UFISADI: The Making Of IPTL

Kwani Rushwa Ina Adabu? Huoni Mkapa Na Yona Wameamua Kuanzisha Iptl Yao. Hawana Huruma Kabisa Hawa Watu. Sera Yao Ni Kukamua Tu


Si afadhali akina Mkapa?
Faida itaboresha kidogo maisha ya watu wa Lushoto na mtwara.
Fedha itakuwepo nchini kuliko hawa wanaochota na kupeleka kwao?
Faida zote kwao!
 
All dubious contracts should be stopped forthwith. Lets drag these cases for decades. We can't afford to pay white-collar criminals.
 
Hili nahisi ni mojawapo ya sababu ya kutofautiana kwa Balozi Kazazura na Dr. Rashid, kwani kwawamwagia unga wao. Nadhani hadi huu mwaka uishe tutasikia mengi. Bravo Dr. Kwa kuona uovu na kuamua kuchukua hatua.
 
Si afadhali akina Mkapa?
Faida itaboresha kidogo maisha ya watu wa Lushoto na mtwara.
Fedha itakuwepo nchini kuliko hawa wanaochota na kupeleka kwao?
Faida zote kwao!

Hakuna afadhali yoyote! Mwizi ni Mwizi tu awe wa ndani au wa nje. Pesa ambayo ilitakiwa itumike kwa maendeleo ya Watanzania wote katika nyanja mbali mbali kama elimu, matibabu, upatikanaji wa hudumu muhimu kama maji n.k. inawanufaisha mafisadi ambao wanaishi maisha ya kusadikika wakati Watanzania walio wengi wanaishi maisha ya dhiki kubwa.
 
Rugemalira is being hypocritical, he is one of people who sold his fellow Tanzanians to these Malaysians. I am very skeptical with his comments, there must be a hidden agenda in his statement. what a u-turn, why all of sudden he sounds very patriotic and show respect to laws. Do you guys believe him?
 
Huu mtandao wote ni wa wahindi...wether malaysia, UK au whatever all over the world wapo...si wa-malay wenyewe..Tunawalipa tanesco, leo wanakuja kuchukua na RELI...watachukua kila kitu cha UVIVU Wetu wa KUFIKIRI...Yaani wanatuzunguka hapo hapo...LEO IT ya Auditing tumewapa wachina...yaani hata IT? ambayo haiitaji vifaa kama vya UJENZI tunakwenda kuchukua watu wa NJE...yaani tunapata uchungu mpaka basi..leo KADI za TAIFA watatafutwa wageni nao wale...JAMANI IT HAIHITAJI VIFAA ni AKILI TUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
hivi tukichoma moto hako kikijitambo chao si ndio biashara kwisha,kwani umeme wao unatumika wapi zaidi ya kwao hao wanene,tutaibiwa mpaka tutalala chini bila godoro
 
Rugemalira is being hypocritical, he is one of people who sold his fellow Tanzanians to these Malaysians. I am very skeptical with his comments, there must be a hidden agenda in his statement. what a u-turn, why all of sudden he sounds very patriotic and show respect to laws. Do you guys believe him?

Huyu ni FISADI namba moja.
 
wajomba ndio sheria mkishaingia mkataba mmeingia,walaumu viongozi waliouza nchi kwa rushwa na hakuna kitu hapo ni kulipa tuu na hakuna ubabe hapo na interest inaongezeka kila siku tusipolipa,tumejaza viongozi vilaza ndio wanatuingiza kwenye hizi shida ...huwezi amini majengo ya BOT yamekula almost 500bn,hiyo ni rushwa kiasi gani jamani na watu bado wapo tuu ...siamini!
 
#
#....OOOOH baby, music sounds better with youu...,
#....listen to what I say....
 
thanks buddy,

To All JF members na ambao sio member lakini ni wapitaji pitaji hapa....happy holidays na mwaka mpya 2008 mwema
 
Tunakula nao sahani moja tu hata wakati huu wa funga mwaka. Bravo Invisible.
 
Admin,

Huyu ruge tushamsoma sasa tunamsubiri GoT ajibu nafikiri ndio hiyo IPTL Phase 2 au? tuwekee vitu mwanangu......tuna kiu
 
Back
Top Bottom