Ufaransa wamejifunza Tanzania bado kuzima internet tu.

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,090
Reaction score
20,248
Watanzania wa October 29 waliifundisha dunia namna ya kufungua vichwa na masikio ya viongozi vilaza wasiotaka kusikiliza Kero za wananchi masikini.
CCM wakiendeleza ukilaza wa kuwalea ccm mtandao basi mwaka 2030 itakuwa mara 20 ya kinachoendelea Ufaransa na Ulaya yote.
 
ok.,🐒
 
Maandamano ya yellow vest ufaransa yamekua yakifanyika muda kabla Samia hajashika hatamu na hivyo kuwaudhi maaskofu na kupelekea kuusakama utawala wake hadi kuratibu maandamano ya oktoba

Tatizo kipindi yellow vest demonstrations zinatokea aidha ulikua memkwa au shule ya kata
 
Back
Top Bottom