Ufaransa nao wadai EU referendum

Ufaransa nao wadai EU referendum

Ninachokiona hapa ni kuundwa kwa Coalition of the willing ndani ya Ulaya.

Kuna nchi kama Norway na Uingereza na Mfaransa zitaungana na kuunda umoja wao.

Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
 
Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
Kaka, Uturuki haijawahi kukubaliwa maombi yake ya kujiunga na EU, wamekua wakitoa sababu kila mara za kuikatalia. Siasa za kihafidhina za Uturuki ndizo zinafanya mambo yanakuwa magumu.
 
hizi ndo dalili za mwisho wa dunia
acha porojo, hizo ni dalili kuwa mwisho uko mbali sana. Mwisho ukifika patakuwa na muungano mkuu na waajabu sana, hata zile nchi unazodhani haziwezi kuungana hapo zitaungana, siku ukiona Japan, China, Korea kusini na Kaskazini zinaungana na Rusia na USA pamoja na India, Pakistani na afghanistani, Uturuki, Yemen na Siria hapo ndo mwisho utakuwa umefika. NWO
 
can you tell me the impact of this?
OK number moja,pilitically ni kwamba UK itakuwa kivyake na haitakuwa inafuata muongozo wa European union,kwa mfano issue za kugawana wakimbizi,pia maamuzi ya pamoja kama muungano wa ulaya,UK hawatakuwemo tena yaani watakuwa wanaamua mambo yao wenyewe bila kuingilia na EU,pili kulikuwa na free movements baina wananchi wa nchi zilizo mwanachama wa EU,hivyo sasa hivi itakuwa inatakiwa viza,i mean Waingereza sasa watakuwa wana control miapaka yao ,in short sasa UK wanakuwa huru maana kuna maamuzi mengine ilikuwa inabidi wafuate mkumbo tu as far as walikuwa wanachama wa Muungano wa ulaya,sasa wapo free like a molecule
 
uingereza ni jimbo la marekani, hivyo marekani
kaamua kulitoa jimbo lake EU
 
Kihere here cha Ujerumani & Italy kuwapokea wakimbizi & wahamiaji, then kutaka kuwagawia wengine kinaua umoja huu.

Wazungu wanaogopa sana issue za Ugaidi.

Next?!!
 
Kihere here cha Ujerumani & Italy kuwapokea wakimbizi & wahamiaji, then kutaka kuwagawia wengine kinaua umoja huu.

Wazungu wanaogopa sana issue za Ugaidi.

Next?!!
Kama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?
 
Hello Tzar Ivan the terrible are you there? Kumbe you don't need a 500 Megatone Bomb kuwatia akili baadhi ya viongozi wa Continental Europe wanao buruzwa ovyo na Uncle SAM kufanya mazoezi ya kivita wakiwazuga kwamba Russians are coming - madai ambayo hayana ukweli wowote zaidi ya kutafuta kisingizio cha kufuja tax payers' money badala ya kufanya biashara na China, Urusi, Thailand, India na Iran EU wanapoteza muda chasing shadows.

Juzi hapa train kutoka China iliwasili Warsaw Poland imesheeni ma container! Ndiyo hivyo tena silk road is no longer a pipe dream ina take shape faster than you think, shinikizo la Uncle SAM la kutaka ku undermine silk road limeshindikana, kibaya zaidi kuondoka kwa Uingereza kwenye Ushirika wa Ulaya umeshitua sana Obama's Administration wanajua njama zao za kutaka kuwawekea a monkey wrentch Wachina na Warusi wasishirikiane kibiashara na wenzao wa Ulaya linaelekea kishidwa vibaya sana.

Wakumbuke kwamba bara la Ulaya si backyard ya Mayankee, Eurasian countries zitashirikiana kiuchumi na kibiashara kwa manufaa ya raia wake bila ya kujali Amerika inasema nini/maoni gani.
 
watapigana tu,we subiri utaona,kumbuka huo umoja ndo ulikuwa unawafanya wajione wao ni ndugu.

Kwa upande wa NATO si ulisikia waziri mkuu wa ujerumani akiwalaumu kwa kuwa na sera za uhasama dhidi ya russia majuzi,
huko nako ujerumani anaweza kuamua kujitoa
Linapokuja suala la Russia, NATO huwa inakosa kabisa support ya Mjerumani, German huwa anaona ni kituko cha kufikirika kabisa na cha Karne ku-side na Turkey au na nchi nyingine kama Georgia, Ukraine na nyinginezo over Russia. German anaiona NATO kama chombo kisicho na mwelekeo kilichoundwa kujanja janja na wamarekani kwa kuwa manipulate wanachama ili tu Marekani atimize Malengo yake dhidi ya Urusi. German inaona kama vile Ulaya inaendeshwa na Marekani kupitia NATO.
 
Ninachokiona hapa ni kuundwa kwa Coalition of the willing ndani ya Ulaya.

Kuna nchi kama Norway na Uingereza na Mfaransa zitaungana na kuunda umoja wao.

Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
German na Turkey kubaki pamoja? Nadhani kuna kitu haujakiona sawa hapo!!
 
can you tell me the impact of this?
Waingereza nafikiri wameona mbali sana impact ya refuge inaonekana baadae baada ya awa wakimbizi kupewa uraia au kujichanganya kwenye hayo mataifa utamaduni wao utabadilika na may be wanaogopa vurugu zao. Mfano tukio la hivi majuzi wakimbizi kuchoma kambi yao huko ujerumani kwa kuchelewa kuamshwa kama mimi lilinipa tafsiri nyingi je kwa jamii ya ulaya watakuwa wamelichukuliaje?.
 
Ninachokiona hapa ni kuundwa kwa Coalition of the willing ndani ya Ulaya.

Kuna nchi kama Norway na Uingereza na Mfaransa zitaungana na kuunda umoja wao.

Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
Angel anataka kuipoteza tu Germany,bora tu aachie ngazi,maana kwa sasa maamuzi yake yanawachukiza wajerumani
 
Kama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?
Na ndiyo maana wamejitowa, maana wameona migrants wamezidi,sababu kubwa ya kujitoa ni chuki zao kwa wahamiaji.maana sasa wataweza kukontrol boader zao bila shinikizo la EU
 
Back
Top Bottom