Kama nyumba ya kuishi inagharimu zaidi ya Bilioni mbili, je kuhusu gym yenye vifaa vya kisasa kibao?
Wanatia hasira hasaaaa.....Kwani hiyo gym wanaulazima nayo gani si waende za kulipia huko binafsi, hadi gym watengenezewe na hela za walipa kodi? vya bure tuu..
Wanatia hasira hasaaaa.....Kwani hiyo gym wanaulazima nayo gani si waende za kulipia huko binafsi, hadi gym watengenezewe na hela za walipa kodi? vya bure tuu..
bavicha kwa matusi hamjambo, yani huwezi kuchangia bila matusi
ili mradi mnaendelea kuuabudu mwenge,akili zenu zitaendelea kuwa butu.
Uchawi ule ule aliotambikiwa mwl.nyerere ili mahakama za kikoloni ziwe bubu ni uchawi ule ule uliobebwa kwenye mwenge mwendelee kumulikwa ili macho na masikio yenu yaone na yasikie lakini yasifahamu.
Mwenge huo mwenge mbio mbio!
Kama nyumba ya kuishi inagharimu zaidi ya Bilioni mbili, je kuhusu gym yenye vifaa vya kisasa kibao?
Hivi ni lini na sisi wananchi tutajengewa gym kule Tandale kwa Bibi Nyau au kule Manzese Uwanja wa Fisi. Hivi kweli kabisa serikali hii ya CCM inaidhinisha mabilioni ya shilingi kujenga hiyo miundombinu ya anasa wakati watoto wetu wanasomea chini ya mti na kukaa juu ya udongo? Wananchi tuache kulalamika sana bila kuchukua hatua. Tujiandikishe kwa waingi ili tuwaondoe hawa panya madarakani mwaka ujao.
View attachment 163733
Darasa chini ya mkuyu
View attachment 163735
Wanafunzi wakisomea juani
View attachment 163736
Wanafunzi wakiwa wamekalia udongo
View attachment 163737
Wanafunzi wakiwa wamekalia madawati ya matofali
Kabla vumbi la ufisadi wa bilion 200 halijatua, ufisadi mwingine wa kutisha umeibuliwa tena bungeni. Ufisadi huu unahusisha matumizi ya Tsh bilion 2.8 kwa kisingizio cha ujenzi wa gym ya bunge inayodaiwa kugharimu kiasi hicho cha fedha.
Licha ya kwamba gym hiyo ni white elephant, haiwezekani gym moja tu igharimu fedha nyingi kiasi hicho. Watanzania wenzangu, hivi ni lini serikali hii 'sikivu' ya CCM itaacha kutafuna fedha za wanananchi? Wakati wanafunzi wanasomea chini ya miti na kuketi sakafuni au juu ya matofali, serikali hii isiyokuwa na khaya inawezaje kutafuna fedha za umma kiasi hiki? Fedha hizi kama zingeelekezwa kwenye ujenzi wa madawati, madarasa, maabara ya shule za kata au nyumba za walimu, haya matatizo yangebaki historia. Lakini kwa kuwa serikali ni 'sikivu', wakaona njia sahihi ni kufisidi fedha za umma kwa kutumia kisingizio cha kujenga gym!
Yaani hawa walafi waibe fedha za umma watengeneze vitambi halafu watumie tena fedha za umma kupunguza vitambi hivyo? Marvelous!!
Lizabon,wewe ki uhalisia unaishi ktk nyumba yenye thamani ya sh ngapi?Unazungumzia nyumba ya 2billion?kuwa ni jambo la kawaida?Wacha kutetea maovu ndugu yangu kwani Tanzania ni ya Wa Tanzania.
Kama nyumba ya kuishi inagharimu zaidi ya Bilioni mbili, je kuhusu gym yenye vifaa vya kisasa kibao?