Ufahamu mkasa wa kifo cha utata cha mwanamke wa Isdal ulioishangaza dunia (sehemu ya 1)

Huyu mleta mada anatafutia watu ban tuu Hana jipya amecreate attention kwa watu alafu anataka abembelezwe ulishindwa nn kuleta full story namlaumu mtu alianzisha kitu inaitwa itaendelea
Mkuu usiwaze... Tupo pamoja
 
Penguin missile conspiracy... Umenikumbusha mbali sana mkuu kwa hii story

Hii bwana bila kupepesa macho aliuawa na CIA kwa kushirikiana na Norwegian Intelligence.. Kwa sababu inaaminika alikuwa ni from KGB akichunguza Penguin missile..
Nakukubali sana mkuu... Kuna mahali tutafika mikanganyiko itazidi ila tusikate utamu wa goma kwanza....
 
Mkuu usiwaze... Tupo pamoja

Kusoma hakuishii kusoma tuu Kuna kitu unatakiwa uondoke nacho kwa matumizi ya baadae so unavyoleta kipisi kipisi unawavunja moyo wale wanaokutaga ma insha na kuyaacha ukikuta amejitahid kusoma alafu akakuta hvyo ndo unazid kuongeza ujinga kwa watanzania wenzako au nawe ndo wale mnaotokea baada kuvuka mto kagera kule mbele kidogo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom