johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,036
- 164,336
Imeripotiwa na radio DW mchana huu.Je ni nini impact ya msambaratiko huu wa eu kwa Tanzania
EU ni soko la Mchina pia (ingawa anaingiza bidhaa kwa mbinde sana), kwa hiyo kusambaratika kwa EU kuna athari kwa Mchina pia, hasa kiuchumiUrusi na China zinapata nguvu sasa. Lakini isiwe maigizo kwaajiri ya kuingiza mkenge viumoja vyetu vya hapa Afrika.
Jana 1 Eur ilikuwa around USD 1.13, LEO 1EUR=1.10USDNataka kujua mwisho wa usalama wa pesa ya euro wataiondoa kwenye mzunguko ikiwa umoja huo utakata roho?
watapigana tu,we subiri utaona,kumbuka huo umoja ndo ulikuwa unawafanya wajione wao ni ndugu.Uzuri huko hawapigi mabomu.
Zanexit inakuja...
Switzerland hawapo kwenye EU, wapo kwenye Schengen.Hizi nchi tajiri wananchi wake wanachukia EU kwa sababu ya migrants kutoka Europe mashariki, wananchi wamechech oka,kwa hizo nchi tajiri ikipitishwa referendum wote watavote kutoka, ulaya mashariki peke yao ndo watavote kubaki ,Ufaransa, UK, Germany, the Netherlands, na Switzerland ndio nchi zenye uchumi mkubwa ndani ya EU, hii inaleta hali ya mashaka mbeleni.
Kwani Tanzania ni kisiwa ndugu mzalendoYatanzania ni ya Tanzania
can you tell me the impact of this?Waliita ile mouvement spring arabe, sisi hii tunaiita summer Eu