falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,159
- 9,241
- Thread starter
- #61
mkuuwatu kama hao ni wakuwapuuza...walahawana mantiki yoyote...sisi tuendelee kujuzana kisha mwambie alishawahi kuiona wapi hii makala....mpuuzi tu huyo.............Wewe na roho yako mbaya umejihakikishia vipi kwamba huyo aliyeandika haya makala huko ulikoyasoma siyo huyu aliyeandika humu hadi umtake atoe credit kwa mwandishi unayemjenga wewe kichwani mwako?
Hapa tunatumia fake IDs ulitaka huko kwenye gazeti au sijui Facebook ukutane na jina kama Falcon Mombasa ndo uamini ni yeye siyo?well na mbona wewe huja-copy ukaleta humu kama siyo huyu jamaa ku-copy na kuleta hapa sisi wengine tungejuaje?
Sometimes hata wewe mwenyewe umesha-copy na kupeleka unakojulikana saizi unavuna tu sifa zisizokuwa zako.