Ufanyike mdahalo (Debate) kumaliza utata kuhusu Bandari

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,462
29,158
Kwema Wakuu?

Kwa sasa MAIN TOPIC au AGENDA nchini ni swala la Bandari. Kuanzia ma ofisini, majumbani, vijiweni, kwenye daladala, bar hizi story zimetapakaa.

Kila mmoja anazungumzia issue za bandari kwa muktadha wake. Wapo wanaoihusisha Bandari na dini, utanganyika v/s uzanzibar, kuibiwa, kuuzwa, u chama, maendeleo etc.

Katika wale wanaopinga huu mkataba, wapo waliokata tamaa kwa maana ya liwalo na liwe, wapo ambao hawajakata tamaa wakijaribu kuelezea huku na kule ikiwamo kuupinga mahakamani, wapo ambao wana matumaini utakuja kubadilishwa baadae.

Ukiacha huku mitaani au mitandaoni tunakojibishana kila Leo, pande zote mbili hazijawahi kukutana pamoja kuulezea au kuelezana why wanaona uko au hauko sawa. Utaona tu viongozi wa Serikali wakiutetea wakiwa wao peke Yao, vivyo hivyo wanaoupinga nao hua peke Yao.

Kwa ukubwa na wingi wa hii mijadala ni wazi kua haitoisha leo wala kesho. Na Serikali Kwa upande mmoja ikiamua kuutekeleza huu mkataba basi upande wa pili utabaki na kinyongo.

Sasa mimi nilikua nina wazo au ushauri. Itafutwe siku moja au mbili, ufanyike mdahalo wa wazi, Serikali v/s Watu kadhaa hivi wanaopinga, labda, kumi kumi kila upande. Mdahalo huu urushwe live kwenye television wananchi tuone au tusikilize kila pande tuuelewe.

Kama hadidu za rejea zitoke kwenye huo mkataba ambao sio Siri tena maana upo mitandaoni. Kijadiliwe kifungu kimoja baada ya kingine. Wanaoona kifungu kina walakini waelezee walikini wao upo wapi na wanaoona kifungu kiko sawa wajibu hoja hizo.

Iwe ni DEBATE ambayo watu watachangia Kwa staha na ustaarabu, sio jazba, vijembe au mihemuko. Isiwe DEBATE kama vile tuko bungeni kwamba wenye kelele nyingi za "ndio" ndo wanakua wameshinda. Bali watu waende point kwa point, neno kwa neno mpaka wafikie muafaka.

Pale upande mmoja utakaposhindwa kwa hoja basi usisite kukubali ili kutopoteza muda waende kwenye kifungu kingine. Mfano wanaoutetea kwamba mkataba unao kikomo wakifanikiwa kuonyesha ukomo ulipo basi wale wanaoupinga wakubali tu.

Debate hii itasaidia hata wale ambao ambao hawaelewi in details bali bendera fuata upepo kuelewa kilichomo humo, kinachopingwa au kutetewa ni kipi. Sababu wako wengine huamua kubisha sababu tu wamemsikia fulani akisema hivi au vile.

Washiriki wa kila upande wapewe taratibu, ratiba na hadidu za rejea za debate hiyo siku kadhaa kabla ili waweze kujiandaa. Isiwe kama ni kesi mahakamani kwamba nani mwenye maswali ya kubana zaidi bali points, data na facts ndio ziongee zaidi.

Tukifanya haya basi tutakua tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuzima hii mijadala ili watu waendelee na mambo yao mengine, wanaopinga waweze kuukubali ikitokea ni mzuri au wanaoutetea waweze kuurekebisha ikitokea una walakini.

Yangu ni hayo tu Kwa Leo.
 
Debate ndo itakuletea maendeleo?

Tatizo Watanzania mnaoenda sana kupiga mdomo alafu kazi zero.

Hakuna cha debate wala nini. Uwekezaji uendelee maana tumechelewa sana na muda hauko upande wetu
 
Serikali/CCM hawataki hichi ulichoandika
Yapo mengi ambayo wameyafanya, pengine hili halikuwahi kufikiriwa ila kupitia humu wakiona wanaweza kupendekeza hiki.
 
Naunga mkono hoja.
 
Hili swala la bandari ni la kisheria na kiuchumi, kwa upande wa kisheria tayari kuna kesi mahakama kuu, na itakua vizuri sana kama majaji watatoa uamuzi wa kuisikiliza kesi ila uchambuzi wa kisheria ufanyike.

Mjadala ni mzuri lakini mjadala bora unatakiwa uhusishe zaidi wataalam wa kisheria na uchumi.

Kwa sisi oyaoya tutaliangalia zaidi kidini na kisiasa kama linavyoendela kujadiliwa hivi sasa.
 
Hili swala la bandari ni la kisheria na kiuchumi, kwa upande wa kisheria tayari kuna kesi mahakama kuu, na itakua vizuri sana kama majaji watatoa uamuzi wa kuisikiliza kesi ili uchambuzi wa kisheria ufanyike.

Mjadala ni mzuri lakini mjadala bora unatakiwa uhusishe zaidi wataalam wa kisheria na uchumi.

Kwa sisi oyaoya tutaliangalia zaidi kidini na kisiasa kama linavyoendela kujadiliwa hivi sasa.
 
Debate ndo itakuletea maendeleo?

Tatizo watanzania mnaoenda sana kupiga mdomo alafu kazi zero.

Hakuna cha debate wala nini. Uwekezaji uendelee maana tumechelewa sana na muda hauko upande wetu
Sas wew, jana katibu MHE chongollo kasema watu wanaopendekeza kwa weledi mapendekezo yao yapokewe sio wale wanaotusi.

Kuna ubaya gani ikifanyika debate ili ikionekana kuna nyama zimepungua ziongezwe. Katibu wetu kasema walioandaa mkataba nao ni binadamu.
 
Kwema Wakuu?

Kwa sasa MAIN TOPIC au AGENDA nchini ni swala la Bandari. Kuanzia ma ofisini, majumbani, vijiweni, kwenye daladala, bar hizi story zimetapakaa.

Kila mmoja anazungumzia issue za bandari kwa muktadha wake. Wapo wanaoihusisha Bandari na dini, utanganyika v/s uzanzibar, kuibiwa, kuuzwa, u chama, maendeleo etc.

Katika wale wanaopinga huu mkataba, wapo waliokata tamaa kwa maana ya liwalo na liwe, wapo ambao hawajakata tamaa wakijaribu kuelezea huku na kule ikiwamo kuupinga mahakamani, wapo ambao wana matumaini utakuja kubadilishwa baadae.

Ukiacha huku mitaani au mitandaoni tunakojibishana kila Leo, pande zote mbili hazijawahi kukutana pamoja kuulezea au kuelezana why wanaona uko au hauko sawa. Utaona tu viongozi wa Serikali wakiutetea wakiwa wao peke Yao, vivyo hivyo wanaoupinga nao hua peke Yao.

Kwa ukubwa na wingi wa hii mijadala ni wazi kua haitoisha leo wala kesho. Na Serikali Kwa upande mmoja ikiamua kuutekeleza huu mkataba basi upande wa pili utabaki na kinyongo.

Sasa mimi nilikua nina wazo au ushauri. Itafutwe siku moja au mbili, ufanyike mdahalo wa wazi, Serikali v/s Watu kadhaa hivi wanaopinga, labda, kumi kumi kila upande. Mdahalo huu urushwe live kwenye television wananchi tuone au tusikilize kila pande tuuelewe.

Kama hadidu za rejea zitoke kwenye huo mkataba ambao sio Siri tena maana upo mitandaoni. Kijadiliwe kifungu kimoja baada ya kingine. Wanaoona kifungu kina walakini waelezee walikini wao upo wapi na wanaoona kifungu kiko sawa wajibu hoja hizo.

Iwe ni DEBATE ambayo watu watachangia Kwa staha na ustaarabu, sio jazba, vijembe au mihemuko. Isiwe DEBATE kama vile tuko bungeni kwamba wenye kelele nyingi za "ndio" ndo wanakua wameshinda. Bali watu waende point kwa point, neno kwa neno mpaka wafikie muafaka.

Pale upande mmoja utakaposhindwa kwa hoja basi usisite kukubali ili kutopoteza muda waende kwenye kifungu kingine. Mfano wanaoutetea kwamba mkataba unao kikomo wakifanikiwa kuonyesha ukomo ulipo basi wale wanaoupinga wakubali tu.

Debate hii itasaidia hata wale ambao ambao hawaelewi in details bali bendera fuata upepo kuelewa kilichomo humo, kinachopingwa au kutetewa ni kipi. Sababu wako wengine huamua kubisha sababu tu wamemsikia fulani akisema hivi au vile.

Washiriki wa kila upande wapewe taratibu, ratiba na hadidu za rejea za debate hiyo siku kadhaa kabla ili waweze kujiandaa. Isiwe kama ni kesi mahakamani kwamba nani mwenye maswali ya kubana zaidi bali points, data na facts ndio ziongee zaidi.

Tukifanya haya basi tutakua tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuzima hii mijadala ili watu waendelee na mambo yao mengine, wanaopinga waweze kuukubali ikitokea ni mzuri au wanaoutetea waweze kuurekebisha ikitokea una walakini.

Yangu ni hayo tu Kwa Leo.
Wazo zuri sana lakini viongozi wa serikali watakuwa tayari kulikubali hili? Wengi wao wanajua kabisa kuwa Kuna baadhi ya vipengere kweli vinatudidimiza kama taifa ila ni agizo kutoka juu.
Wanajaribu kutetea kupitia vipengere vilivyo wazi, kidogo vyenye ahueni kwa maslahi ya taifa lakini vile ambavyo vinalibana taifa hawavijadiri na wakiruhusu mjadala wanajua kabisa watabanwa kupitia vipengere vitakavyowaweka uchi.
Hatukatai uwekezaji bali tunakataa vipengere ambavyo vinalibana taifa.
 
ccm hawa hawa wawaze kwa ajili ya wananchi,
Yes wanawaza kwa ajili ya wananchi though madhaif yapo kama wanadam. Kama saiv TRA inakusanya 7T wakat kuna uwezekano wa kukusanya zaid ya hio if wakimpa sector binafsi why asipewe huyo DP WORLD.

ASEE KWENY SWALA LA BANDAR UPINZAN YOU GAT NOTHING TO OFFER ZAIDI YA BLA BLA NA UPOTOSHAJI
 
Kwema Wakuu?

Kwa sasa MAIN TOPIC au AGENDA nchini ni swala la Bandari. Kuanzia ma ofisini, majumbani, vijiweni, kwenye daladala, bar hizi story zimetapakaa.

Kila mmoja anazungumzia issue za bandari kwa muktadha wake. Wapo wanaoihusisha Bandari na dini, utanganyika v/s uzanzibar, kuibiwa, kuuzwa, u chama, maendeleo etc.

Katika wale wanaopinga huu mkataba, wapo waliokata tamaa kwa maana ya liwalo na liwe, wapo ambao hawajakata tamaa wakijaribu kuelezea huku na kule ikiwamo kuupinga mahakamani, wapo ambao wana matumaini utakuja kubadilishwa baadae.

Ukiacha huku mitaani au mitandaoni tunakojibishana kila Leo, pande zote mbili hazijawahi kukutana pamoja kuulezea au kuelezana why wanaona uko au hauko sawa. Utaona tu viongozi wa Serikali wakiutetea wakiwa wao peke Yao, vivyo hivyo wanaoupinga nao hua peke Yao.

Kwa ukubwa na wingi wa hii mijadala ni wazi kua haitoisha leo wala kesho. Na Serikali Kwa upande mmoja ikiamua kuutekeleza huu mkataba basi upande wa pili utabaki na kinyongo.

Sasa mimi nilikua nina wazo au ushauri. Itafutwe siku moja au mbili, ufanyike mdahalo wa wazi, Serikali v/s Watu kadhaa hivi wanaopinga, labda, kumi kumi kila upande. Mdahalo huu urushwe live kwenye television wananchi tuone au tusikilize kila pande tuuelewe.

Kama hadidu za rejea zitoke kwenye huo mkataba ambao sio Siri tena maana upo mitandaoni. Kijadiliwe kifungu kimoja baada ya kingine. Wanaoona kifungu kina walakini waelezee walikini wao upo wapi na wanaoona kifungu kiko sawa wajibu hoja hizo.

Iwe ni DEBATE ambayo watu watachangia Kwa staha na ustaarabu, sio jazba, vijembe au mihemuko. Isiwe DEBATE kama vile tuko bungeni kwamba wenye kelele nyingi za "ndio" ndo wanakua wameshinda. Bali watu waende point kwa point, neno kwa neno mpaka wafikie muafaka.

Pale upande mmoja utakaposhindwa kwa hoja basi usisite kukubali ili kutopoteza muda waende kwenye kifungu kingine. Mfano wanaoutetea kwamba mkataba unao kikomo wakifanikiwa kuonyesha ukomo ulipo basi wale wanaoupinga wakubali tu.

Debate hii itasaidia hata wale ambao ambao hawaelewi in details bali bendera fuata upepo kuelewa kilichomo humo, kinachopingwa au kutetewa ni kipi. Sababu wako wengine huamua kubisha sababu tu wamemsikia fulani akisema hivi au vile.

Washiriki wa kila upande wapewe taratibu, ratiba na hadidu za rejea za debate hiyo siku kadhaa kabla ili waweze kujiandaa. Isiwe kama ni kesi mahakamani kwamba nani mwenye maswali ya kubana zaidi bali points, data na facts ndio ziongee zaidi.

Tukifanya haya basi tutakua tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuzima hii mijadala ili watu waendelee na mambo yao mengine, wanaopinga waweze kuukubali ikitokea ni mzuri au wanaoutetea waweze kuurekebisha ikitokea una walakini.

Yangu ni hayo tu Kwa Leo.

Naunga hoja mkono, japo hao unawasikia wakiutetea hawatakubali kitu kama hicho.
1690827188536.png
 
Sas wew, jana katibu MHE chongollo kasema watu wanaopendekeza kwa weledi mapendekezo yao yapokewe sio wale wanaotusi.

Kuna ubaya gani ikifanyika debate ili ikionekana kuna nyama zimepungua ziongezwe. Katibu wetu kasema walioandaa mkataba nao ni binadamu.
Sahihi kabisa
 
Naunga hoja mkono, japo hao unawasikia wakiutetea hawatakubali kitu kama hicho.
View attachment 2704143
Kwa sasa ni wanautetea peke yao mitandaoni na majukwaani. Na wanaoupinga wanafanya pia mitandaoni na majukwaani.

Wote wapate jukwaa moja la kuelezea kila mmoja kwa hoja tuwasikilize, tuwapime.
 
Wazo zuri sana lakini viongozi wa serikali watakuwa tayari kulikubali hili? Wengi wao wanajua kabisa kuwa Kuna baadhi ya vipengere kweli vinatudidimiza kama taifa ila ni agizo kutoka juu.
Wanajaribu kutetea kupitia vipengere vilivyo wazi, kidogo vyenye ahueni kwa maslahi ya taifa lakini vile ambavyo vinalibana taifa hawavijadiri na wakiruhusu mjadala wanajua kabisa watabanwa kupitia vipengere vitakavyowaweka uchi.
Hatukatai uwekezaji bali tunakataa vipengere ambavyo vinalibana taifa.
Sasa kama Kuna vipengele ambavyo wanajua wazi sio vizuri, nini kinawazuia wasivibadilishe au kurekebisha wakaweka vilivyo vizuri? Sio msahafu huu Wakuu.
 
Back
Top Bottom