Ufalme wa Nugutu

Ufalme wa Nugutu

sasa hao hakuna hadithi yao iliyonipita 2011-13 ....huyo Mosenya anahadithi yake inaitwa Nadya aisee roho inaniuma mpk leo sijaimalizia ile hadithi aliishia kati
Mosenya nilikua nampenda zaidi kuliko nyemo sasa hiv nyemo ndio nampenda zaidi mosenya niliacha kufatilia hadithibzake mda sana
 
Mosenya nilikua nampenda zaidi kuliko nyemo sasa hiv nyemo ndio nampenda zaidi mosenya niliacha kufatilia hadithibzake mda sana
haya unihadithie hivyo, kwanza inahusu nini?
 
Mambo hayo".... woiiiiiii asante kwa tag '' ngoja nianze kuibarizi
 
.hahaaaa nia yako nini "" ? tusinywe hata chai " tusitembelee majukwaa mengine sindio ""?

aisee " umetisha sana " kuanzia part 1 mpaka 20s huko "" yaaani ni bumper to bumper ...Mmmh ngoja niamke nikaswaki kwanza"", otherwise naweza jikuta napiga mswaki saa. saba
 
daaaahh hatari sana huyo mdidi ndiye mimi sasa hahaa
 
.hahaaaa nia yako nini "" ? tusinywe hata chai " tusitembelee majukwaa mengine sindio ""?

aisee " umetisha sana " kuanzia part 1 mpaka 20s huko "" yaaani ni bumper to bumper ...Mmmh ngoja niamke nikaswaki kwanza"", otherwise naweza jikuta napiga mswaki saa. saba
hahahahha sina nia hiyo
 
Ahsante sana Madame S. Kitu kimekuwa kitamu balaa kama sugar ya mama nanihii. Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom