Fb unampeleka mbali mno, humu humu jf, afuatilie karibia kila siku watu wanaomba msaada ukiuliza simu gani unaambiwa tecno.Kiiukweli tecno wala si nzuri wengi sana wanalalamika.
Fatilia hata page yao facebook wengi wanaokomenti hulalamika hasa hujizima. Zingine haziingii chagi hadi uizime kwanza.
Kiukweli zinasumbua na nimeshuhudia kwa watu zaidi ya watano.
Simu nzuri labda iphone, nokia, huawei na lenovo. Na sumsung
Duuh...bola nichukue samsung hata kama j1 cio mbayaFb unampeleka mbali mno, humu humu jf, afuatilie karibia kila siku watu wanaomba msaada ukiuliza simu gani unaambiwa tecno.
Hiyo C5 kweli ipo vzr lkn by nature hiyo kampuni simu zake hazikosi kasoro.
Mm nimetumia simu nyingi za tecno ndio maana nakueleza haya, na hadi sasa nina C8 lkn matatizo yake hayaelezeki.
Tecno C series zinakuaga na matatzo sana cjui KWA nini bora ht J series nimetumia C8 now nna J8 na sijawah pata ttzo llte lileToleo la C 5 ndo bovu but J 7 Boom aaaah Raha
Habar wana jamii forum
Najua kuna walio itumia simu aina ya tecno camon c5 Lte.
Swali langu ni kwamba hii simu ina ubora kiasi gani?
Kwa aliye wahi itumia anaweza kuniambia kuhusiana na aina ya simu hii....
una bajeti ya sh ngap??Kwa ishaur mulio nipatia naona bora nitafute samsung
Ni kweli mkuu inasumbua sana hasa majina kutoonekanaInasumbua tu hiyo inajitoa mlio wa simu yenye we mara ifute majina shida tupu..
hivi hakuna OTA update ya marshmallow for camon c8
Kaka ilishatoka siku nyingi tangu mwezi wa nne.hivi hakuna OTA update ya marshmallow for camon c8
Heshima kwako mkuu c5 inagonga mzigo bila shida yyte, kwenye mambo ya data ndio balaaHuruma gani? Nna miezi 8 natumie 5 iko vizur sana,inakaa na chaji zaidi ya masaa 9 ,camera nzuri. Mpaka sasa sijaona tatizo la hii simu yangu na mzigo wa 4G unapiga fresh sana.
Basi utulie na uache ssi tusemecjawah
Longolongo kwenye cm zote hazikosi na kama unafuatilia habari za simu kuna hii Samsung s7 ambayo wakorea wajitapa haiingii maji. Makampuni yanayo test ubora wa simu wamekuja na jibu kuwa Samsung s7 inaingiza maji na mtu yyte asijaribu hilo zoezi.kaka ina maana c5, haina longolongo lolote
yes mkuu hii ndio naitumia kwa sasa nilikuwa nahitaji hiyo yenye maboresho maana hii inazingua sana nimesha upgrade na kudowngrade karibia mara nne,,,,, pia kama kuna oficial recovery ya c8 mkuu ukinisaidia itakuwa poa sana maana ilnilijaribu ile ported by team hivatek mwanzo ilikubari then baadae nilipokuja kujaribu tena nikabrick simu.Kaka ilishatoka siku nyingi tangu mwezi wa nne.
Sasa hivi tunasubiri update ya maboresho tu.
Ingia hapa kwa maelekezo...
Tecno c8 update
Maelezo meeeengi lakini mwisho umerudi kule kule kaka umetaja tatizo la simu.Longolongo kwenye cm zote hazikosi na kama unafuatilia habari za simu kuna hii Samsung s7 ambayo wakorea wajitapa haiingii maji. Makampuni yanayo test ubora wa simu wamekuja na jibu kuwa Samsung s7 inaingiza maji na mtu yyte asijaribu hilo zoezi.
Tecno kama unavyojua ni brand ya afrika chini ya mchina na changamoto zipo hasa upande wa majina huwa inapoteza majina na ukiligundua hilo unaizima na kuwasha tena na majina ya narudi
Na ktk upande 4g naweza sema ndio simu za kwanza ktk matoleo ya bei nafuu kabisa.
Mwisho kiukweli sokoni tecno wanafanya vizuri sana kulinganisha na samsung, Huawei na hao wengine.
mdoli tu sio simuNi simu nzuri sana na ninaitumia takribani mwaka sasa.. Labda kama unaswali mkuu!
Angalizo:kwasasa kuna c5 fake nyingi tu sokoni.
nimekusoma mzaziiiLongolongo kwenye cm zote hazikosi na kama unafuatilia habari za simu kuna hii Samsung s7 ambayo wakorea wajitapa haiingii maji. Makampuni yanayo test ubora wa simu wamekuja na jibu kuwa Samsung s7 inaingiza maji na mtu yyte asijaribu hilo zoezi.
Tecno kama unavyojua ni brand ya afrika chini ya mchina na changamoto zipo hasa upande wa majina huwa inapoteza majina na ukiligundua hilo unaizima na kuwasha tena na majina ya narudi
Na ktk upande 4g naweza sema ndio simu za kwanza ktk matoleo ya bei nafuu kabisa.
Mwisho kiukweli sokoni tecno wanafanya vizuri sana kulinganisha na samsung, Huawei na hao wengine.