BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,009
Ujuha wako peleka kwingine si hapa. Mzalendo kamwe hawezi kuandika ujinga kama huu baada ya wizi mkubwa wa pesa za walipa kodi.
Escrow ni account ya mgogoro kati ya wanahisa, mgogoro umeisha, escrow inafungwa!, that was it!. Wengi wanadhani account ile ni ya serikali!, no!, na fedha zile pia sio za serikali ni za IPTL ambayo imelipwa malipo halali na Tanesco kwa mujibu wa Mkataba wao!.

Uzalendo wa kweli, yaani patriotism unakaa ndani ya moyo wa mtu, nsa haupimwi kwa kukaa kimya, kuongea au kuandika, unapimwa kwa uchungu wa mapenzi ya dhati ya mtu kwa nchi yake!. Mimi na miongani mwa wale wazendo wachache kabisa wa nchi hii, ambaye niko tayari kulala njaa kuifia nchi yangu!. Ni lile kundi tulikwenda ulaya kujaribu maisha na kuacha kila kitu na kurudi nyumbani just for the love of mother nation!, na yote tunayoyafanya sasa ni mapenzi tuu ya nchi yetu!.
Uzalendo wangu mimi ndio ninaoujua na uko ndani ya moyo wangu, kama ndio unaupima kwa mabadiko yangu, endelea kujifariji ila uzalendo wa kweli na wa dhati hukaa moyoni, sio mdomini, sio machoni na wala sio kwenye mabandiko!
Pasco