Ufisadi mwingine waibuliwa Bungeni!

Ufisadi mwingine waibuliwa Bungeni!

Mimi nitakuwa wakwanza kuingia barabarani naombeni mniunge mkono watanzania hata wakinipiga risasi nyie msonge Mbele ,waambieni waandae SMG ya kunilenga huu ni upuuzi na kikwete kakaa kimya Nchi inamalizwa raisi gani huyu ,mi najiarabu ,nikipata saini za watu alfu moja wakuingia barabarani
 
Hivi ni lini na sisi wananchi
tutajengewa gym kule Tandale kwa Bibi Nyau au kule Manzese Uwanja wa
Fisi. Hivi kweli kabisa serikali hii ya CCM inaidhinisha mabilioni ya
shilingi kujenga hiyo miundombinu ya anasa wakati watoto wetu wanasomea
chini ya mti na kukaa juu ya udongo? Wananchi tuache kulalamika sana
bila kuchukua hatua. Tujiandikishe kwa waingi ili tuwaondoe hawa panya
madarakani mwaka ujao.

View attachment 163733
Darasa chini ya mkuyu

View attachment 163735
Wanafunzi wakisomea juani

View attachment 163736
Wanafunzi wakiwa wamekalia udongo

View attachment 163737
Wanafunzi wakiwa wamekalia madawati ya matofali

Manyani ya Lumumba yanaona poa tu. NI UTAAHIRA MKUBWA SAAAANA KUIUNGA MKONO CCM.
 
ili mradi mnaendelea kuuabudu mwenge,akili zenu zitaendelea kuwa butu.

Uchawi ule ule aliotambikiwa mwl.nyerere ili mahakama za kikoloni ziwe bubu ni uchawi ule ule uliobebwa kwenye mwenge mwendelee kumulikwa ili macho na masikio yenu yaone na yasikie lakini yasifahamu.

Mwenge huo mwenge mbio mbio!

>>>>>tazama ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo [mienge]:endeni ninyi katika mwali wa moto wenu,na katikati ya [mienge] mliyo iwasha.mtayapata haya kwa mkono wangu,mtalala kwa huzuni: Mwisho wa kunukuu: [isaya 50:11] haya ni maneno ya mungu juu ya kukimbiza mwenge na laana zake. Kwa maneno haya ni dhairi chama cha mapinduzi kimetuletea laana juu ya nchi,aiwezekani rathili mali zote tulizo nazo miaka 50 bado nchi ni maskini.uhu mwenge ufikie mwisho kukimbizwa kimbizwa na toba inahitajika kwa athari ya mwenge tulioipata.
 
Hvi moja ya qualification kubwa ya kuwa mshabiki wa CCM ni kujitengenezea u-artificial upofu na ku-pretend kuwa huwezi kutofautisha upi ni ufisadi na upi ni uadilifu!!!

Hamjamwelewa point yake, rudia soma tena
 
Hvi moja ya qualification kubwa ya kuwa mshabiki wa CCM ni kujitengenezea u-artificial upofu na ku-pretend kuwa huwezi kutofautisha upi ni ufisadi na upi ni uadilifu!!!

Well said, Mystery.
Sifa kubwa ya kuwa mwana CCM ni "uhamnazo".
 
Hivi Lizaboni ni lazima uchangie kila hoja? Hata hivyo kama unataka kuchangia kila hoja ielewe hoja kwanza basi. Suala hapa ni ivi hatuna vipaumbele? Shaule zetu, zahanati zetu, wakulima wetu, watoto wetu, wafanyakazi wetu, n.k. wamefikiriwa kabla ya kuwekeza kwenye gym ya bunge wakati wabunge wanakaa kwenye mahoteli yaliyo na gyms, na pia muda wanaokuwepo Dodoma ni mdogo sana, na pia ni rahisi kwao tena kwa hela ndogo tu kufanya mazoezi kwenye gym za jumuia - public gyms. Kwanini basi wabunge wetu wasiwakumbuke watoto wetu wasio na maabara katika shule zetu za sekondary za umma? NA kibaya zaidi hiyo gym haijajengwa - ni white elephant kama mtoa mada alivyodai.
Watanzania tuna shida nyingi sana kuliko hili la wabunge kuwa na gym.
Jamani watanzania tumechoka kubeba mzigo huu wa wabunge sasa, mara posho, mara shangingi, mara hiki vyote vikidhihirisha ubinafsi wa waabunge wetu, kuweni binadamu jamani wabunge wananchi wana shida kubwa kweli kweli halafu mbaya zaidi hiyo ni kodi ya mlalahoi hata yule anayepata mshahara wa shilingi 200,000 kwa mwezi. Oneni aibu ndugu zetu msiwalazimishe watanzania kufikia hatua ya kuingia barabarani tofauti ya asili yetu ya upole ( ustaarabu ) - ambao nyie mnaita amani.
Lizaboni tunaweza kuwajengea wabunge wetu gym hata ya trilion moja, lakini ni wakati muafaka? Baba unanunua suti ya laki saba watoto wanakosa ada ya shule jamani! Wabunge wetu kuweni watu wenye utu na huruma kwa wapiga kura wenu.
 
Cc Wtz ni wangese kishezi mm Nina uhakika hata zichotwe billions of money hakuna atakayepaza sauti .jee sisi tunaojiita wana Jf a.k.a G T hata siku moja kwa nn tusikutane na kuangalia ni vipi tutaikomboa nchi yetu .Ni mtazamo turn.

Nakuunga mkono kwa maoni yako, ila ukumbuke kwamba kwa watanzania kuwa na haya mawazo kama yako ni vigumu sana. Unaweza pata watu mimi na wengine kadhaa tukawa 50 na tukakubaliana kuandamana siku fulani na muda fulani. Utashangaa mwisho wa siku kabla ya kukutana unakamatwa kwa kuchongewa na wenzako mliopanga nao au wale mliopanga nao kuandamana wakakugeuka ukajikuta uko peke yako. Mimi imenitokea hii mara mbili mtaani kwetu, tena si kwa ishu kubwa kama hii ila ilikuwa ni kumpinga diwani wetu kukubali kubomoa baadhi ya nyumba za wananchi kupitisha ujenzi wa barabara (inasadikika alikula rushwa kufanya hivyo). Jamaa walinigeuka mpaka leo siongei nao.
 
Nawaza mara nyingine kwa kusema kwamba kama hakuna namna ya kuiondoa CCM madarakani basi Lowassa ndiye anayetaa kuongoza hiki chama chenye wajasiriamali wa kisiasa.
Najua watatokea watu wanaopinga lakini hawatafakari na kuona ukweli ulivyofichwa .Ukweli ni kwamba CCM wote ni wezi lakini wanapokwapua wengi wanakimbilia kununu dume kondom ili waitwe wanaume wa ukweli.Wanawekeza kwenye nyumba ndogo na wakina dada wa barabarani.Mwisho wa siku wale waliowekeza kwenye miradi wanapigwa vita kwa kutumia ule msemo wa ''Mshikwa na ngozi ndiye mla nyama''.Wanaanza kusema mimi ni msafi kwa sababu sina mali.
Na cha ajabu watanzania tumeshaaminishwa kwamba mwadilifu ni yule asiye na mali,bila kuhoji ni kwa vipi wewe umekosa mali wakati ulikua unachukua mgawo wako kuanzia kule halmashauri,mashamba na viwanja unagawiwa kila mahali,ni vipi ukose mali?
Kumbe hawa hawawezi kutumia fursa zilizopo kuleta maendeleooooooo!!
Hivyo Lowassa ndiye anayebaki mtu bora na mwenye ujasiriamali wa kweli ndani ya CCM
 
Karibu kila ninachofikiria kusema kishasemwa, na hii ndio 'great thinking'; na kwa hivi JF iko juu! Hongereni wana JF kwa ukweli ulivyowekwa wazi!
 
Kabla vumbi la ufisadi wa bilion 200 halijatua, ufisadi mwingine wa kutisha umeibuliwa tena bungeni. Ufisadi huu unahusisha matumizi ya Tsh bilion 2.8 kwa kisingizio cha ujenzi wa gym ya bunge inayodaiwa kugharimu kiasi hicho cha fedha.

Licha ya kwamba gym hiyo ni white elephant, haiwezekani gym moja tu igharimu fedha nyingi kiasi hicho. Watanzania wenzangu, hivi ni lini serikali hii 'sikivu' ya CCM itaacha kutafuna fedha za wanananchi? Wakati wanafunzi wanasomea chini ya miti na kuketi sakafuni au juu ya matofali, serikali hii isiyokuwa na khaya inawezaje kutafuna fedha za umma kiasi hiki? Fedha hizi kama zingeelekezwa kwenye ujenzi wa madawati, madarasa, maabara ya shule za kata au nyumba za walimu, haya matatizo yangebaki historia. Lakini kwa kuwa serikali ni 'sikivu', wakaona njia sahihi ni kufisidi fedha za umma kwa kutumia kisingizio cha kujenga gym!

Yaani hawa walafi waibe fedha za umma watengeneze vitambi halafu watumie tena fedha za umma kupunguza vitambi hivyo? Marvelous!!

Dah! kazi kweli kweli... Pakacha linavuja kila kona...Hope hiyo Gym itakuwa na BRN program, Soon Cpt Komba atakuwa na Umbo la Jerry Slaa...
 
Kama nyumba ya kuishi inagharimu zaidi ya Bilioni mbili, je kuhusu gym yenye vifaa vya kisasa kibao?

"Hivi ni lazima kila kitu usifie?hata uchafu na ujinga we ni kusifia tu?ningekuwa nakujua lazima kuna siku ningekumwagia hata tindikali sababu huna faida wala uchungu kwa mtanzania maskini wa nchi hii"
 
Mnapiga sana pereree bila kuzingatia ni gym ya aina gani na ina vifaa gani vimenunuliwa wapi na vina ubora gani tuaongeelee facts na si kukurupuka mnadhani hii ni vile vigym vyenu vya hapo dar....mkiweza angalau kuangalia kwa mapana haya hamtapiga pereree
 
Hata kichaa anayekula majalalani huwasshangaa sana wale wenye akili wanaokula hotelini badala ya kujumuika naye (wewe) kula majalalani. Sikushangai!
 
"Hivi ni lazima kila kitu usifie?hata uchafu na ujinga we ni kusifia tu?ningekuwa nakujua lazima kuna siku ningekumwagia hata tindikali sababu huna faida wala uchungu kwa mtanzania maskini wa nchi hii"

Mkuu, kuna baadhi ya mijitu inayojitoa akili ambayo inatia hasira sana. Katika mada yenye mashiko kama hii huwezi kuwaona akina MSALANI, Ritz, Simiyu Yetu, lusungo, T 2015 CCM, mwa 4 na wapuuzi wengine kama hawa wakichangia. Utadhani wao dada, shangazi, mama, na wake zao wanajifungulia mwezini wakati wananchi wote tunateswa na maufisadi haya ya maCCM!!!!!

huduma safi.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hivi Lizaboni ni lazima uchangie kila hoja? Hata hivyo kama unataka kuchangia kila hoja ielewe hoja kwanza basi. Suala hapa ni ivi hatuna vipaumbele? Shaule zetu, zahanati zetu, wakulima wetu, watoto wetu, wafanyakazi wetu, n.k. wamefikiriwa kabla ya kuwekeza kwenye gym ya bunge wakati wabunge wanakaa kwenye mahoteli yaliyo na gyms, na pia muda wanaokuwepo Dodoma ni mdogo sana, na pia ni rahisi kwao tena kwa hela ndogo tu kufanya mazoezi kwenye gym za jumuia - public gyms. Kwanini basi wabunge wetu wasiwakumbuke watoto wetu wasio na maabara katika shule zetu za sekondary za umma? NA kibaya zaidi hiyo gym haijajengwa - ni white elephant kama mtoa mada alivyodai.
Watanzania tuna shida nyingi sana kuliko hili la wabunge kuwa na gym.
Jamani watanzania tumechoka kubeba mzigo huu wa wabunge sasa, mara posho, mara shangingi, mara hiki vyote vikidhihirisha ubinafsi wa waabunge wetu, kuweni binadamu jamani wabunge wananchi wana shida kubwa kweli kweli halafu mbaya zaidi hiyo ni kodi ya mlalahoi hata yule anayepata mshahara wa shilingi 200,000 kwa mwezi. Oneni aibu ndugu zetu msiwalazimishe watanzania kufikia hatua ya kuingia barabarani tofauti ya asili yetu ya upole ( ustaarabu ) - ambao nyie mnaita amani.
Lizaboni tunaweza kuwajengea wabunge wetu gym hata ya trilion moja, lakini ni wakati muafaka? Baba unanunua suti ya laki saba watoto wanakosa ada ya shule jamani! Wabunge wetu kuweni watu wenye utu na huruma kwa wapiga kura wenu.

Kwa mwendo huu tunaokwenda nao, kuna kila dalili kwamba CCM watakuja kuitumbukiza nchi hii vitani. Badala ya kushughukia matatizo ya watanzania, wao wako busy wanapiga hela za ufisadi ili waje wakawahonge walalahoi pombe (komoni), fulana na ubwabwa?

View attachment 163879

View attachment 163883

View attachment 163882
 
naona unaniongezea hasira tu. haya majizi haya. da.

Kabla vumbi la ufisadi wa bilion 200 halijatua, ufisadi mwingine wa kutisha umeibuliwa tena bungeni. Ufisadi huu unahusisha matumizi ya Tsh bilion 2.8 kwa kisingizio cha ujenzi wa gym ya bunge inayodaiwa kugharimu kiasi hicho cha fedha.

Licha ya kwamba gym hiyo ni white elephant, haiwezekani gym moja tu igharimu fedha nyingi kiasi hicho. Watanzania wenzangu, hivi ni lini serikali hii 'sikivu' ya CCM itaacha kutafuna fedha za wanananchi? Wakati wanafunzi wanasomea chini ya miti na kuketi sakafuni au juu ya matofali, serikali hii isiyokuwa na khaya inawezaje kutafuna fedha za umma kiasi hiki? Fedha hizi kama zingeelekezwa kwenye ujenzi wa madawati, madarasa, maabara ya shule za kata au nyumba za walimu, haya matatizo yangebaki historia. Lakini kwa kuwa serikali ni 'sikivu', wakaona njia sahihi ni kufisidi fedha za umma kwa kutumia kisingizio cha kujenga gym!

Yaani hawa walafi waibe fedha za umma watengeneze vitambi halafu watumie tena fedha za umma kupunguza vitambi hivyo? Marvelous!!
 
naona unaniongezea hasira tu. haya majizi haya. da.

Mkuu, huu ukoo wa panya unaudhi sana, mpaka wanahamasisha vita! Ipo siku watanzania tutakuja kuingia msituni (ule aliopo Kapteni Komba) tupambane na hawa panya mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom