Akirudi kujibu hapa niite mkuu..! Hili jibu nna uhakika hawezi kurudi tena...Mfano wako wa hela ya Mmarekani ni mzuri sana.
Mimi mwenyewe Mmarekani.
Sasa unaongelea Wamarekani gani hao?
Hiyo hela yenyewe iliyoandikwa "In God We Trust" ni uongo mwingine.
Ni uongo kwamba karatasi hii ina thamani ya vyakula hivi. Bidhaa hizi. Huduma hizi etc.
Hiyo ninkaratasi tu. Thamani hiyo ni ya uongo tumeamua kuipa wenyewe Wamarekani.
Dr. Yuval Noah Harari anauita uongo huu "manufactured reality".
Sasa utashangaa vipi uongo wa hela, kitu ambacho thamani yake inategemea trust ya watu tu, utuambie habari za Mungu kuwepo bila uongo.
Unaelewa tofauti ya "In God We Trust" na "God Exists"?
Sijakataa watu wanaamini Mungu yupo.
Lakini, Mungu yupo?
Ukiamini noti ya dollar 100 ina thamani ya dollar 100, ukaenda msituni Papua New Guinea huko watu wanafanya barter trade, utawaelezaje hiyo noti ina thamani sawa na nadafu 200? Wakati wao wanaiona karatasi tu?
Kamusi yangu hapa inasema maana ya neno Thamani ni gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake na jamii.Mfano wako wa hela ya Mmarekani ni mzuri sana.
Mimi mwenyewe Mmarekani.
Sasa unaongelea Wamarekani gani hao?
Hiyo hela yenyewe iliyoandikwa "In God We Trust" ni uongo mwingine.
Ni uongo kwamba karatasi hii ina thamani ya vyakula hivi. Bidhaa hizi. Huduma hizi etc.
Hiyo ninkaratasi tu. Thamani hiyo ni ya uongo tumeamua kuipa wenyewe Wamarekani.
Dr. Yuval Noah Harari anauita uongo huu "manufactured reality".
Sasa utashangaa vipi uongo wa hela, kitu ambacho thamani yake inategemea trust ya watu tu, utuambie habari za Mungu kuwepo bila uongo.
Unaelewa tofauti ya "In God We Trust" na "God Exists"?
Sijakataa watu wanaamini Mungu yupo.
Lakini, Mungu yupo?
Ukiamini noti ya dollar 100 ina thamani ya dollar 100, ukaenda msituni Papua New Guinea huko watu wanafanya barter trade, utawaelezaje hiyo noti ina thamani sawa na nadafu 200? Wakati wao wanaiona karatasi tu?
Naam, kwa tafsiri hiyo, kwenye jamii ya barter trade Papua New Guinea, US dollar 100 ni karatasi tu.Kamusi yangu hapa inasema maana ya neno Thamani ni gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake na jamii.
Kila kitu kina umuhimu wake na thamani yake kwa nafasi yake.Naam, kwa tafsiri hiyo, kwenye jamii ya barter trade Papua New Guinea, US dollar 100 ni karatasi tu.
Pablo Emilio Escobar Gaviria, the notorious late international drug dealer from Colombia, was once chased by the police in Colombia.
He ran away to his hieaway homes upin the mountains of Colombia.
The police were surrounding his hideaway house. He was with his children, in an unheated house.
The house had a fireplace,but no logs to fire.
His little daughter was cold. She was at the risk of catching pneumonia. Pablo, for all his mischief and killing sprees, was at heart a Catholic, a family man.
He had millions of dollars in the house.
He chose to burn two million dollars to keep the house warm and his daughter from getting cold.
At that very moment,the value of three million dollars was as much as the value of heating fuel to keep the house warm. No more.
He could not buy anything with that money to heat the house.
Soma zaidi habari hii hapa
The 'king of cocaine' once torched $2 million to keep his family warm
Dollar milioni mbili zilikuwa kuni tu za kuwashia moto.
Thamani ya hela haipoinherrent, tunaipa sisi wenyewe.Hela haina thamani, sisi ndio tunaipa thamani.
Kama Mungu. Hayupo. Sisi ndio tumemtengeneza na kumuweka awepo.
Uongo wa thamani ya hela na uongo wa kuwepoMungu uko sawasawa.
Vyote ni vitu vilivyowekwa na watu tu.
Helahaina thamani, watu ndio wanaipathamani.Kila kitu kina umuhimu wake na thamani yake kwa nafasi yake.
Hivyo mazingira ndiyo yaliyosababisha Pablo kushindwa kutumia hizo hela na si kwa sababu hela hazina thamani.
Sasa wewe ulitaka thamani ya kitu itolewe na nani kama sio watu ambao ndiyo wenye kutumia?Helahaina thamani, watu ndio wanaipathamani.
Ndiyo maana ukitaka kununua kitukwahelaya enzi ya Nyerere ambayosasa haitumiki, watu wataikataa.
Thamani yake imetokana na watu kuikubali, walipoikataaikakosa thamani.
Na habari ya Mungu kuwapo ni hivyo hivyo, inakuwa na nguvu sana kwa sababu watu wameikubali tu, wakiikataa, Mungu kiukweli hayupo.
Umeelewa kwamba kwa analogy ya kwamba thamani ya pesa inatolewa na watu wanaoitumia, na pesa yenyewe haina thamani, ukikubali logic hiyo, kwa muktadha wa mfano wangu, umekubali kwamba Mungu hayupo, ni watu tu wamejipangia kusema kwamba yupo?Sasa wewe ulitaka thamani ya kitu itolewe na nani kama sio watu ambao ndiyo wenye kutumia?
Unahusisha habari za Mungu na suala la pesa kuwa na thamani au kutokuwa na thamani,hilo ni tatizo lako.Umeelewa kwamba kwa analogy ya kwamba thamani ya pesa inatolewa na watu wanaoitumia, na pesa yenyewe haina thamani, ukikubali logic hiyo, kwa muktadha wa mfano wangu, umekubali kwamba Mungu hayupo, ni watu tu wamejipangiakusema kwamba yupo?
Unaelewa kwamba katika mfanohuu "thamani ya pesa" ni sawasawa na "uwepo wa Mungu"?
Unaelewa hata ninayoandika hapa?
Umeelewa kwamba "uwepo wa Mungu" na "thamani ya pesa" vyote ni "manufactured reality",ukweli wa kutungwa tu na watu?
Hujaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo na si mawazo ya watu tu yaliyojiwekea kuwapo kwa Mungu, bila Mungu kuwapo, kama mawazo ya watu tu yalivyojipangia thamani halisi ya pesa kuwapo, bila thamani halisi ya pesa kuwapo.Unahusisha habari za Mungu na suala la pesa kuwa na thamani au kutokuwa na thamani,hilo ni tatizo lako.
Habari za Mungu hapa zimeingiaje? maana mie najua tunazungumzia kuhusu pesa kuwa na thamani ama kutokuwa na thamani.Hujaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo na si mawazo ya watu tu yaliyojiwekea kuwapo kwa Mungu, bila Mungu kuwapo, kama mawazo ya watu tu yalivyojipangia thamani halisi ya pesa kuwapo, bila thamani halisi ya pesa kuwapo.
Kama mawazo ya watu yana uwezo wa kujiumbia kitu kama pesa, na kukipa thamani, kiasi karatasi ambalo halina thamani lenyewe likanunua chakula, unawezaje kubisha kwamba mawazo hayo hayo yamejiumbia mfumo tu na kusema Mungu yupo, wakati hayupo?
Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.Habari za Mungu hapa zimeingiaje? maana mie najua tunazungumzia kuhusu pesa kuwa na thamani ama kutokuwa na thamani.
Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.
Hujui simile and metaphor.
Hata mtu akisema pesa ina thamani kama "metaphor", unaona ina thamani kweli.
Mtu akisema Mungu ataonesha njia kama "simile", unaamini kweli Mungu yupo na ataonesha njia.
Nikikwambia Mungu hayupo. Ni wazo tu ambalo watu wameliweka. Sawa na ambavyo karatasi inayoitwa pesa haina thamani, thamani yake ni wazo tu ambalo watu waneliweka, unashindwa kuelewa.
Nikikwambia uthibitishe Mungu yupo huwezi.
Kwa sababu hayupo. Katungwa kwa kuungwa ungwa tu na watu.
Itabidi Mshana Jr achukue tenda hapaMimi natafuta mtu aniloge.
Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.
Zawadi nono itatolewa.