Ufafanuzi; Waziri Mkuu alilidanganya Bunge na Taifa

Ya kamati kuu cdm mmemaliza? Au ndio mnazuga wazushi tu nyie madomo kaya tumeyazoea
 
kuna watu watauliza chanzo

Ndugu yangu Amavubi, hapa source(tena statutory) ni muhimu sana.

Kila mtu anakuja na figures zake zake sasa. Zitto anasema lile, Pinda mwenyewe katwambia yake na sasa Gambas anasema hili.

Wewe unamwamini nani hapa? Tena under what bases? Ama tutafute wastani sasa wa hizi figure? Kuzungumza bila credible source inabaki kuwa ni blah blah tu za barazani.
 
Last edited by a moderator:
Kama Waziri Mkuu,alilenga kujibu ni mshahara gani anaupokea kama ''Waziri Mkuu'',bila kuzungumzia nafasi nyingine,kwa kiwango cha milioni sita alichotaja yuko sahihi.Ila kama suala la mshahara limeongelewa yeye kama Pinda,na vyeo vyake vyote hapo atakuwa amedanganya.Inahitaji tafakari kubwa hapo.

umenena mkuu
 
WAZIRI MKUU ALIDANGANYA TAIFA:

Waziri mkuu wa Tanzania anazidi kujitengenezea rekodi isiyofaa baada ya jana tena kuliongopea taifa kupitia bunge,Mh Pinda(mb) jana kwenye kipindi cha maswali kwa waziri mkuu aliutangazia umma kuwa yeye analipwa jumla ya tsh milioni sita iwapo atajumlisha na posho ya mkewe, waziri mkuu alitoa majibu hayo bila kufafanua kuhusu malipo mengine ayapatayo.

UKWELI WA MAPATO YA WAZIRI MKUU Waziri mkuu anapokea tsh mill 11.3 kama mshahara wa mbunge,anapokea tsh mill 6.2 kama mshahara wa waziri, pia anapokea tsh mill 4 na mkewe tsh mill 2 kama stahili ya waziri mkuu na mkewe, aidha waziri mkuu anapokea sitting allowance kubwa kuliko mbunge wa kawaida, na marupurupu kibao ambayo iwapo atachukua kwa pamoja basi ataingiza zaidi ya tsh mill 30 kwa mwezi mmoja.

Huyu jamaa ni mlaghailaghai....na nikawaida yake kudanganya Bunge na Ukizingatia Bunge hili linaendeshwa kama kijiwe cha Kahawa hadithi hizi za uwongouwongo zinashabikiwasana...nadhani waachane naye tu maake hata wakimbana kwa maswali anaweza anza tena kulia bure...
 
WAZIRI MKUU ALIDANGANYA TAIFA:

Waziri mkuu wa Tanzania anazidi kujitengenezea rekodi isiyofaa baada ya jana tena kuliongopea taifa kupitia bunge,Mh Pinda(mb) jana kwenye kipindi cha maswali kwa waziri mkuu aliutangazia umma kuwa yeye analipwa jumla ya tsh milioni sita iwapo atajumlisha na posho ya mkewe, waziri mkuu alitoa majibu hayo bila kufafanua kuhusu malipo mengine ayapatayo.

UKWELI WA MAPATO YA WAZIRI MKUU Waziri mkuu anapokea tsh mill 11.3 kama mshahara wa mbunge,anapokea tsh mill 6.2 kama mshahara wa waziri, pia anapokea tsh mill 4 na mkewe tsh mill 2 kama stahili ya waziri mkuu na mkewe, aidha waziri mkuu anapokea sitting allowance kubwa kuliko mbunge wa kawaida, na marupurupu kibao ambayo iwapo atachukua kwa pamoja basi ataingiza zaidi ya tsh mill 30 kwa mwezi mmoja.

Unajuwa maana ya Mshahara wa Waziri Mkuu?

Huo ----- mwengine kwanini usiweke na kipatao anachopata shambani kwake?
 
WAZIRI MKUU ALIDANGANYA TAIFA:

Waziri mkuu wa Tanzania anazidi kujitengenezea rekodi isiyofaa baada ya jana tena kuliongopea taifa kupitia bunge,Mh Pinda(mb) jana kwenye kipindi cha maswali kwa waziri mkuu aliutangazia umma kuwa yeye analipwa jumla ya tsh milioni sita iwapo atajumlisha na posho ya mkewe, waziri mkuu alitoa majibu hayo bila kufafanua kuhusu malipo mengine ayapatayo.

UKWELI WA MAPATO YA WAZIRI MKUU Waziri mkuu anapokea tsh mill 11.3 kama mshahara wa mbunge,anapokea tsh mill 6.2 kama mshahara wa waziri, pia anapokea tsh mill 4 na mkewe tsh mill 2 kama stahili ya waziri mkuu na mkewe, aidha waziri mkuu anapokea sitting allowance kubwa kuliko mbunge wa kawaida, na marupurupu kibao ambayo iwapo atachukua kwa pamoja basi ataingiza zaidi ya tsh mill 30 kwa mwezi mmoja.

Mkewe analipwa kwa kazi gani?! Ni naibu waziri mkuu?! Hii inanichanganya. Kwa maana hiyo hata Salma nalipwa kwa kuwa mke wa rais? Ipo ndani ya katiba hiyo? Ndio maana tunakuwa masikini kwa kuwalipa hata wake za viongozi. Walimu na wastaafu wanasotea haki zao miaka na miaka na lugha ya serikali ni ile ile kuwa haina pesa kumbe ina lipa wake za viongozi!
 
Hivi Josephine Mshumbusi ni nani ndani ya Chadema?ni mchumba wa katibu mkuu au ni mke wa katibu mkuu?
Kwangu mimi mke wa katibu mkuu ni Mh.Rose kamili,Josephine ni kama hawala tu kwa sababu hana power yoyote ya kusema slaa ni Mume wake.

Inakuwaje josephine anakuwa na power ndani ya chadema hasa katika uongozi?anatumia tuzuku za chama kama nani?

JOSEPHINE MSHUMBUSI amesababisha haya.

Amesababisha mgogoro mkubwa sana kati ya Mkurugenzi wa Fedha wa chadema na Mmiliki wa mwanahalisi Bwana Anton komu ambaye ameshaambiwa na katibu mkuu ajiuzulu uongozi,ili Josephine apewe kiti cha kumanage fedha za chama.

Josephine amemuundia zengwe erasto tumbo pale makao makuu kwa sabau eti Erasto tumbo hamheshimu Josephine na anamshawishi Dr.slaa amtimue,wanashindwa kwa sababu hawana kosa la kumbambikia Erasto tumbo.

Josephine ameleta mgogoro mkubwa kwa madreva wa chama pale makao makuu,yaani anawacontrol as if ni watoto huku akiwatupia matusi na vijembe mbalimbali.(madreva wanamgomo wakimyakimya kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wa chama).

Josephine amemshawishi Dr.slaa aandikishe jina la YAYA wa mtoto wa Dr.slaa kwenye kitabu cha watu wanaotakiwa kulipwa na chama kwenye kesi ya arusha(ili hali yule binti hana hata kadi ya chama) Pia cha kushangaza ni Josephine,slaa na Yaya ndio wanaolipwa kwenye ile kesi wakti kunawatu ambao hawalipwi hata posho ya sent kumi.

Sasa huyu Josephine yupo chadema kwaajili ya kutuulia chama au kwaajili ya kumpiga piun Dr.slaa ili maamuzi yote yawe yana toka kwa josephine

unataka uolewe wewe!
 
WAZIRI MKUU ALIDANGANYA TAIFA:

Waziri mkuu wa Tanzania anazidi kujitengenezea rekodi isiyofaa baada ya jana tena kuliongopea taifa kupitia bunge,Mh Pinda(mb) jana kwenye kipindi cha maswali kwa waziri mkuu aliutangazia umma kuwa yeye analipwa jumla ya tsh milioni sita iwapo atajumlisha na posho ya mkewe, waziri mkuu alitoa majibu hayo bila kufafanua kuhusu malipo mengine ayapatayo.

UKWELI WA MAPATO YA WAZIRI MKUU Waziri mkuu anapokea tsh mill 11.3 kama mshahara wa mbunge,anapokea tsh mill 6.2 kama mshahara wa waziri, pia anapokea tsh mill 4 na mkewe tsh mill 2 kama stahili ya waziri mkuu na mkewe, aidha waziri mkuu anapokea sitting allowance kubwa kuliko mbunge wa kawaida, na marupurupu kibao ambayo iwapo atachukua kwa pamoja basi ataingiza zaidi ya tsh mill 30 kwa mwezi mmoja.

Na milioni Sita ndio aliyoisema ya uwaziri....
 
Wewe ni mbulula na kichwani hamna kitu..... Hapo unapigia mstari jibu lake
 
waziri mkuu alijibu swali la msingi lililo husu mshahara wake na ndio nawe umetaja kama yeye m. 6, wadhani nani anaonekana kuwa mburura yeye ama mtoa mada
 
unaweweseka wewe mleta mada. waziri mkuu anapokea milioni 6.2, zingine ni za ubunge. kawadanganye watoto wadogo

Kupenda kubaya jamani. Waziri Mkuu anapata 6.2 huyu ni Kayanza Peter Pinda; Mbunge wa Mpanda (sijui Magh au Mash) anapata 11.3, Huyo si Kayanza Peter Pinda? (Tumwite nani, Mbunge? Lakini bado ni Waziri Mkuu); Whether ni MP or PM Ultimately, it is the same and one person receiving the loot. Akubali tu kuwa ametudanganya, lakini hatudanganyiiiki!!!
 
huyu waziri mkuu naye ni janga la taifa kwani mara nyingi anatumia lugha laini kuwapooza waheshimiwa hapa tulipo hatupaswi kusema tuna waziri mkuu katika nchi hii, anaesma wanapanua wigo ili waweze kuon namna ya kupunguza kodi kubwa iliyopo katika makato kwa watumishi wa serikali na wafanyabiashara tuisha mzoea mzee wa lugha na majibu mepesi hana lolote! shame upon him
 
Back
Top Bottom