Ufafanuzi; Waziri Mkuu alilidanganya Bunge na Taifa

Hawa ndo ccm hawana uchungu kabisa na wananchi kazi yao ni moja tu kuvuna hela ambazo ni jasho la mwananchi.
 
Ufisadi ni ufisadi tuu mbona wa Mowekwauziamafo abovu CHADEMA mnagugmia tuu. hata hili la JOSEPHNE kuhondomola mihela hapo HQ amlisemi
 
Hivi Josephine Mshumbusi ni nani ndani ya Chadema?ni mchumba wa katibu mkuu au ni mke wa katibu mkuu?
Kwangu mimi mke wa katibu mkuu ni Mh.Rose kamili,Josephine ni kama hawala tu kwa sababu hana power yoyote ya kusema slaa ni Mume wake.

Inakuwaje josephine anakuwa na power ndani ya chadema hasa katika uongozi?anatumia tuzuku za chama kama nani?

JOSEPHINE MSHUMBUSI amesababisha haya.

Amesababisha mgogoro mkubwa sana kati ya Mkurugenzi wa Fedha wa chadema na Mmiliki wa mwanahalisi Bwana Anton komu ambaye ameshaambiwa na katibu mkuu ajiuzulu uongozi,ili Josephine apewe kiti cha kumanage fedha za chama.

Josephine amemuundia zengwe erasto tumbo pale makao makuu kwa sabau eti Erasto tumbo hamheshimu Josephine na anamshawishi Dr.slaa amtimue,wanashindwa kwa sababu hawana kosa la kumbambikia Erasto tumbo.

Josephine ameleta mgogoro mkubwa kwa madreva wa chama pale makao makuu,yaani anawacontrol as if ni watoto huku akiwatupia matusi na vijembe mbalimbali.(madreva wanamgomo wakimyakimya kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wa chama).

Josephine amemshawishi Dr.slaa aandikishe jina la YAYA wa mtoto wa Dr.slaa kwenye kitabu cha watu wanaotakiwa kulipwa na chama kwenye kesi ya arusha(ili hali yule binti hana hata kadi ya chama) Pia cha kushangaza ni Josephine,slaa na Yaya ndio wanaolipwa kwenye ile kesi wakti kunawatu ambao hawalipwi hata posho ya sent kumi.

Sasa huyu Josephine yupo chadema kwaajili ya kutuulia chama au kwaajili ya kumpiga piun Dr.slaa ili maamuzi yote yawe yana toka kwa josephine

Back to the topic plse!
 
WAZIRI MKUU ALIDANGANYA TAIFA:

Waziri mkuu wa Tanzania anazidi kujitengenezea rekodi isiyofaa baada ya jana tena kuliongopea taifa kupitia bunge,Mh Pinda(mb) jana kwenye kipindi cha maswali kwa waziri mkuu aliutangazia umma kuwa yeye analipwa jumla ya tsh milioni sita iwapo atajumlisha na posho ya mkewe, waziri mkuu alitoa majibu hayo bila kufafanua kuhusu malipo mengine ayapatayo.

UKWELI WA MAPATO YA WAZIRI MKUU Waziri mkuu anapokea tsh mill 11.3 kama mshahara wa mbunge,anapokea tsh mill 6.2 kama mshahara wa waziri, pia anapokea tsh mill 4 na mkewe tsh mill 2 kama stahili ya waziri mkuu na mkewe, aidha waziri mkuu anapokea sitting allowance kubwa kuliko mbunge wa kawaida, na marupurupu kibao ambayo iwapo atachukua kwa pamoja basi ataingiza zaidi ya tsh mill 30 kwa mwezi mmoja.

Yote haya ni kwa sababu ya usiri usio wa lazima kwenye mapato ya wafanyakazi wa umma na viongozi. Ni vigumu kuamini taarifa zozote za jambo hili.
 
Ufisadi ni ufisadi tuu mbona wa Mowekwauziamafo abovu CHADEMA mnagugmia tuu. hata hili la JOSEPHNE kuhondomola mihela hapo HQ amlisemi

You guys are EXTREEMLY afraid of CHADEMA. 2015 lazima mtajikojolea kama sio kujinyea kabisa.
 
mawaziri wa ccm MUNGU amewanyima busara hawana hata hofu ya MUNGU waziri mkuu pinda na amepinda kweli anadanganya bunge tatizo bunge linaendeshwa na spika wa ccm

EDdude.jpg
 
Ufisadi ni ufisadi tuu mbona wa Mowekwauziamafo abovu CHADEMA mnagugmia tuu. hata hili la JOSEPHNE kuhondomola mihela hapo HQ amlisemi

Hii lugha ni CCM tena wajinga wenzio ndio wanaweza kuelewa!
 
sawa kabisa mkuu, nimechokoza tu
Ndugu yangu Amavubi, hapa source(tena statutory) ni muhimu sana.

Kila mtu anakuja na figures zake zake sasa. Zitto anasema lile, Pinda mwenyewe katwambia yake na sasa Gambas anasema hili.

Wewe unamwamini nani hapa? Tena under what bases? Ama tutafute wastani sasa wa hizi figure? Kuzungumza bila credible source inabaki kuwa ni blah blah tu za barazani.
 
Back
Top Bottom