Ufahamu mgogoro wa BREXIT

Hahaaa Aise. .mbona wanajilisha upepo kiasi hicho. ...Hiyo ndio ile inayoitwa ukitaka kupaa kwanza agana na nyonga. ..

Hawakufanya utafiti wa kutosha vyema kabla ya kutaka kuivunja hiyo ndoa. .... Miaka kadhaa iliyopita Uingereza ilikuwa ndio super power ya euro kwa kiasi kikubwa. ..Lakini kwa sasa Mataifa mengine kama ujerumani tayari yameshaanza kuirejesha heshima Yao uchumi -na kuwa miongoni mwa nchi zenye ushawishi mkubwa Ulaya. ..
Ilijua ikisema naondoka, basi wengine wote watapiga magoti kumsihi hivyo adominate kwenye eu kwa kuweka anayotaka yeye. Kinyume chake akajibiwa basi sawa wewe ishia tu ingawa tulipenda uwepo wako....now ana haha namna ya kubakiza upendo
 
BREXIT means British exit from European union and not UK exit from European Union.

Hongera kwa kujitahidi kuelezea.
 
Back
Top Bottom