Ufahamu uchawi wa Sigil

shukrani sana kwa taalifa sasa huyo mtu alie tengenezwa ni uyo alie kufa au wanatumia kaburi kutengenezea wtu wengine bila ya kuhusika kwa marehemu
Marehemu hana chake tena hapo.. Huo mziki ulimkusudia mtu mwingine kabisa..hapo palitumika tu kama kiwanja cha kutekeleza watakayo
 
kaka kwema?
unaendeleaje jamaa?
mimi pia ni mhanga.
 
Ndio maana sikutaka kabisa kuingia kwenye utengenezaji wake...hata hii law of attraction ni mule mule
ASA kama hukutaka kuelewa zaid ujue bado haujautendea haki ubongo wako kaka ,,vyote vilivyopo duniani ni zao letu sisi wenyewe so hakuna mipaka ya kufikiri ,,wengi wameleta makubwa kwenye dunia kwa kutoka nje ya box
 
OK sawa nimekuelewa
 
Mshana Jr. hivi wewe kwa siku unakutana na Shetani mara ngapi,unatisha sana ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…