheria, bunge letu lina wabunge wangapi wa CCM na upinzani? Kilichoharibika ni nini wakati CCm kila siku hupitisha miswaada wanayotaka na hatusikii upande wa pili wakilia lia, sasa kwa nini CCM hapa JF tulie lie!

Ndio demokrasia mkuu, kwa wale tunaoamini kuwa sio CCM yote ni mbovu ila tu baadhi ya viongozi wetu, tunahitaji kusimama hapa kidete kutetea tunachoamini bila ya kujali idadi ya upande wa pili, achana na watu hapa mkuu, jibu hoja tu kama unayo on the ishu, hapa ni hoja tu ndiyo husimama regrdless kuna watu wangapai upande wa pili, lakini one thing hatuwezi kulaumu kwa nini wapinzani ni wengi sana hapa au hiii forum ya wapinzani, then utakuwa unasema kuwa bunge letu basi ni la CCM, No mkuu weka hoja let the chps fall where they may, lakini forget about idadi ya wanaopinga.

Ahsante Mkuu!

Asante mkuu, lakini ukiangalia kwa makini sana utaona wazi kwamba kila kitu kinachohusu CCM kinapingwa vikali sana na wana JF walio wengi. Kuna ufuatiliaji wa hali ya juu wa mambo na matendo yanahusu CCM na Viongozi wake. Hata kama jambo ni zuri na lina faida lakini hapa litajadiliwa kwa mtazamo mbaya. Kwa mfano wana CCM kuweka mashada ya maua katika kaburi la aliyekuwa mwasisi wa chama hicho imekuwa nongwa hapa JF.
Nakubali kabisa kwamba kuna mambo mabaya yanayofanywa ama yaliyofanywa na baadhi ya wanachama wa CCM, lakini si vyema kuwahusisha wana CCM wote katika ubaya huo. Upotevu wa pesa za EPA umehusisha watu toka vyama tofauti ndani na nje ya Tanzania, lakini lawama zote ni mzigo wa CCM. Kukosoa ama kulaumu kwa ajili ya kufuata mkumbo si kitu chema. Kama huna uhakika na kitu ni bora na ni hekima sana kukaa kimya ili ujifunze.
Hakuna jambo lolote zuri lililofanywa ama linalofanywa na CCM limeandikwa hapa ila ni mabaya tupu na ni imani yangu 110% kwamba CCM haifanyi mabaya tu bali ina mambo mengi mazuri pia inayafanya. Shillingi haina upande mmoja tu ina pande mbili, na kama ina pande mmoja basi hiyo si pesa tena.
 
Wengine tunatumia Credit Card, hivi nayo ina pande mbili?

We hujiulizi iweje pumzi ya mdomo ikapuliza moto kuukoleza kisha pumzi hiyo hiyo ikapuliza kuuzima?

SISIEMU ni kama pumzi ipulizayo.

Viongozi wa SISIEMU ni wazuri kwa umbo tu.
 
Kwani credi card ina pande ngapi kama si mbili?.

Pumzi ya kupuliza kukoleza na pumzi ya kupuliza kuzima ni pumzi mbili tofauti kabisa kwanini unauliza swali wakati jawabu unalo?

Ama kweli nina amini GOD MUST BE CRAZY
 
Asante mkuu, lakini ukiangalia kwa makini sana utaona wazi kwamba kila kitu kinachohusu CCM kinapingwa vikali sana na wana JF walio wengi. Kuna ufuatiliaji wa hali ya juu wa mambo na matendo yanahusu CCM na Viongozi wake. Hata kama jambo ni zuri na lina faida lakini hapa litajadiliwa kwa mtazamo mbaya. Kwa mfano wana CCM kuweka mashada ya maua katika kaburi la aliyekuwa mwasisi wa chama hicho imekuwa nongwa hapa JF.
Nakubali kabisa kwamba kuna mambo mabaya yanayofanywa ama yaliyofanywa na baadhi ya wanachama wa CCM, lakini si vyema kuwahusisha wana CCM wote katika ubaya huo. Upotevu wa pesa za EPA umehusisha watu toka vyama tofauti ndani na nje ya Tanzania, lakini lawama zote ni mzigo wa CCM. Kukosoa ama kulaumu kwa ajili ya kufuata mkumbo si kitu chema. Kama huna uhakika na kitu ni bora na ni hekima sana kukaa kimya ili ujifunze.
Hakuna jambo lolote zuri lililofanywa ama linalofanywa na CCM limeandikwa hapa ila ni mabaya tupu na ni imani yangu 110% kwamba CCM haifanyi mabaya tu bali ina mambo mengi mazuri pia inayafanya. Shillingi haina upande mmoja tu ina pande mbili, na kama ina pande mmoja basi hiyo si pesa tena.

wengine wameajiriwa hapa ! Wapo kazini ! ukihoji sana, kibarua kitaota nyasi bure !
 
Mkuu Es umesema yote vyema kabisa .Unajua kikwetu mtu akiitwa mtambo means Kichaa .Na huyu jamaa inawezekana anatokea kwetu na kachukua neno na maana halisi ya Mtambo so tuwe makini .Hoja zako ES ni nzito na sina la kuongezea .Ila Kolimba alienda kama waziri na si kama Katibu Mkuu wa Chama .

Mitomingi,
Asante kwa kauli yako ya kuniita kichaa. Lakini bila shaka hukutumia hekima kutoa ama kuandika kauli hiyo kuhusu mimi. Hatufahamiani hata kidogo na hapa JF ni ukumbi ambao kila mtu anatoa mawazo yake jinsi anavyofikiria.
Katika kuchangia mada ama mjadala si lazima mkubaliane katika kila kitu, mnaweza kukubali kukubaliana, mnaweza kukataa kukubaliana ama mnaweza kukubali kutokubaliana na hiyo ndiyo Demokrasia. Ingekuwa vyema na busara mimi na wewe tukubali kutokubaliana kuliko kuitana vichaa.

Ubarikiwe sana
 
Asante mkuu, lakini ukiangalia kwa makini sana utaona wazi kwamba kila kitu kinachohusu CCM kinapingwa vikali sana na wana JF walio wengi. Kuna ufuatiliaji wa hali ya juu wa mambo na matendo yanahusu CCM na Viongozi wake. Hata kama jambo ni zuri na lina faida lakini hapa litajadiliwa kwa mtazamo mbaya.

Mkuu wangu, haya yasikupe taaabu cha muhimu ni kusimamia ustaraabu, mimi binafsi ni CCM damu, na sina tatizo na mashambulizi mengi ya humu JF kwa CCM, kuna machache ya ukweli, lakini mengi ya uongo, na mengi ni chuki binafsi kutoka kwa washambulizi wakiwa na sababu mbali mbali za binafsi,

Kuna waliokuwa marafiki wa viongozi hao hao wa CCM, lakini wakaishiwa kutemwa, sasa hao huwa wana chuki sana za binafsi, na kuna waliokuwa waajiriwa na wavutwa mikono na baadhi ya viongozi wa CCM, lakini wakaishia kutemwa, sasa hawa huwawezi wao ni kushambulia tu na maneno ya hasira sana, halafu kuna wanaojaribu ku-break through yaaani kuingia ndani ya CCM kwa kutumia mashambulizi mazito kwamba huenda wakaonekana kuwa ni threat na kukubaliwa, pia kuna wanafiki ambao kila siku hushinda na viongozi hao hao wa CCM, na kuja hapa kuwadanganya wengine kwa kujifanya ni wapinzani nambari moja,

Halafu, sasa kuna kundi kubwa la bendera fuata upepo, yaaani hawa wapo tu kusema amina kila analosema fulani, hao ndio wengi sana, na huwa wana majina mengi sana, sometimes mpaka ishirini, kuna mmoja anayo kama 30 hivi, hawa hufuata upepo wakiona upepo unabadilika ni wepesi sana kujibadilisha kwenye majina na kuwepo tena kwenye upepo ulipobadilikia, halafu huwa wana matusi sana au lugha za choooni, wewe utaona majina yanabadilika tu lakini maneno mabovu ni yale yale tu,

Kwa hiyo mkuu Mtambo, hiii hapa Jf ni demokrasia at work, kila mtu anruhusiwa kuwa mtu au mwananchi, sasa cha muhimu kwako ni kujua kwanza mazingara uliyomo, kuwajua unao-deal nao, then ku-adjust na wewe ili u-fit in, lakini pamoja na yote hayo ni muhimu kuhakikisha kuwa unawapa heshima wale wote wanaojiheshimu hata kama wana misimamo tofauti na yako, kwa sababu kuna serious people ambao wapo hapa kwa ajili ya one thing only, yaaani kulijadili taifa kwa makini, nawajua maana hawazidi 15, halafu sio lazima ujiingize kwenye kila ishu, mimi huwa nachagua ninayoifahamu kwa makini tu, zingine huwaachia wanaoziweza, kwa hiyo mkuu Mtambo, CCM ni imara, ndio tuna matatizo ya kuwa na baadhi viongozi wachache wasiofaaa, lakini pole pole tunawatosa na safari bado ni ngumu sana, lakini mkuu usichukulie mambo kwa hasira au tooo personal, hiii ni demokrasia tu at work, na cha muhimu kuliko yote ni kuelmishana hapa, wewe ukiona kuna uongo unasemwa cha muhimu ni kuweka sawa ishu.

Ahsante Mkuu, Tuendelee Kumkoma Nyani!
 
leo kutamu hapa !
Sasa natia nanga hadi kikao Butiama kiishe !
Kumbe kuna wengine wana majina 30 ? Sasa tuleni nao sahani moja !

Na hao vifuata upepo, nadhani ni wengi na wamekuwa kama movement humu, wakiambiwa fulani fisadi, basi wao huelekeza mbio zao huko ! Kazi tunayo !
 
Mkuu wangu, haya yasikupe taaabu cha muhimu ni kusimamia ustaraabu, mimi binafsi ni CCM damu, na sina tatizo na mashambulizi mengi ya humu JF kwa CCM, kuna machache ya ukweli, lakini mengi ya uongo, na mengi ni chuki binafsi kutoka kwa washambulizi wakiwa na sababu mbali mbali za binafsi,

Kuna waliokuwa marafiki wa viongozi hao hao wa CCM, lakini wakaishiwa kutemwa, sasa hao huwa wana chuki sana za binafsi, na kuna waliokuwa waajiriwa na wavutwa mikono na baadhi ya viongozi wa CCM, lakini wakaishia kutemwa, sasa hawa huwawezi wao ni kushambulia tu na maneno ya hasira sana, halafu kuna wanaojaribu ku-break through yaaani kuingia ndani ya CCM kwa kutumia mashambulizi mazito kwamba huenda wakaonekana kuwa ni threat na kukubaliwa, pia kuna wanafiki ambao kila siku hushinda na viongozi hao hao wa CCM, na kuja hapa kuwadanganya wengine kwa kujifanya ni wapinzani nambari moja,

Halafu, sasa kuna kundi kubwa la bendera fuata upepo, yaaani hawa wapo tu kusema amina kila analosema fulani, hao ndio wengi sana, na huwa wana majina mengi sana, sometimes mpaka ishirini, kuna mmoja anayo kama 30 hivi, hawa hufuata upepo wakiona upepo unabadilika ni wepesi sana kujibadilisha kwenye majina na kuwepo tena kwenye upepo ulipobadilikia, halafu huwa wana matusi sana au lugha za choooni, wewe utaona majina yanabadilika tu lakini maneno mabovu ni yale yale tu,

Kwa hiyo mkuu Mtambo, hiii hapa Jf ni demokrasia at work, kila mtu anruhusiwa kuwa mtu au mwananchi, sasa cha muhimu kwako ni kujua kwanza mazingara uliyomo, kuwajua unao-deal nao, then ku-adjust na wewe ili u-fit in, lakini pamoja na yote hayo ni muhimu kuhakikisha kuwa unawapa heshima wale wote wanaojiheshimu hata kama wana misimamo tofauti na yako, kwa sababu kuna serious people ambao wapo hapa kwa ajili ya one thing only, yaaani kulijadili taifa kwa makini, nawajua maana hawazidi 15, halafu sio lazima ujiingize kwenye kila ishu, mimi huwa nachagua ninayoifahamu kwa makini tu, zingine huwaachia wanaoziweza, kwa hiyo mkuu Mtambo, CCM ni imara, ndio tuna matatizo ya kuwa na baadhi viongozi wachache wasiofaaa, lakini pole pole tunawatosa na safari bado ni ngumu sana, lakini mkuu usichukulie mambo kwa hasira au tooo personal, hiii ni demokrasia tu at work, na cha muhimu kuliko yote ni kuelmishana hapa, wewe ukiona kuna uongo unasemwa cha muhimu ni kuweka sawa ishu.

Ahsante Mkuu, Tuendelee Kumkoma Nyani!

Asante Field Marshal kwa ukweli huo. Tuendelee na vita mpaka kieleweke.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom